Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Naendelea kupokea ushauri na ninaendelea kunufaida na ushauri wenu aisee naamini kupitia jf nitapata mengi kama funzo kwakweli nataman nibadili kabisa historia yangu nitadumu na hili tatizo hadi lini .Naendelea kuwasikiliza
 
mimi mwenyewe ni mwathilika nikiona hata boksi la sabuni kitu juu,nikiingia bafuni naoga huku naimba kuondoa hisia aisee pole yetu
 
Wakuu hilo tatzo nami pia nilikua nalo,,na nlikua napenda punyeto haswaa,kwa cku napga zaid ya mara3 kw siku,nkaanza kuona madhara wakat nasex,yn ndan ya dakk 3-5 nakua nshamaliza yaan liwe goli la kwnza,la2 au la3,ndan ya dakk20 nakua cwez tena kuendlea na nguv kuniishia...nkaanza kutafta tiba ndipo nkajivunza baadh ya mazoez ya kurudsha nguv ya misuli

mkuu ungetaja au kuelezea hayo mazoezi. Angalau kwa kifupi. Utaelimisha/kusaidia wengi.
 
Habari zenu wakuu,

Jana nlikua na jamaa yangu wa karibu,katika maongezi nikamuulzia kua mbona hajawai kunionesha shem na umri ndo huo unaenda?

NAMNUKUU"kwa kweli mapenzi nimeshayakatia tamaa,bora niendelee kupiga punyeto,,na sdhani tangu dunia ianze kuna mtu amepiga nyeto kama mimi,kwa siku napiga hadi mara saba,nadhani mimi ndo mpigaji punyeto wa all the time"

Nimemshauri aende hospital hataki,dah paka mda huu nawaza nitumie njia gani kumsaidia na upigaji nyeto.

Mawazo yenu tafadhalini
 
utani tu boss, usijali..., mimi pia nilikuwa mpiga nyeto sana. Ila sasa nimepunguza sana...., sijui kama nimeacha kweli
 
Nilikutana nae chuo kwenye masomo ya degree ya pili, ni mwanaume mwenye umri miaka 30 (mimi 24). Ni kijana mtanashati, mcha Mungu mwenye upendo na malengo ya maisha. Safari yetu ya mahusiano ilianza baada ya masomo yetu kuisha.

Tulipoanza kukutana faragha ndipo nilipogundua kwamba ana tatizo la Erectile Dysfunction (jogoo hawiki), yani kama akiwika basi erection inakuwa very weak. Nikamuuliza nini tatizo, hakunificha akanielezea tatizo lake kwamba alikuwa anafanya sana masturbation toka yupo primary mpaka amemaliza chuo for about 15 years and it has affected him psychologically.

Naelewa jinsi gani being able to satisfy a partner is to a man na kama akishindwa inamuaffect kwa kiasi gani, so I understood his struggle basi nilimuelewa na akaniambia ni tatizo linatibika ila nikamshauri asijekujaribu short cuts za madawa ya waganga wa kienyeji just because of the pressure ya kupona haraka.

Nikaahidi kumpa muda na support alishughulikie tatizo lake (meaning abstaining from porn n masturbation) na alisema alivyoona madhara yake with his previous gf's akaanza kulishughulikia kama 2 years ago kabla ya sisi kuanza uhusiano tatizo linakuja kwamba sasa yapata miezi 9 naona tatizo bado lipo,, I play my part as a partner kumfanya mawazo yake yote yawe kwangu yani anione mimi desirable n apate proper erection instead of kuvuta hisia za porn.

Na pia tatizo jingine ni kuwa ameloose confidence kiasi kwamba ana doubt mapenzi yangu kwake, kwahiyo muda wote he questions my true feelings, jambo hili hunikera sana japo nimeshamueleza ila bado haachi, najaribu kumuelewa kwasababu yote hii ni a result of his ED problem.

Sasa wadau swali langu ni je, hili tatizo huwa linatumia muda gani kupona, yani mtu kuweza kurudia katika hali yake ya kawaida?? Na akiweza kurudia hali yake ya kawaida are the results permanent??

(This is a serious question) thanks in advance
 
Poleni sana.

Hilo ni tatizo la kisaikolojia. Anaitaji msaada wako sana hili haweze kujiamini.

Maswali mawili.

Anapomaliza tendo kwa haraka,mnajaribu kuendelea au ndio mnaishia hapo? Unafanya nini kumsaidia haweze kuendelea?

Je anafanya mazoezi kila siku?
 
Mmmhhhh nijuavyo -me wengi wamepiga masta na hata kufuzu vizuri upigaji wa masta kama kungalikuwa na award. Kwa bahati mbaya ndo kwa mara ya kwanza nasikia masta imeleta majanga kiasi hiki. Naona kiasi hiki ni kubwa sana kuliko ile iliyozoeleka, kwamba anakosa pumzi ndefu but kupiga atapiga!

Trust me: Hii ni psychological problem, haina reality yoyote bali hisia tu!
 
Kwa uzoefu wangu musterbation haiwezi kumuathiri kwa kiwango hicho, most likely alikuwa na hilo tatizo tangu kuzaliwa halafu likaja kuchagizwa na musterbation.

Lakini pia ambalo ni la hatari zaidi kwa kesi chache nilizokutana nazo kuna watu wameathiriwa na hiyo hali mpaka wamekuwa na tabia za kishoga lakini kwa siri sana, yani starehe yake ni yeye kufanywa kwahiyo hata akiwa na msichana hainjoy kivile na hata erection ni tatizo.

Fanya hivi kwa kuanzia mnapotaka kufanya ngono mshauri atumie Viagra, kama kweli ni tatizo la musterbation Viagra itafanya kazi yake.

Lakini vilevile msidharau mitishamba kuna dawa nzuri sana huko na zisizo na madhara kama shida ni musterbation zitamponyesha kabisa
 
Akimaliza akitaka kurudia round ya pili ni kwa kulazimishia yani anakuwa hayupo fully erect sometimes anaweza akawa anatamani kabisa kufanya lakini in the middle of kufanya tendo nasikia kabisa kwamba jogoo amesha sinyaa basi inabidi tuishie hapo mpaka after a while tunajaribu tena kuna kipindi mazoezi alikuwa anafanya lakini sasa naona ameacha
 
Pole sn TrapQueen.....sina ujuz na tiba yake bt ninachokijua ni kwamba yy ameacha kujishughulisha na pornography??pia anamepata ushaur wa daktar wakueleweka???tiba ya hayo maradh inategemea sn na response ya mgojwa ...
 
Kuna watu wengi sana wanajichua na walijichua kwa muda mrefu sana na hawakupata madhara ya aina hiyo

Pamoja na hilo haimaanishi kuwa hakuna mwenye kuweza kupata madhara,wapo na huyo ni mmoja wao

Kama alivyosema madhara ya kujichua ni ya kisaikolojia zaidi hivyo yanaondolewa kwa ushauri na sio vidonge

Huyo kwanza anatakiwa alikubali tatizo lake kuwa analo halafu aanze kujiamini kuwa anaweza kufanya ngono bila kutazama porn

Vijana wengi nikiwemo mimi tumeangalia ssna porn na kujichua sana tu lakini madhara yanatofautiana kutoka mtu mmoja hadi mwingine kulingana na namna ya kujiamini na kulichukulia suala lenyewe kulivyo

Ni kweli ukijichua kuna wakati hamu ya mwanamke inakuwa haipo kabisa hata kama unae kitandani lakini hilo ni suala la fikra tu

Shida imeongezeka kwa huyo jamaa baada ya kuanza kuogopa na kuhisi utamuacha,hapo tatizo limeongezeka mara dufu

Kitendo cha kuwa na hofu ya kuachwa kumesababisha jogoo asiwike kabisaaa ...

Hofu inaweza kusababisha jogoo asiwike hata.kwa mtu ambae hajawahi kujichua hata mara moja hivyo hofu jumlisha kujichua kumemfanya huyo jamaa jogoo wale asizi kabisa

Hili ni tatizo.la muda na ni dogo sana kwani akizoea kukutana na wewe halitakuwepo tena

Mwambie awe anakunywa maji mengi hasa asubuhi,atumie ndizi mbivu kwa wingi,kuwa nae karibu ili kumpunguzia hofu na wasi wasi nabtaratibu utaona tatizo linaisha kabisa

Usiogope hilo la kawaida kabisa....
 
Akimaliza akitaka kurudia round ya pili ni kwa kulazimishia yani anakuwa hayupo fully erect sometimes anaweza akawa anatamani kabisa kufanya lakini in the middle of kufanya tendo nasikia kabisa kwamba jogoo amesha sinyaa basi inabidi tuishie hapo mpaka after a while tunajaribu tena kuna kipindi mazoezi alikuwa anafanya lakini sasa naona ameacha

Tatizo ni kkwamba vwasi wasi unamzidi.

Jaribu kinywaji , kitamtoa wasi wasi, kama akifanikiwa kufanya tendo kwa mda mrefu mnaweza kutumia njia hiyo hili kujenga confidence yake kwanza alafu mkaanza kupunguza kidogo kidogo mpaka haweze kujiamini na kufanya tendo bila kutumia kinywaji.

Njia hio ikishindikana mpeleke kwa daktari.
 
My dear, kupenda kuna dwfinitions nyingi sana.

Ushauri wa haraka kwa hapa sidhani kama upo kwa mapana yake.

Ila wewe kama unatafuta mwenzi wa maisha tafuta anayekufaa wewe. Make sure anazo qualities unazohitaji kwenye future yako.

Inawezekana kuwa unatamani kujitoa sadaka pia mi poa as long as hutatumia hio sadaka kutafuta sifa au sympathy au kimdharau kaka wa watu.
Wewe sio nesi wala daktari wake.

Commitments baina yenu ziwe kuheshimiana kuaminiana kutunzana regardless.

Mapungufu ambayo najua na wewe unayo kama yeye ni muhimu msiyaweke mbele kama mnajikuta yanakaa mbele na hamna mamno mengine mazuri mnayopeana sidhani kama mtaishi kwa raha.

Ila pia kwa sie wakristu ndoa isiokuwa na tendo la ndoa sio ndoa.
Tafakari umamuonaje huyo kaka

-Ni mtu asiyeweza ku do? Unaogopa kumuacha asipate shida au wewe usikose mwingine? Usivunje ahadi? Usisemwe kuwa unachukia walemavu? Usiambiwe umeshindwa?

-Au ni mtu unayempenda anayekupa mapenzi na kukusuport mambo mengi na ukiwa nae unafurahi? Akiondoka unammiss? Mkiwa pamoja mnakuwa na nguvu ya mambo mengi? Anakujenga na wewe unamjenga?
 
1738 I can ride with my baby I be in the kitchen cooking pies with my baby,she is my TrapQueen.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom