machiaveli
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 2,225
- 5,055
Kama we ni muathirika wa puli na unataka kuacha mazima kama mimi baada ya kuona madhara yake,tujadili hapa njia mbadala ya kujitoa huku maana hili limekua janga watu wanapiga sana na dushe linakosa nguvu mwishowe haliwiki tena.