Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Kama unatabia ya kuangalia picha za utupu,tupia kapuni.Kaa mbali na vishawishi vinavyopelekea Kunyetuka.Na kama unaweza tafuta Mtoto mzuri wa kumkaza najua anaweza kuwa msaada wa kukufanya uache.
 
Yaani jamaa alimuona bro wake akifanya huo mchezo akiwa na miaka 6 lakini huyu kijana alianza kuufanya huu mchezo mwaka 2013....

Labda nami sijaelewa vizuri, nisahihishwe...
Kama anamiaka 25 manake kazaliwa 1991 sasa kumuona bro wake inamaana ni toka 1997 sasa kweli jambo aloliona 1997 kweli aje alifanye 2013 [emoji15]
 
Ila CHAPUTA dah, wengi hasa boarding wameipitia sana, sometimes school walikuwa wanaweka mafuta ya taa kwenye maharage ili kupunguza nguvu za kiume au ashki, maana ile kipindi ya balehe ashki huwa ziko juu sana, nadhani CHAPUTA inapunguza mimba shuleni, lakini ni mbaya sana, Vijana muokoke muache haya mambo
 
Ila CHAPUTA dah, wengi hasa boarding wameipitia sana, sometimes school walikuwa wanaweka mafuta ya taa kwenye maharage ili kupunguza nguvu za kiume au ashki, maana ile kipindi ya balehe ashki huwa ziko juu sana, nadhani CHAPUTA inapunguza mimba shuleni, lakini ni mbaya sana, Vijana muokoke muache haya mambo
Mafuta ya taa ni kwa wote ili kupunguza nyege Mkuu
 
Dah iyo kitu mbaya sana ,mm mpaka leo macho yang yamekufa kabisa yan mpaka nimeanza kuvaa miwan.Mwanzoni kabla sijaanza nilikuwa nakaa mwisho wa darasa ila baada ya kuwa mkufunzi wa hii kitu macho yang yakafifia kabisa nihamie mbele lakini bado nikawa sioni kitu.
Af sio hivyo tu bali ilichangia kunishusha kwa kias fulan kimasomo nikawa mtu wa kuvusha vusha tu kila muda na mtu wa kusahau sahau tu kila mara.
Huu ushuhuda Wa kweli
 
Nyeto ni hatari sema ukishaanza kuacha ni shughuli pevu!
 
Nafikiria kufungua Sober House kwa watu wa kundi hili nalo la kujiselfisha, mkitoka mko freshi kabisa. Wewe kama ni muhanga wa kujiselfisha na unahitaji msaada, LIKE tu hii comment nitakutafuta.

Hahaha nimecheka sana ina maana kuwe na rehab centre za puli?
 
Nafikiria kufungua Sober House kwa watu wa kundi hili nalo la kujiselfisha, mkitoka mko freshi kabisa. Wewe kama ni muhanga wa kujiselfisha na unahitaji msaada, LIKE tu hii comment nitakutafuta.
Hahaha chooni usiwaekee sabuni tuu
 
Uhatari wake nn mkuu? After all inchi ishajaa hii wacha watu wazimwage tu
Mkuu ubawa wake upo unapokuja kukutana na demu du! unaingiza tu ikipata lile joto la ndani fasta wazungu wanatoka!

Ukisha kuwa addicted unakuwa huna hamu na mademu kabisa! Unaeza ukaa na demu hata usikumbuke kumtongoza
 
Mkuu ubawa wake upo unapokuja kukutana na demu du! unaingiza tu ikipata lile joto la ndani fasta wazungu wanatoka!

Ukisha kuwa addicted unakuwa huna hamu na mademu kabisa! Unaeza ukaa na demu hata usikumbuke kumtongoza

Si ndio vzr au??
 
Habarini ndugu zangu

Mimi ni kijana wa miaka 25. Nipo maeneo ya kanda ya ziwa.

Hii ndo historia yangu ya ya kuanza kupiga punyeto. Mwaka 2013 ndo rasmi nilianzaga huu mchezo baada ya kusikia story na kumuonaga bro wangu nikiwa na umri wa miaka sita pale nilipoingia bafuri ghafla nikamkuta braza amekaa chini huku nakijiselfisha. Mwaka huo 2013 kama utani katika kuoga maji yamoto nikajikuta na mimi nimeanza huo mchezo.

Kuna kipind nilikua concord ile mbaya nilikua napiga kila baada ya saa ata mara tano kwa siku. Kuna siku nilipiga sasa wakati nipo katikati ya mchezo damu ikaanza kunitoka kwa sababu nilsugua sana nikashindwa niache ikaw raha tu mi nakandamiza tu na damu inatoka na maumivu juu. Niliendelea kupiga ingawa kwenye uume nilikua na vidonda.

Kuna kipindi nilipokua mzoefu niliachan na kupiga kwa sabuni nikawa natumia mate. Yaani nikishatema mate kidogo kwenye mkono basi inatosha kufanya mission possible. Maajabu ni pale kwa mara ya kwanza kupata papuchi aiseee niliaibika san ilishindwa kusimama.

Kwa mara zote tatu nilishindwa kuisimamisha mashine duhh yule binti alinikimbia aisehh. Baada ya ile hali kunijia nilimtafuta mganga mmoja akaniambia kwamba nitafute dawa hizi

1. mafuta ya mzeituni[hay nilikua napaka kuanzia uume wote na kweny korodani] au
2. kachumbari[nadhani mnaelewa kachumbari ile unayoichanya na pilipili mbuzi]
3. asali na mdalasini unaweka mdalasini[sijui kama unaitwa hivy maana ni kama magome ya mtu yanayowasha ukiyatafuna]

Sasa njia zote nilizitumia cha kushangaza yale mafuta ya mzeituni ndo yakawa kilaishi changu cha kpiga puli. Hahaha duhhh kama hujawahi anza huu mchezo please ata usijifunze utajuta. Sasa dawa ndo ivyo ikageuka ndo selfie oil yangu.

Ndugu zangu samahani kama nitakua nimemuuzi mtu huu mchezo nimeshindwa kuuacha. Sasa faida yake ni pale nilipolala na mtu. Aisehh mbona nilichoka kabisa aisehh wazungu wale hawatoki kabisa. But kama ukipata papuchi mnato ka sumaku duhh inatoka fasta na hasara yake ukitumia kondom haumwagi kabisa na saa nyingine inaweza\ isismame

nawasilisha sitaki kebehi
Mwenzang na mimi
 
Back
Top Bottom