BAKOI
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 1,211
- 2,329
Mkuu me natoa ushuhuda kabisa nilikuwa napiga punyeto miaka kama mitano mfululizo na ikaniathiri Sana lakini nikapata kusoma sehemu kuhusu tiba na kumuomba Mungu sasa hv naendelea vizuri kabisa nakiwasha mpaka kukuche goli la kwanza namaliza kwa dakika 40.Wakuu naombeni msaada wenu mm nilikuwa napiga sana masterbation au kujichua sasa misuli ya uume wangu umelegea sana na ombeni ushahuri kwa yoyote anaejua dawa ili nulejee kama awali
Sasa chakufanya n hv chemsha tangawizi mbichi halafu iteguwe then changanya na asali vijiko viwili pamoja na habati sawda ya unga kijiko kimoja kwa siku mara mbili( asubuhi na jioni). Njia ya pili fanya hivi chukua tende kiasi changanya na habati sawda pamoja na karanga isage halafu uwe unakunywa asubuhi na jioni kwa muda wa mwezi mmoja. Halafu leta mrejesho uone mambo yanavyokuwa hii unapona kabisa tatizo hilo. Ila kikubwa usisahau kumuomba Mungu akisaidie na pia akusamehe.
NB: utuletee mrejesho hapa