Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Ubaya porno naangalia nikiwa mwenyewe......ntajitahid kuacha au kuangalia nikiwa nae
Kila kitu hubadilika kila unapopiga step ya umri,,porn utafika mahali utazichoka tu,,hasa ukiwa na dem akakusatisfy huwi na hamu nazo hata kidogo.Waangaliaji wengi wa porn ni watu wa puchu wasio na madem,,ila ukiwa unafanya mapenzi hata mara moja per week huwezi kuwa na hamu ya kuangalia pornography.ila wewe kuwa karibu zaidi na dem wako automatically utaona anaijaza ile vacuum ya kuangalia porn.
 
Selfie, hii kitu hata mimi imenshi da kuacha kabisa, nna mke tena hajivungi unakula kila unapotaka lakini sasa punyeto kwa wiki lazima x2 yaani huwa sielewi.
 
Post nyengine mizinguo kl ki2 unaweza kuacha ila nafc yko tu ! Anaacha teja unga akiwa ridhaa japo yeye anapelekwa soba ss ww utapelekwa wap ? Hamna ki2o cha waloshindikana kwa kupga nyeto lbd muungane mumuombe mheshimiwa rais ! Ila yy ana kazi sn ! Ss jisaidie
 
Shida iko wapi mkuu
1.Kama unaangalia pornography acha.
2.Usipende kukaa mwenyewe.
3.Fanya mazoezi yatakayofanya mwili uchoke
4.Tafuta mpenzi kama huna.
5.Jiweke busy muda wote.
Na yote hayo mazuri mjumbe aliyokwambia Tafuta Msaada wa Kiroho Ndugu

Punyeto ni Kinyume na Amri za Mwenyezi Mungu.

Ukizingatia hayo utarudi hapa umefanikiwa kuacha kupiga punyeto.
 
Ahsante sana nimekuelewa sana
Fanyia kazi sasa,mwanamke ndiye mwanzo wa kila kitu.
ONYO:
Kamwe usiwambie mwanamke matatizo yako ya sehemu za siri.Ukimwambia mwanamke matatizo yako ya sehemu za siri,siku mkigombana,au ukimuudhi kidogo tu,ataanika siri zako zote hadharani ulizomwambia.Pia,kwa sababu wanawake kiasili hawana siri, anaweza toa siri zako zote ulizomwambia hata kama hamjagombana.
Kwa hiyo,usimwambie mwanamke yeyote siri zako,utakuja juta kuliko unavyojutia kupiga masturbation.
 
Pole sana,hayo ni kati ya matokeo ya mchezo huo mchafu wa kipepo.Hata hivyo upo uponyaji kwa Yesu.Hakuna analoshindwa.Tafuta mtumishi wa kweli wa Mungu sio wa aina ya akina Lusekelo akusaidie kwa maombi.
Habari wana JF,

Nimeona niandike tu hata sasa maana nimeshindwa kabisa kulala, nina miaka 26 now. Niliwahi kuwa mpiga punyeto mashuhuri hadi juzi kati tu nilipoamua kuacha lakini toka nimeacha na kuhamia kwa viumbe aliotuandalia Mungu hali sio shwari, uume wangu husimama legelege na nikitaka kuanza mchezo uume huzima kabisa.

Nashindwa kujua nifanye nini maana nimemaliza visingizio vyote kwa wasichana niliowahi kuwa nao.

Naombeni masaada wenu.
 
Back
Top Bottom