General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
Afu nyie ndo wanafki sanaHii kitu punyeto sijui ndo ikoje sijui ina nini..... Niishie hapa tu nisitake kujua zaidi
Unakuta wewe ndio mdau mkubwa wa hii kitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afu nyie ndo wanafki sanaHii kitu punyeto sijui ndo ikoje sijui ina nini..... Niishie hapa tu nisitake kujua zaidi
Kunywa maji mwananguAfu nyie ndo wanafki sana
Unakuta wewe ndio mdau mkubwa wa hii kitu
DUHHH!!!!!HUU MSALA
Nakunywaa!!Kunywa maji mwanangu
Mkuu mkuu umenikumbusha kitambo sana mambo ya ubozin IyungaAiseee nimependa faida,ila mbona ukifululiza kugegeda,punyeto waweza kesha hata.bao halitoki mapema
Inachosha kwa sasa,tofaut na enzi hizoo shulen,iyunga boyz
Habarini, nimeona niwashirikishe nilichokisikia toka kwa mkufunzi wa masuala ya mahusiano na ngono kama alivyokuwa akitoa semina katika kipindi cha "TED Talk show".
UKWELI.
1. Wale wale walio katika mahusiano wana nafasi kubwa ya kutaka kujaribu punyeto kuliko wasio katika mahusiano.
2. Mapenzi ya jinsia moja yanahusishwa kwa kiwanngo kikubwa na punyeto.
3. Wanaume wanapiga sana punyeto kuliko wanawake.
4. Vijana wanapiga sana punyeto kuliko wazee.
5. Wenye wasili ya ngozi nyeupe wanapiga sana punyeto kuliko ngozi nyeusi.
6. Kadri mtu anavyozidi kuwa na elimu kubwa ndivyo uwezekano wa mtu huyo kupiga punyeto huongezeka
7. Punyeto ni njia pekee ya kufanya ngono salama.
Punyeto hupunguza msongo wa mawazo
8. Karibu asilimia 95 ya wanaume wameshawahi jaribu punyeto katika maisha yao, halikadhalika ni asilimia 89 kwa wanawake.
9. Punyeto husababisha matatizo ya kiakili kama tuu utaendekeza. Maana wengine wanaweza piga punyeto hata muda wao wa kufanya kazi nk
UONGO.
1. Wanawake wanaotegemea Vitetemeshi katika
2. Punyeto katika umri mdogo hakuchangii mtoto huyo kuwa na mihemuko ya kimapenzi hapo baadae.
3. Punyeto kwa kiwango kikubwa hakisababishi matatizo ya kiafya kwa maana ya magonjwa. bali yasababishayo matatizo ya kiafya katika mchakato mzima wa punyeto ni vile vinavyotumika katika mchakato mzima wa punyeto ( kama vile vilainishi, Mafuta, mikono michafu n.k )
Hapa nimeyaweka baadhi tuu, Hayo pamoja na mengine mengi, pitia katika link ya video niliyoiweka mwanzoni mwa huu uzi ujionee na kusikia mwenyewe.
Pole sana,hayo ni kati ya matokeo ya mchezo huo mchafu wa kipepo.Hata hivyo upo uponyaji kwa Yesu.Hakuna analoshindwa.Tafuta mtumishi wa kweli wa Mungu sio wa aina ya akina Lusekelo akusaidie kwa maombi.
View attachment 447719 hiyo ya blue ni mishipa vein ya kuzuia damu isitoke na hiyo red artery ya kuingiza damu ukipiga punyeto unalegeza vein uune unalala uken au kabla sababu damu inatoka
Hahahahaha acting as if you are innocentHii kitu punyeto sijui ndo ikoje sijui ina nini..... Niishie hapa tu nisitake kujua zaidi
Naskia mmegundua njia mpya ya kutumia NZIOYOOOOOOOOOO CHAPUTAAAAA HOYEEEEEEEEEEEEEEEEE HAKUNA MADHARA KWA PUNYETO NA SAIZI TUNAFANYA INTERNATIONALLY HATUFANYI LOCALLY KWA KUTUMIA SABUNI ZINA CHEMICAL TUNA NJIA ZETU[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] KARIBUNI CHAPUTA MIE MWENYEKITI WA CHAPUTA KANDA YA KASKAZINI MIKOA YA ARUSHA MANYARA....