Habari wakuu...
Mimi ni kijana wa kiume wa miaka 20 nilianza kujiunga hiki chama pendwa cha PUNYETO kwa mwaka wa sita sasa(2011)....wakuu nikiwa miongoni wa vijana wa kike na kiume takribani asilimia 99 waliathirika na suala hili la PUNYETO na kuishi maisha mabaya na majuto sana....
Mambo niliyopitia au experience pindi nilipokuwa nafanya hivi
1.NI JAMBO LA MAJUTO SANA BAADA UFANYAPO(hapa naongelea imani yangu nimeokoka)
2..mara nyingi nilipoanza kila siku nilikuwa napanga lini nitaacha ila siku,mienzi,miaka imeendelea bila kuacha huu mchezo miaka na miaka..
3..ni mchezo ambao nimekuwa nikifanya kwa siri sana na sijui kama mtu analijua hili..
4..Imekuwa sehemu ya maisha yangu kwa kipindi kirefu sana
Kwanini nimekuja hapa..
1..Mungu anisamehe nilitaka kufanya yasiyo mpasa na mdada mmojà hapa uume wangu ulisinyaa kabisa na ulishindwa kusimama kabisa...
2..Punyeto imenifanya nimekuwa mtumwa sana kwa kutotambua thamani ya mwanamke,kuwa mtumwa juu ya mchezo ilifika kipindi mara 3 kwa siku..
3..PUNYETO imenitenga na uwepo na Mungu kwa waliokuwa na roho mtakatifu wanalijua hili nilivyoanza tofauti na sasa...
Ushauri wangu..
1..Naombeni kama weww ni mzazi unasoma huu uzi jaribu kukaa na kijana wako kumueleza ukweli juu ya hili la sivyo USHOGA NA LESBIAN itaendelea tu...
2..wewe kama kijana jaribu kuamua toka moyoni kuacha PUNYETO ila amini kwa msaada wa MUNGU akusaidie maana ni ngumu kwa mwili wako kushinda hiki kitu kwa kuwa kinaanzia pia katika ulimwengu wa roho(samahani muda mwingine ntakuja na maandiko)
Mwisho..
Kijana wenu nimeamua kutubu hii dhambi MUNGU anisamehee...Na nimeacha masterbation(PUNYETO)japo sikupenda niache kwa kupaza sauti ila nataka kufanya yafuatayo NAHITAJI KUPAZA SAUTI YANGU VIJANA WATOKEE KWENYE HILI JANGA...
NOTE...COMMENT CHOCHOTE UNACHOJISIKIA NAILEWA VIZURI JF