Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Ni janga zito haswaa, na sikuhizi sio ajabu mtu anaweza akawa ana mke au girlfriend ambae wala hana shida lakini bado mwanaume akaendeleza uraibu wake wa kujipiga nyama, haijalishi mtu ana cheo gani, hali ya uchumi, rika, elimu, n.k hili tatizo limemeza wengi sana ila ni jambo linalofanywa kwa usiri mno.

Chukua kurani au biblia, apa kwa imani kwa Mungu kwamba hautapiga punyeto kwa mwezi hivi (au wiki mbili kama una hali mbaya)

weka agano na Mungu kwamba ukienda kinyume na uliloapa basi akupe adhabu kali mno.

Huo uoga utakufanya uogope kuvunja agano pale unapopata ashki, baada ya kipindi hicho kuisha, weka agano upya, Nina imani ya kwamba kama kweli unataka kuacha huu mchezo basi ukufanya haya utaweza.
Mkuu hii njia wewe ilikusaidia kuacha? Hiyo adhabu kali mno ni ipi? Kukatwa mikono, kukata huyo mdudu wako au kufa kabisa? Hizo ndo adhabu kali zitakazokupa fundisho la kuvunja nadhiri na kuacha kabisa punyeto
 
Ni janga zito haswaa, na sikuhizi sio ajabu mtu anaweza akawa ana mke au girlfriend ambae wala hana shida lakini bado mwanaume akaendeleza uraibu wake wa kujipiga nyama, haijalishi mtu ana cheo gani, hali ya uchumi, rika, elimu, n.k hili tatizo limemeza wengi sana ila ni jambo linalofanywa kwa usiri mno.

Chukua kurani au biblia, apa kwa imani kwa Mungu kwamba hautapiga punyeto kwa mwezi hivi (au wiki mbili kama una hali mbaya)

weka agano na Mungu kwamba ukienda kinyume na uliloapa basi akupe adhabu kali mno.

Huo uoga utakufanya uogope kuvunja agano pale unapopata ashki, baada ya kipindi hicho kuisha, weka agano upya, Nina imani ya kwamba kama kweli unataka kuacha huu mchezo basi ukufanya haya utaweza.
Niliacha kupiga punyeto miaka mingi imepita, baada ya kusoma makala mbalimbali za nje ya nchi,zlikuwa zinaelezea kwamba kupiga punyeto ni aina fulani ya ugonjwa wa akili yaani kichaa,nilipata mstuko sana nanikaanza kujihurumua kwamba kumbe mimi ni kichaa,hapoukawa ndo mwanzo wangu wa kuacha mchezo huo mchafu,namshukuru MUNGU sana kwa kuniondolea uraibu huo ambao kwa mujibu wa wataalamu wa akili ya binadamu wanasema kwamba ni ukichaa fulani,hebu imagine mtu kwa kuangalia tu picha ya mwanamke aliye uchi,anajichua mpaka anamaliza shughuli,hicho ni kichaa tosha,unajua watu wengi bado wanadhani kuwa kichaa mtu lazima aokote malopo au akimbie kimbie barabarani,la hasha kuna vichaa vingine mtu anakuwa smart tu lakini anapokuwa peke yake sirini mambo si shwari.
 
Ni janga zito haswaa, na sikuhizi sio ajabu mtu anaweza akawa ana mke au girlfriend ambae wala hana shida lakini bado mwanaume akaendeleza uraibu wake wa kujipiga nyama, haijalishi mtu ana cheo gani, hali ya uchumi, rika, elimu, n.k hili tatizo limemeza wengi sana ila ni jambo linalofanywa kwa usiri mno.

Chukua kurani au biblia, apa kwa imani kwa Mungu kwamba hautapiga punyeto kwa mwezi hivi (au wiki mbili kama una hali mbaya)

weka agano na Mungu kwamba ukienda kinyume na uliloapa basi akupe adhabu kali mno.

Huo uoga utakufanya uogope kuvunja agano pale unapopata ashki, baada ya kipindi hicho kuisha, weka agano upya, Nina imani ya kwamba kama kweli unataka kuacha huu mchezo basi ukufanya haya utaweza.
Mkuu njia kubwa ya kuacha punyeto ni kuichukulia poa tu na kuipuuza.

Unaweza ukawa umeacha miaka mingi ila siku moja ukasema unashtua alafu unaanza kupata stress kweli za nini wakati imetokea tu just emergency ?

Sioni haja ya kukomaa na maagano wakati jambo lenyewe ni dogo tu na la kawaida tu kuacha.

Muna i overrate punyeto,sio jambo siriazi kiasi hiko,waambieni vijana kwamba punyeto ni jambo la kupuuzwa tu.
 
Hisia hizi huanza kujitokeza pale mtu anapofikia wakati wa kubarehe. Hapa ndiyo wakati mgumu na mbaya kwa kijana hasa kwa asiyejitambua na asiye na usimamizi wa karibu wa wazazi au walezi.

Ni wakati huu ndipo mbegu za kiume (manii) huanza kuzalishwa katika mwili wa kijana wa kiume na kupelekea kuanza kuona hitaji la kuwa na mchumba au hata mke.

Kutokana na maisha na tamaduni zetu wa afrika zilivyo hapo ndipo kijana huona hana namna zaidi ya kujichua pale anapokuwa hana mtu wa kujamiiana naye ili kupunguza hamu zake.

Kitendo hiki kimeathiri sehemu kubwa ya jamii. Kupiga punyeto au kujichua ni kitendo ambacho huleta matatizo makubwa ya muda mrefu ambayo muathirika huchelewa sana kuyatambua.

Tuangalie sasa madhara 20 yafuatayo ambayo ni matokeo ya kujichua kwa mwanaume:

1. Punyeto hukufanya uwe dhaifu, inapoteza protini na kalsiamu ndani ya mwili wako.

2. Huleta matatizo kwenye neva nyurolojia ndani ya mwili na kupelekea matatizo ya macho kutokuona vizuri

3. Ni moja ya kisababishi kikuu cha uhanithi (uume kushindwa kusimama)

4. Ni rahisi kuwa mtumwa wa kujichua (teja) unaweza kujaribu mara 1 tu na tayari ukawa teja wa jambo hilo kila mara

6. Husababisha mfadhaiko (stress) kwenye akili na kwenye roho yako pia

7. Huleta matatizo ya kisaikolojia, hukusababishia majonzi na huzuni na kukufanya kujilaumu nafsi mara baada ya kumaliza kujichua

8. Punyeto haifanyiki kirahisi, unahitaji akili yako iwaze au itazame picha mbaya au chafu au kumfikiria kimapenzi mtu asiyekuwepo hapo ulipo.

Hili ni jambo baya zaidi kwa afya kwani picha hizo hazikuondoki haraka kichwani mwako tofauti na ukishiriki tendo la ndoa na binadamu mwenzio moja kwa moja.

9. Punyeto inakupelekea kufanya makutano haramu kwakuwa hiyo hamu yako ya kutaka kujichua kila mara itakupelekea kuanza kutafuta vijarida au picha za ngono jambo ambalo ni baya zaidi kwa afya yako ya mwili na roho

10. Punyeto inapelekea tatizo lingine kubwa zaidi nalo ni kuwahi kufika kileleni utakaposhiriki tendo la ndoa na mwenza wako, hii itakuletea shida kwenye mahusiano yako wewe mwenyewe na hata kwa mwenza wako.

11. Punyeto inapunguza uwingi wa mbegu (reduces your sperm count) kama matokeo yake mwanaume hataweza kumpa mwanamke ujauzito. Hili la kuwa na mbegu chache ndilo chanzo kikuu cha ugumba kwa wanaume na ni matokeo ya kupiga punyeto mara kwa mara.

12. Kimaadili kabisa punyeto au kujichua ni jambo baya, unamuwaza fulani na kujikuta ukishiriki tendo la ndoa peke yako. Hii inapunguza thamani yako na nidhamu kwa wengine. Unaweza kuwa mzuri kwenye maeneo mengine mengi lakini utaishia kuwa na matatizo kama hutaiacha tabia hii haraka.

13. Punyeto inapoteza muda wako na kukufanya mtu usiye na faida

14. Raha ya kujichua haibaki akilini kwa kipindi kirefu kama vile ukishiriki tendo la ndoa kwa na mtu halisi

15. Punyeto husababisha ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu, ni vigumu kuwa na akili ya utulivu na kukumbuka vitu kama tayari umeshakuwa teja wa punyeto.

16. Kujichua siyo suluhisho la mwisho la hitaji lako, yaani hutaona kuridhika katika kitendo hicho, kadri unavyofanya ndivyo unavyoendelea kuhitaji zaidi na zaidi mpaka mwisho unakuwa hanithi kabisa bila kujitambua

17. Punyeto haina faida yoyote kwenye maisha yako ya kimapenzi, huihitaji kwa ajili ya chochote

18. Punyeto inaongeza aibu, inapunguza uwezo wa kujiamini. Wengi waliozoea kujichua hata kutongoza kwao huwa ni kazi kubwa mno kiasi wengine huona bora kuendelea kujichua kuliko kutongoza mwanamke.

19. Utapoteza hamu ya kushiriki tendo la ndoa kirahisi zaidi kama utaendelea kujichua.

Punyeto huchochea mapenzi ya jinsia moja hasa mashuleni, vyuoni na kwenye mahoteli na mwishowe hupelekea kusambaa kwa magonjwa mengi ya zinaa.

20. Punyeto inamaliza nguvu za kiume kama unapenda kujichua basi sahau kuwa na nguvu za kiume. Upungufu wa nguvu za kiume ni janga la kitaifa miaka ya sasa lakini chanzo kikuu ni vijana wengi wa kiume kuanza kujichua tangu wakiwa mashuleni
 
Back
Top Bottom