Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo,tena kwetu ndo balaaYani we wa kike ulipata madhara?😅
Na enjoy sasaVp baada ya kupata hayo madhara na kuacha ulirudi kuwa normal?
Naona kabisa 100% wewe ni mgeni ktk chama chetu pendwa cha CHAPUTA baharia wanaweka maagano mpaka na mizimu na bado wanajikoa kama kawa kama dawa
Mkuu hii njia wewe ilikusaidia kuacha? Hiyo adhabu kali mno ni ipi? Kukatwa mikono, kukata huyo mdudu wako au kufa kabisa? Hizo ndo adhabu kali zitakazokupa fundisho la kuvunja nadhiri na kuacha kabisa punyetoNi janga zito haswaa, na sikuhizi sio ajabu mtu anaweza akawa ana mke au girlfriend ambae wala hana shida lakini bado mwanaume akaendeleza uraibu wake wa kujipiga nyama, haijalishi mtu ana cheo gani, hali ya uchumi, rika, elimu, n.k hili tatizo limemeza wengi sana ila ni jambo linalofanywa kwa usiri mno.
Chukua kurani au biblia, apa kwa imani kwa Mungu kwamba hautapiga punyeto kwa mwezi hivi (au wiki mbili kama una hali mbaya)
weka agano na Mungu kwamba ukienda kinyume na uliloapa basi akupe adhabu kali mno.
Huo uoga utakufanya uogope kuvunja agano pale unapopata ashki, baada ya kipindi hicho kuisha, weka agano upya, Nina imani ya kwamba kama kweli unataka kuacha huu mchezo basi ukufanya haya utaweza.
Niliacha kupiga punyeto miaka mingi imepita, baada ya kusoma makala mbalimbali za nje ya nchi,zlikuwa zinaelezea kwamba kupiga punyeto ni aina fulani ya ugonjwa wa akili yaani kichaa,nilipata mstuko sana nanikaanza kujihurumua kwamba kumbe mimi ni kichaa,hapoukawa ndo mwanzo wangu wa kuacha mchezo huo mchafu,namshukuru MUNGU sana kwa kuniondolea uraibu huo ambao kwa mujibu wa wataalamu wa akili ya binadamu wanasema kwamba ni ukichaa fulani,hebu imagine mtu kwa kuangalia tu picha ya mwanamke aliye uchi,anajichua mpaka anamaliza shughuli,hicho ni kichaa tosha,unajua watu wengi bado wanadhani kuwa kichaa mtu lazima aokote malopo au akimbie kimbie barabarani,la hasha kuna vichaa vingine mtu anakuwa smart tu lakini anapokuwa peke yake sirini mambo si shwari.Ni janga zito haswaa, na sikuhizi sio ajabu mtu anaweza akawa ana mke au girlfriend ambae wala hana shida lakini bado mwanaume akaendeleza uraibu wake wa kujipiga nyama, haijalishi mtu ana cheo gani, hali ya uchumi, rika, elimu, n.k hili tatizo limemeza wengi sana ila ni jambo linalofanywa kwa usiri mno.
Chukua kurani au biblia, apa kwa imani kwa Mungu kwamba hautapiga punyeto kwa mwezi hivi (au wiki mbili kama una hali mbaya)
weka agano na Mungu kwamba ukienda kinyume na uliloapa basi akupe adhabu kali mno.
Huo uoga utakufanya uogope kuvunja agano pale unapopata ashki, baada ya kipindi hicho kuisha, weka agano upya, Nina imani ya kwamba kama kweli unataka kuacha huu mchezo basi ukufanya haya utaweza.
Mkuu njia kubwa ya kuacha punyeto ni kuichukulia poa tu na kuipuuza.Ni janga zito haswaa, na sikuhizi sio ajabu mtu anaweza akawa ana mke au girlfriend ambae wala hana shida lakini bado mwanaume akaendeleza uraibu wake wa kujipiga nyama, haijalishi mtu ana cheo gani, hali ya uchumi, rika, elimu, n.k hili tatizo limemeza wengi sana ila ni jambo linalofanywa kwa usiri mno.
Chukua kurani au biblia, apa kwa imani kwa Mungu kwamba hautapiga punyeto kwa mwezi hivi (au wiki mbili kama una hali mbaya)
weka agano na Mungu kwamba ukienda kinyume na uliloapa basi akupe adhabu kali mno.
Huo uoga utakufanya uogope kuvunja agano pale unapopata ashki, baada ya kipindi hicho kuisha, weka agano upya, Nina imani ya kwamba kama kweli unataka kuacha huu mchezo basi ukufanya haya utaweza.
Ubalaa wake uko wapi na nyie hamna moving parts!?Ndiyo,tena kwetu ndo balaa
Duh!!!Katika vitu ambavyo sitarajii kuviacha mpaka izraili anaitwaa roho yangu kimojawapo ni kunyetuka
😂😂😂Yanga mmeanza
Mimi rivers UTD kiongoziYanga mmeanza
Sana surePole sana mkuu,tafuta MTU wa kukupa raha,utaacha mbona