Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Jipake mafuta ya Simba kwenye uume wako kabla ya kila tendo.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Duu, Hii ni kweli? Dar es salaam yanapatikana wapi?
 
ukipata demu nenda bafuni upige nyeto then urudi kwa demu kale kwa keanza aka kiherehere kanakuwa kametoka then unapiga goma
 
Kwa kawaida raundi ya 2 inachukua muda zaidi ya raundi ya 1, so ukiwa na game piga nyeto kwanza may be 30minutes kabla ya game ili usije ukapata shida ya jamaa kusimama, then nenda kwenye game ambapo sasa hiyo itakuwa raundi ya 2 ambayo definetely itachukua muda. Ukiweza kufanya vizuri (kudumu kwenye game kwa muda mrefu) mara moja tu itakujengea confidence na utajifunza namna ya control na utaachana kabisa na nyeto.
 
hahaha....duh nyeto mbaya...mambo ya kujipimia utamu mwenye....baba K huwezi jipimia mnato hahaha

wewe mzabzab wewe? kijana anataka ushauri wewe unamcheka ee... shauri yako
 
Ukipiga goli, tiliza boli kidogo halafu chekecha mashine endelea na mzigo...
 
  • Thanks
Reactions: PhD
kwaza fahamu kuwa wewe si mgonjwa. ni mzima sema hako kamchezo haujakapatia.

cha kwanza, inaonesha mwenza wako hakuandai baada ya wewe kufika kwa mara ya kwanza. ndiyo maana unashindwa kusimamisha tena, pia inaonesha unamfadhaiko, na unapoingia ulingoni unahisi huwezi, hivyo unakuwa umeshashindwa hata kabla ya mchezo.

CHA KUFANYA.
1. JIAMINI KUWA HAUNA TATIZO
2. UNAPOFANYA TENDO, JARIBU KUPELEKA MAWAZO SEHEMU NYINGINE NA SIYO KWENYE TENDO (WAZA MENGINE, HATA KAMA NI SHIDA, LABDA MADENI, KODI YA NYUMBA, NA MENGINE YATAKAYO CHOTA MAWAZO).
3. PIA KAMA UNAWAHI KABLA HATA YA DKK 1, FANYA KITU KIMOJA, MUANDAE MWENZA WAKO SANA ILA USIMRUHUSU AKUANDAE, HII ITAPELEKEA KUCHELEWA KIDOGO.
4. PIA UNAWEZA KUVAA CONDOM, SOMETIMES HUSAIDIA KUMFANYA MTU ACHELEWE, PIA ITAKULINDA NA MAAMBUKIZO.
5.PIA UNAWEZA KUWA UNAMALIZIA NJE, YAANI UKITAKA KUFIKIA KILELENI, UWE UNACHOMOA (Kwa kitaalamu wanaita withdrawal), PIA ITAKUSAIDIA KUFANYA UUME WAKO USILALE, KWANI KWA KUMALIZIA NDANI NDO KUNAKOLAZA UUME WAKO.
6.PIA KUNAPO FIKA KWA MARA YA KWANZA NA BADO IKALALA, JARIBU KUMWAMBIA MWEZA WAKO AKUTOMASE TOMASE, AKUAMBIE MANENO MATAMU (wengine hupenda kuambiwa rude words, kama honey leo kweli ume...... kweli kweli, n.k),
PIA KAMA HAKUKUANDAA MARA YA KWANZA BASI HUU NDO MUDA WA KUKUANDAA. VILIVYO... BILA SHAKA JOGOO ATASIMAMA TU.
7.PIA ANAWEZA KUKUNYONYA UUME, PINDI UNAPOMALIZA KABLA HII, ITAKUSAIDIA KUSIMAMISHA.
8. ILI YOTE HAYA YAFANIKIWE UNATAKIWA UWE NA MPENZI MMOJA, PIA MUELEZE NA MUELEKEZE TATIZO LAKO NA KWA MSAADA WAKE NA WAKO MSAIDIANE, MTAANIKIWA.

UKISHINDWA NA HAYO BASI MUONE DAKTARI.

SAMAHANI WANABODI KAMA NIMETUMIA MANENO YENYE UKAKASI
 
Mawazo na ushauri wenu kabla ya kuufanyia kazi nshajiona kama cna tatzo,asanten endeleen kunishauri
 
hata mie ni mpiga nyeto mstaafu, cjawah kupata madhara yoyote mpaka sasa.! tatizo la kumwaga mapema liliwah kuntokea, nikimwaga cna hamu ya kurudia tena.! baada ya kujichunguza nkagundua kwamba nikikaa muda mrefu bila ku-do ndo napata tatizo hlo! lakin nikifanya kila cku yaani nakuwa fit ile mbaya mpaka cku 1 demu alipiga magoti kuomba nimwache apumzike! dogo nakushauri ondoa woga na uombe gemu mfululizo wiki moja utanipa jibu
 
Mwanzo mgumu. Tatizo kutojiamini. Love your pen*s, itunze itakujengea heshima.
 
kwaza fahamu kuwa wewe si mgonjwa. ni mzima sema hako kamchezo haujakapatia.

cha kwanza, inaonesha mwenza wako hakuandai baada ya wewe kufika kwa mara ya kwanza. ndiyo maana unashindwa kusimamisha tena, pia inaonesha unamfadhaiko, na unapoingia ulingoni unahisi huwezi, hivyo unakuwa umeshashindwa hata kabla ya mchezo.

CHA KUFANYA.
1. JIAMINI KUWA HAUNA TATIZO
2. UNAPOFANYA TENDO, JARIBU KUPELEKA MAWAZO SEHEMU NYINGINE NA SIYO KWENYE TENDO (WAZA MENGINE, HATA KAMA NI SHIDA, LABDA MADENI, KODI YA NYUMBA, NA MENGINE YATAKAYO CHOTA MAWAZO).
3. PIA KAMA UNAWAHI KABLA HATA YA DKK 1, FANYA KITU KIMOJA, MUANDAE MWENZA WAKO SANA ILA USIMRUHUSU AKUANDAE, HII ITAPELEKEA KUCHELEWA KIDOGO.
4. PIA UNAWEZA KUVAA CONDOM, SOMETIMES HUSAIDIA KUMFANYA MTU ACHELEWE, PIA ITAKULINDA NA MAAMBUKIZO.
5.PIA UNAWEZA KUWA UNAMALIZIA NJE, YAANI UKITAKA KUFIKIA KILELENI, UWE UNACHOMOA (Kwa kitaalamu wanaita withdrawal), PIA ITAKUSAIDIA KUFANYA UUME WAKO USILALE, KWANI KWA KUMALIZIA NDANI NDO KUNAKOLAZA UUME WAKO.
6.PIA KUNAPO FIKA KWA MARA YA KWANZA NA BADO IKALALA, JARIBU KUMWAMBIA MWEZA WAKO AKUTOMASE TOMASE, AKUAMBIE MANENO MATAMU (wengine hupenda kuambiwa rude words, kama honey leo kweli ume...... kweli kweli, n.k),
PIA KAMA HAKUKUANDAA MARA YA KWANZA BASI HUU NDO MUDA WA KUKUANDAA. VILIVYO... BILA SHAKA JOGOO ATASIMAMA TU.
7.PIA ANAWEZA KUKUNYONYA UUME, PINDI UNAPOMALIZA KABLA HII, ITAKUSAIDIA KUSIMAMISHA.
8. ILI YOTE HAYA YAFANIKIWE UNATAKIWA UWE NA MPENZI MMOJA, PIA MUELEZE NA MUELEKEZE TATIZO LAKO NA KWA MSAADA WAKE NA WAKO MSAIDIANE, MTAANIKIWA.

UKISHINDWA NA HAYO BASI MUONE DAKTARI.

SAMAHANI WANABODI KAMA NIMETUMIA MANENO YENYE UKAKASI
Mkuu.@dfreym Kwa Tendo la kupiga Punyeto Mkuu Rtd amesha athirika kimwili Nguvu za kiume zimesha punguwa ushauri wako hautaweza

kumsaidia ili aweze kuwa na nguvu za kiume kinachotakikana kwanza kabisa aache kupiga punyeto jambo la

pili atafute Dawa za kuweza kurudisha nguvu zake za kiume.

MAMBO 13 YANAYOSABABISHA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

Upungufu wa nguvu za kiume husababishwa na magonjwa ya moyo, kisukari,mafuta mengi mwilini (high cholesterol), uvutaji sigara, matumizi ya madawa ya kulevya, matatizo katika uhusiano, mawasiliano duni na mwenza wako, matatizo ya kisaikolojia, msongo wa mawazo, wasiwasi(anxiety),unywaji pombe,upungufu wa homoni aina ya testerone, kuongezeka uzito au uzito uliopitiliza, tabia ya kujichua kwa muda mrefu Punyeto (masturbation).

Dawa za nguvu ya Kiume kwamwenye kutaka bonyeza hapa https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/196934-dawa-za-nguvu-za-kiume-kwa-anayetaka.html au wasiliana na mimi kwa njia ya Email nitumie barua ya pepe Address yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com
 
Hilo ni fundisho tosha kabisa kwa wale wanaopiga mgalala wawe makini watakujakosa watoto hivi hivi
 
Back
Top Bottom