Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duu, Hii ni kweli? Dar es salaam yanapatikana wapi?Jipake mafuta ya Simba kwenye uume wako kabla ya kila tendo.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Duu, Hii ni kweli? Dar es salaam yanapatikana wapi?
ataachaje kuwaza utamu wakati yupo hapo kwenye utamu halisia wewe
hahaha....duh nyeto mbaya...mambo ya kujipimia utamu mwenye....baba K huwezi jipimia mnato hahaha
Mafuta ya simba?? Dah atayapata wapi hayo!!
Xaxa wewe Xi uache tu hayo maXuala ya mademu?-- Kwa uandishi kama huu? No wonder unajikoboa hadi miaka 23.
Mwanzo mgumu. Tatizo kutojiamini. Love your pen*s, itunze itakujengea heshima.
Mkuu.@dfreym Kwa Tendo la kupiga Punyeto Mkuu Rtd amesha athirika kimwili Nguvu za kiume zimesha punguwa ushauri wako hautawezakwaza fahamu kuwa wewe si mgonjwa. ni mzima sema hako kamchezo haujakapatia.
cha kwanza, inaonesha mwenza wako hakuandai baada ya wewe kufika kwa mara ya kwanza. ndiyo maana unashindwa kusimamisha tena, pia inaonesha unamfadhaiko, na unapoingia ulingoni unahisi huwezi, hivyo unakuwa umeshashindwa hata kabla ya mchezo.
CHA KUFANYA.
1. JIAMINI KUWA HAUNA TATIZO
2. UNAPOFANYA TENDO, JARIBU KUPELEKA MAWAZO SEHEMU NYINGINE NA SIYO KWENYE TENDO (WAZA MENGINE, HATA KAMA NI SHIDA, LABDA MADENI, KODI YA NYUMBA, NA MENGINE YATAKAYO CHOTA MAWAZO).
3. PIA KAMA UNAWAHI KABLA HATA YA DKK 1, FANYA KITU KIMOJA, MUANDAE MWENZA WAKO SANA ILA USIMRUHUSU AKUANDAE, HII ITAPELEKEA KUCHELEWA KIDOGO.
4. PIA UNAWEZA KUVAA CONDOM, SOMETIMES HUSAIDIA KUMFANYA MTU ACHELEWE, PIA ITAKULINDA NA MAAMBUKIZO.
5.PIA UNAWEZA KUWA UNAMALIZIA NJE, YAANI UKITAKA KUFIKIA KILELENI, UWE UNACHOMOA (Kwa kitaalamu wanaita withdrawal), PIA ITAKUSAIDIA KUFANYA UUME WAKO USILALE, KWANI KWA KUMALIZIA NDANI NDO KUNAKOLAZA UUME WAKO.
6.PIA KUNAPO FIKA KWA MARA YA KWANZA NA BADO IKALALA, JARIBU KUMWAMBIA MWEZA WAKO AKUTOMASE TOMASE, AKUAMBIE MANENO MATAMU (wengine hupenda kuambiwa rude words, kama honey leo kweli ume...... kweli kweli, n.k),
PIA KAMA HAKUKUANDAA MARA YA KWANZA BASI HUU NDO MUDA WA KUKUANDAA. VILIVYO... BILA SHAKA JOGOO ATASIMAMA TU.
7.PIA ANAWEZA KUKUNYONYA UUME, PINDI UNAPOMALIZA KABLA HII, ITAKUSAIDIA KUSIMAMISHA.
8. ILI YOTE HAYA YAFANIKIWE UNATAKIWA UWE NA MPENZI MMOJA, PIA MUELEZE NA MUELEKEZE TATIZO LAKO NA KWA MSAADA WAKE NA WAKO MSAIDIANE, MTAANIKIWA.
UKISHINDWA NA HAYO BASI MUONE DAKTARI.
SAMAHANI WANABODI KAMA NIMETUMIA MANENO YENYE UKAKASI