Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Mkuu MziziMkavu hayo maelezo yanajitosheleza na itakuwa jibu kwa maswali kama haya ambayo hujitokeza mara kwa mara. Ila hujatoa ushauri kwa wale washaoathirika tayari jee kuna tiba yakuwatibu waathirika..?? Mimi naongezea tu kwa kusema kwamba kitendo hiki kinaweza kusababisha mishipa ya dushelele ikashindwa kufanya kazi kabisa, kwahio sio tu kupunguza nguvu za kiume bali kuna uwezekano wa kuzimaliza kabisa, na kuzirejesha ni ngumu kama inawezekana..
Mkuu mathcom Walioathirika kwa kupiga Punyeto na hawana kwa sasa nguvu za kiume ninawaomba watembelee hapa https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/196934-dawa-za-nguvu-za-kiume-kwa-anayetaka.html Unaweza pia kunitumia Email Baruwa ya pepe Email yangu Address hii hapa fewgoodman@hotmail.com
 
Last edited by a moderator:
Vyakula kama:
Ndizi,parachichi,walnunts,asparagus,vitunguu swaumu,beef,dark chocolate and ginseng...
Nakushauri vilevile uepuka kunywa pombe,kuvuta sigara na kutumia sukari nyingi(artifical sugars)...
Jaribu kula healthy mfano mboga na matunda mengi na itakuwa vizuri zaidi ukifanya mazoezi pia....
 
vyakula kama
Ndizi,parachichi,walnunts,asparagus,vitunguu swaumu,beef,dark chocolate and ginseng...
Mimi 49,ili hali yako kurudi sawa,yaani maumbile,kwa wale walioathirika na masturbation,wanafanyaje??
 
Last edited by a moderator:
Mimi 49,ili hali yako kurudi sawa,yaani maumbile,kwa wale walioathirika na masturbation,wanafanyaje??
Naweza kusema psycology inachangia ni lazima kuepuka kupiga puchu kwanza na kuepuka vishawishi vilevile jiweke busy,fanya mazoezi..Mwili wa mwanaadamu yoyote unajengeka na vyakula healthy navyo ni mboga za aina tofauti,matunda,carbohydrates(potatoes,rice,cereals),proteins(samaki,nyama,kuku) n.k
 
Kujichua au kujichezea(kupiga puri au punyeto) sio kwa wanaume tu bali hata wanawake wanafanya hivyo ila wengi wao huwa hawako huru kulizungumzia au kukili kuwa wakizidiwa huwa wanajisaidia.

Wakati mwingine mtu anashindwa kabisa kupata usingizi mpaka upige moja-mbili ndio usingizi unakuja au asubuhi unajisikia mzito kuamka kitandani mpaka upige moja ndio nguvu zinakuja hasa kama umezoea dozi za maana lakini sasa mpenzi hayupo karibu.

Leo nitaongelea Hasara za kujichua au kujichezea kwa mwanaume.

HASARA ZA KUJICHUA KWA MWANAUME:
1. Kupungua kwa hamu ya kufanya mapenzi.
Athari kubwa ya kupiga puri ni kuwa hupunguza kwa kiasi kikubwa hisia za mapenzi za mwanaume na kumfanya awe mtumwa sawa na mtumwa wa pombe.

2. Huathiri mfumo mzima wa kufanya mapenzi na kumfanya apizi haraka sana ( ndani ya dakika 3 tu).

Hii inatokana na kweli kuwa mwili wako unakuwa umeuzoeza kutoa mbegu kwa dakika chache kupitia njia ya kujichua.Tambua kuwa hakuna kitu wanawake wanachukia kama kupizi mapema.

3.Humfanya mwanaume ashindwe kurudia ROUND YA PILI NA KUENDELEA.

Hakuna mwanaume anayeweza kujichua kwa round tatu mfululiza hapo hapo.

Kwa kuwa mwili unakuwa umeuzoeza kupiga round moja tu,tena fasta,ndivyo itakavyo kuwa hata ukiwa na mpenzi wako.


Amini au usiamini.Ukweli ni kwaba hutaweza kurudia round kaka.

Vinginevyo upewe masaa kadhaa ya kupumzika.


4.Humfanya mwanaume kuwa MTUMWA wa kujichua.

Athari nyingine ya kujichua ni kuwa humfanya mwanaume awe mtumwa.

Kama alizoea kupiga puri wakati wa kulala,au asubuhi, au mchana ni lazima afanye hivyo kila siku.

Haijalishi yuko wapi.Hata angekuwa na wenzake,ni lazima atakimbilia hata chooni ili mradi afanye hivyo.



5.Humfanya mwanaume ashindwe kabisa kutoa bao.

Hii hutokea kwa mwanaume aliyezoea kupiga puri kwa miaka kadhaa.

Jamani,nafikiri mtakubaliana na mimi kuwa VIDOLE ni tofaut kabisa na Njia ya uzazi wa mwanamke.Kwanza ni vigumu na havina maji maji.Hali hii humfanya mwanaume ashindwe kupizi au kusimamisha, na hilo ni tatizo.

Sasa inapotokea ukafanya mapenzi live baada ya kutoka katika kipindi kirefu cha kupiga puri,mwili hushindwa kuendana na mabadiliko hayo.

6 Ni rahisi kupatwa na maradhi kama KANSA YA KORODANI.Kwa kitaalamu inaitwa PROSTATE CANCER.

Gonjwa hili hushambulia mirija ya chini ya uume na huufanya mkojo kuwa na mrundikano mwingi wa damu.
 
Hili somo huwa halichuji?

Kuna hili na la sehemu za kumpagawisha mwanamke, tumeshasoma, tukafanya mitihani, tukafaulu theory kwa kiwango hatarishi, tukafeli practical sana. Bado tunahitaji theory? Tuwekeeni maabara tufanye mazowezi, tumechoka kuimbishwa bure bure tu.

Kama sauti hata kasuku anayo.
 
Jamani nishaurini jinsi yakuacha kupiga punyeto/ kujichua. Nimeathirika kwa kweli.

=======
Similar cases:

Heshima kwenu wadau,

Nimekuwa nikipiga punyeto walau mara 5 kwa siku. Mchezo huu niliuanza mwaka 2008 mpaka sasa naendelea.

Nikiwa boarding kuuacha nilishindwa, nilivyooa nikapunguza kasi... Sasa mke yupo likizo takriban miez 2, mpaka muda huu naandika huu uzi najiandaa kupiga cha tano...

Natamani niache; je, nitumie njia gani?
Wakuu,

Ni kidume cha miaka 24, nimefanya tohara Kama miezi mitatu hivi iliopita, tangu nilipofanya tohara nimekuwa na tatizo uume kusimama mara kwa mara, yaani nikiona mdada kajaaliwa neema za Mungu basi hapo uume unasimama dede kwelikweli na haushuki hadi nikapige punyeto au nifanye mapenzi na msichana, na mara nyingi nakuwa naishia kupiga nyeto au kwa housegirl wetu.

Hebu niambieni tatizo ni nini? Maana Kabla ya tohara hali haikuwa kama hivi.

Mimi ni kijana mwenye miaka 22 na huu ndio ukweli wangu kuhusu swala linalonisibu naomba msaada.

Nilivyotimiza umri wa miaka 13 ndipo nilipoanza kubalehe na nyeti yangu kuwa kubwa hapa ndipo nilipogundua kua nimebalehe.

Takribani siku zinavyokwenda na kukaa mtaani ndio nikajua kitu kinaitwa punyeto pamoja na picha za ngono. Kiukweli nikawa nafurahia sana.

Naangalia picha zile na baadae kupiga punyeto, niliendelea na michezo hiyo mpaka nikawa addicted na sikuwahi kumuwaza msichana kwani nilikuwa namuogopa. Miaka ikazidi kwenda ndipo mwaka 2009 nikaanza kuhisi utofauti.

Nikisimama uume wangu hauna nguvu na niliogopa sana. Baada ya tukio hili nikawa sina raha, nikawa naenda kwenye tiba za asili nanunua dawa lakini wapi hazikusaidia.

Nilitamani sana kuacha punyeto lakini ikawa haiwezekani kwani nikikaa hata siku tatu haziishi lazima nifanye mchezo huo.

Kwa ufupi nikawa addicted kama mlevi wa unga na nikiamka nikilala nawaza ngono tu japo nguvu sina. Nilipataga wanawake ila nikawa siwezi kusex sana sana ntafanya mara moja na saa nyingine nishindwe kabisa.

Huu ni mwaka wa tatu sina mwanamke maana wengi walinkimbia. Maisha yangu ni picha za x na nyeto.

Kila siku usiku na asubuhi lazima nifanye hivyo japo sina nguvu wala hisia kwa mwanamke ila nikiangalia x napata hisia na uume wangu husimama na hushiriki tendo la punyeto.

Huu ni mwaka wa tatu sasa mie ni punyeto tu kila siku usiku na asubuhi. Mpaka sasa kitendo hicho kimepoteza dira ya maisha yangu kwani kuna effects kibao ambazo nimezipata na natamani kulia.

1.Sina uwezo wa nguvu za kiume

2.Uwezo wa kufikiri na kutunza kumbukumbu sina

3.Japo nna umri wa miaka 22 naanza kuota kipara

4.Nachoka sana, muda mwingi nalala tu

5.Vision yangu ya macho imepungua haiko vizuri kama mwanzo

6.Nmepoteza uaminifu kwangu mwenyewe kwani najihisi nisiyestahili chochote, yaani sijiamini hata kidogo.

Mbaya zaidi sina kazi na kiuchumi siko vizuri, shuleni nilikuwa nina akili sana ila kumbe nilikua nashuka kutokana na kuvuruga kichwa ila sikujua.

Jamani punyeto ni mbaya effect yake ni ya longterm huwez kuexperience mwanzoni mpaka baada ya miaka mitano na kuendelea. Yaaani najihisi nimezeeka ama baby aliyepo katika mwili wa kijana.

Naomba msaada wenu
 
Umeathirika kivipi? Penis haisimami au u dnt feel anythng infornt of naked woman?or what?
 
Last edited by a moderator:
TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME






[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD]
attachment.php
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]PILIPILI[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


Punyeto ( kwa wanaume ) ni kitendo cha mwanaume, kujifikisha mwenyewe kileleni kwa kujichua uume hadi kumwaga mbegu za kiume. Uchunguzi unaonyesha katika watu wa jinsia ya kiume kumi

wenye umri wa kuanzia miaka 16 hadi 45, angalau wanne kati yao wamewahi kupiga punyeto katika kipindi fulani cha maisha yao, na wawili kati yao wanajihusisha na upigaji punyeto. Uzoefu

unaonyesha, asilimia kubwa ya wanaume wanao piga punyeto huanza katika umri wa kubalehe ( miaka 14-16 ), wengine huachana na tabia hiyo mara baada ya kupata wapenzi wa kike ama kuoa na wengine huendelea na tabia hiyo hata baada ya kuoa .

Zipo sababu mbalimbali zinazo wapelekea wanaume kupiga punyeto, ila kubwa kati ya hizo ni pamoja na kutokuwa na wapenzi, kutokuwa na wapenzi wanao kidhi vigezo vyao, kuwa katika mazingira yasiyokuwa na wanawake ( mfano katika shule za sekondari za bweni za wavulana tu ), kujiepusha na hatari ya kupata maambukizi ya v.v.u nakadhalika

ATHARI ZA PUNYETO KWA WAVULANA.

Punyeto ina athari nyingi na kubwa sana kwa wanaume wanao jihusisha nayo, lakini kwa leo, tutaangalia athari moja kubwa kati ya nyingi. Athari hii si nyingine bali na

KUUA NGUVU ZA KIUME
.

Mwanaume anayepiga punyeto hutumia nguvu nyingi kuibana mishipa inayo fanya uume usimame. Mwisho wa siku uume hulegea na kusinyaa, na kukosa nguvu kabisa na hatimaye mhusika kuwa khanithi. Uchunguzi unaoonyesha, kuna idadi kubwa sana ya wanaume wanao

sumbuliwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume kama matokeo ya kupiga punyeto kwa muda mrefu. Athari za mwanaume kutokuwa na nguvu za kiume, nadhani zinajulikana, ila kwa faida ya wote tutazizungumzia kwa kina siku za mbele, lakini kwa ufupi ni aibu kubwa sana kwa mwanaume kukubali kuua ufanisi wa uume wake kwa sababu ya kupiga punyeto.

MUNGU HAPENDI PUNYETO : ( MIONGONI MWA WANANZUONI WA MASOMO YA BIBLIA DHAMBI YA KUPIGA PUNYETO HUJULIKANA KAMA ONANISM )

Kwa mujibu wa maandiko matakatifu, upigaji punyeto ni moja kati ya matendo yanayo muudhi Mwenyezi Mungu, kwa sababu yanapigana na utaratibu aliouweka .

Kwenye kitabu cha MWANZO 38:9, Onan mwana wa Yuda aliagizwa na baba yake ( Yuda ) kwenda kumjua mke wa kaka yake ( Onan ) ili aweze kumzalia watoto. ( Kwa mujibu wa mila na desturi za kiyahudi wakati huo, kaka anapofariki bila kucaha mtoto, ndugu wa kiume wa

marehemu hutakiwa kwenda kumuoa mjane aliye achwa na kaka yake, na watoto watakao zaliwa watabeba jina la marehemu kaka yake..., aina hii ya ndoa hujulikana kama LEVIRATE MARRIAGE )Biblia inasema, Onan hakutaka kumpa mimba mjane wa kaka yake ilihali akijua

watoto watakao zaliwa hawatakuwa warithi wake, hivyo basi kila mara alipokutana kimwili na mjane wa kaka yake, alimwaga mbegu zake pembeni. Biblia inasema katika kitabu kile cha Mwanzo 38: 10 "

" Alicho kifanya kilikuwa ni chukizo kubwa mbele za Mwenyezi Mungu hivyo Mwenyezi Mungu akampa adhabu ya kifo! "

Umeona! Kumbe basi adhabu ya kiroho ya tendo la masturbation ni "umauti!". Umauti huo unaweza usiwe kama ulio mpata Onan, ila unaweza kuja katika sura tofauti. Mfano kufa kwa nguvu za kiume, ni adhabu tosha sana kwa mwanaume yoyote yule duniani na inaweza kuwa kali kuliko hata ile aliyopewa Onan.

DAWA YA ASILI NA YA UHAKIKA YA KUKUFANYA UACHE KUFANYA PUNYETO.

Uzoefu unaonyesha, mtu anayepiga punyeto, hata kama ameathiriwa na tatizo la punyeto kwa kiwango gani, endapo atafanikiwa kutopiga punyeto kwa muda wa siku arobaini mfululizo, mtu huyo hatopiga tena punyeto katika siku zote za maisha yake kwani tayari mtu huyo atakuwa amerudia katika hali yake ya kuto kuwa addicted tena na upigaji punyeto, na atalichukia kabisa hata jina la tendo hilo achilia mbali tendo lenyewe.

UFANYE NINI ILI USIPIGE PUNYETO KWA MUDA WA SIKU AROBAINI MFULULIZO!

Sio rahisi kwa mtu aliyekuwa addicted na punyeto kustahimili kujizuia kupiga punyeto kwa muda wa siku arobaini mfululizo. Anaweza kujizuia kupiga punyeto kwa siku mbili lakini baada ya hapo ataendelea tena na mchezo wako.

ATUMIE DAWA IPI?

PILIPILI

Pilipili inayo hitajika hapa ni yoyote ile ili mradi iwe kali sana, ( Ila inayo pendekezwa ni pilipili mbuzi ama pilipili kichaa, pilipili hoho haihusiki hapa ).

MATUMIZI
Kwanza kabla ya kujua matumizi ni vyema ukatambua muda ambao huwa unapiga punyeto ( Mara nyingi huwa ni asubuhi baada ya kuamka,wakati wa kuoga ama usiku kabla ya kulala ).

Chukua pilipili zako, zipasulie kwenye viganja vya vidole vyako na kujipakaza katika viganja vya vidole vyako. Unaweza kutumia pili moja kwa kila kiganja, na kwa kila muda ambao huwa unapiga punyeto lakini unaruhusiwa kujipakaza zaidi ya pilipili moja.

Ukishajipaka pilipili kwenye viganja vya vidole vyako, moja kwa moja unakuwa umekwisha jilazimisha kutokufanya punyeto, kwa sababu ukipiga punyeto kwa viganja ambavyo vina pilipili utawashwa sana wala hautaweza kufurahia tendo hilo.

JAMBO LA KUZINGATIA : Hakikisha unakuwa na walau pilipili mbili mpaka nne kila unapokuwa katika maeneo ambayo yanaweza kukuchochea kufanya punyeto.

UFANISI WA DAWA HII : Dawa hii inawafaa wale tu ambao wamedhamiria kutoka mioyoni mwao kuacha kufanya punyeto. Kwa wale ambao hawajadhamiria haitaweza kuwasaidia.
 

Attachments

  • pilipili.jpg
    pilipili.jpg
    49.1 KB · Views: 13,075
  • punyeto.jpg
    punyeto.jpg
    4.2 KB · Views: 1,156
Back
Top Bottom