Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Epuka kukaa mazingira ya upweke, soma vitabu fanya mazoezi. Jiulize ukipiga unapata faida gani? Acha kuangalia picha za ngono, unajiharibu ndugu, haina faida, jenga pia hofu ya Mungu..

Hilo ni pepo kali sana linakuandama..

Unatumia sabuni? Wanasema zinasababisha cancer kwani unapojichua povu linaingia ndani kwenye mirija. Kama hii ni kweli au sio kweli chukua challenge hii ikupe hofu, unapowaza kupiga nyeto utaogopa utaacha.
 
sawa mkuu..ntafanyia kazi Ushauri wako mzuri.asante
 
Muda huu ndo nimepiga cha tano.....hili ni tatizo kwangu.tena ni kubwa sana..,ntajitaìdi kufuata ushauri
 
jaman mtu anaovyoomba ushaur jaribuni kumshauri sio kumkashifu na kama hujui bora ukae kimya sio kumjibu kwa kumkashifu mpo hapo
ila kaka kwa ushaur wangu jaribu kujikeep bize muda mwing ili mwili uwe unachoka so utaanza kuacha taratibu
 
mpaka sasa nina 28yrs....tatizo ni kwamba anapokuwepo wife huwa napunguza kasi mpaka 1 kwa siku na zilizobak anabeba wife.....sasa najiuliza kwa nini najitesa....nakosa majibu..

Oa mke wa pili kama dini yako inaruhusu.
 
Je wajisikia tofauti unapopiga NYETO na unapokuwa na mkeo? endapo ndio TIIII kiu yako
 
When to say when How much is too much masturbation (and sex for that matter)? That depends but it's suggested men keep their ejaculation frequency down to 2-3 times a week.

However, sexual activity can be experienced more often if men learn how to orgasm without ejaculation. Doing so can actually store bioenergy into your system and make your penis firmer, your erections last longer, and your ejaculate volume bigger.

Over masturbation participants experience problems with concentration and memory. This is a dangerous side effect of over masturbation and signals that the brain is being over drained of acetycholine. Overmasturbation drains motor neurons and neuro-muscular endings of acetycholine, which is eventually replaced.

Overmasturbation can lead to absentmindedness, memory loss, lack of concentration, and eye floaters. To fight these symptoms, the chemical levels in your body needs to be balanced.
 
jaman mtu anaovyoomba ushaur jaribuni kumshauri sio kumkashifu na kama hujui bora ukae kimya sio kumjibu kwa kumkashifu mpo hapo
ila kaka kwa ushaur wangu jaribu kujikeep bize muda mwing ili mwili uwe unachoka so utaanza kuacha taratibu

sawa.ntatumia ushauri wako
 
Kuna wodi pale bugando ya watu walionoki ubongo, wewe itakufaa, na psychiatrist wakuwekee kabisa moja hatoshi, labda watano, kila moja akushawishi kwa kila kimoja unachopiga... Utalia madhara ya punye baadaye acha mapema
 
..mpaka muda huu naandika huu uzi najiandaa kupiga cha tano.....natamani niache.je nitumie njia gani?

Hakikisha siku nyingine unatumia SUPER GLUE...nina amini kwa moyo wangu wote kuwa baada ya hapo ndio itakuwa mwisho wa wewe kupiga punyeto.

Super_Glue.jpg
 
Back
Top Bottom