strong ruler
JF-Expert Member
- Nov 2, 2013
- 4,921
- 3,308
Punguza kaka piga angalau kamoja kwa siku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Epuka kukaa mazingira ya upweke, soma vitabu fanya mazoezi. Jiulize ukipiga unapata faida gani? Acha kuangalia picha za ngono, unajiharibu ndugu, haina faida, jenga pia hofu ya Mungu..
Hilo ni pepo kali sana linakuandama..
Unatumia sabuni? Wanasema zinasababisha cancer kwani unapojichua povu linaingia ndani kwenye mirija. Kama hii ni kweli au sio kweli chukua challenge hii ikupe hofu, unapowaza kupiga nyeto utaogopa utaacha.
Endelea tu ukishasongooka miguu utajua uzuri wake anza kutafuta magongo ya kutembelea
mpaka sasa nina 28yrs....tatizo ni kwamba anapokuwepo wife huwa napunguza kasi mpaka 1 kwa siku na zilizobak anabeba wife.....sasa najiuliza kwa nini najitesa....nakosa majibu..
Je wajisikia tofauti unapopiga NYETO na unapokuwa na mkeo? endapo ndio TIIII kiu yako
jaman mtu anaovyoomba ushaur jaribuni kumshauri sio kumkashifu na kama hujui bora ukae kimya sio kumjibu kwa kumkashifu mpo hapo
ila kaka kwa ushaur wangu jaribu kujikeep bize muda mwing ili mwili uwe unachoka so utaanza kuacha taratibu
kuna wakati naona bora punyeto kuliko mke....
..mpaka muda huu naandika huu uzi najiandaa kupiga cha tano.....natamani niache.je nitumie njia gani?