Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Kwahiyo kwa akili yako unaona Putin anapigana na Nchi moja??? Kwa kifupi Putin anapambana na Nchi zote za Ulaya ndio maana imekuwa hivyo, ingekuwa Ukraine pekee sitaki kusema angetumia muda gani.Akina Ritz Webabu ChoiceVariable FaizaFoxy walikuwa wanampotosha sana Putin. Akajikuta yeye ni Mwaaaaaaamba. Akasema ana operation ya siku chache kumwondoa Rais wa Ukraine.
Mwaka wa pili sasa.... Nashindwa kuelewa. Putin ni Jasusi mbobevu alidanganywa vipi? Alichemka wapi? Anyway kuanza upya si Ujinga. Akae wayamalize na Ukraine. Vita si lelemama. Watu walitaka kupima nguvu yake. Ameji expose sana. Bora angebaki vile vile ambavyo tulikuwa tunamwogopea. Akina Yericko Nyerere siku hizi wamekata na tamaa kabisa. Nyie msidhani hata mataifa makubwa yanataka vita. Mwenye kujielewa anaepusha mapema.
View attachment 3087753
Matakwa ya maongezi yalianza kwa Zelensky....Akina Ritz Webabu ChoiceVariable FaizaFoxy walikuwa wanampotosha sana Putin. Akajikuta yeye ni Mwaaaaaaamba. Akasema ana operation ya siku chache kumwondoa Rais wa Ukraine.
Mwaka wa pili sasa.... Nashindwa kuelewa. Putin ni Jasusi mbobevu alidanganywa vipi? Alichemka wapi? Anyway kuanza upya si Ujinga. Akae wayamalize na Ukraine. Vita si lelemama. Watu walitaka kupima nguvu yake. Ameji expose sana. Bora angebaki vile vile ambavyo tulikuwa tunamwogopea. Akina Yericko Nyerere siku hizi wamekata na tamaa kabisa. Nyie msidhani hata mataifa makubwa yanataka vita. Mwenye kujielewa anaepusha mapema.
View attachment 3087753
Vita ndo ilivyo!! Hata Idd Amin alikuwa na Mshirika wake GadafiKwahiyo kwa akili yako unaona Putin anapigana na Nchi moja??? Kwa kifupi Putin anapambana na Nchi zote za Ulaya ndio maana imekuwa hivyo, ingekuwa Ukraine pekee sitaki kusema angetumia muda gani.
Akili ni nywele...
Watu wanafuata mihemuko na sio Objective za Vita, Toka Mwanzo Putin ameanzisha vita kuwaunga mkono waasi na kuchukua mashariki ya Ukraine (na sio Ukraine yote), sasa Hivi karibia mashariki yote ipo Mikononi mwa mrusi na mazungumzo yoyote yale ni ukraine kusitisha vita hali ya kuwa wakubali hilo eneo linabaki Urusi, ina maana Ukraine akikubali hayo mazungumzo amekubali kushindwa na sio vice versa.Duh!
Hujui chochote kuhusu mpango wa amani wa Istanbul .
Uzuri ni kwamba Putin ashasema eneo lote lililochukuliwa na Russia haitawahi kuwa Ukraine Tena.
Huyu ni tapeliWalinipotosha sana,Afu Kiduku hajanisaidia wala nini? Mchina kanitumia kuunda sarafu mpya tuu.
Tapeli yupi mkuuHuyu ni tapeli
Vita ni akiliKwahiyo kwa akili yako unaona Putin anapigana na Nchi moja??? Kwa kifupi Putin anapambana na Nchi zote za Ulaya ndio maana imekuwa hivyo, ingekuwa Ukraine pekee sitaki kusema angetumia muda gani.
Akili ni nywele...
Mambo ni mengi mkuuTapeli yupi mkuu
Sawa bro,wasalimie Wapalestina kwa mabomu matatuu πππMambo ni mengi mkuu
Muumbaji wa dunia hii Mwenyezi Mungu mafundisho ya mahubiri ya mapadre makanisani ni kwamba hapendi hizi hulka za mtu mmoja kujidai kupita kiasi. Huwa anatoa adhabu anapoona kufuru ya unyanyasaji inafanyika mpaka inapitiliza na hakuna mtu anayejitokeza kuizuia.Akina Ritz Webabu ChoiceVariable FaizaFoxy walikuwa wanampotosha sana Putin. Akajikuta yeye ni Mwaaaaaaamba. Akasema ana operation ya siku chache kumwondoa Rais wa Ukraine.