Putin, ameanza kuona gharama za ya Vita. Mara ya kwanza alikuwa anasoma sana Threads za JF akapotoshwa?

Kwahiyo kwa akili yako unaona Putin anapigana na Nchi moja??? Kwa kifupi Putin anapambana na Nchi zote za Ulaya ndio maana imekuwa hivyo, ingekuwa Ukraine pekee sitaki kusema angetumia muda gani.
Akili ni nywele...
Malizia na Ukraine anapigana na inchi ngapi?
 
Anyway atakuja hapa kukujibu ila pendekezo lako lilikua ailipue Ukraine kwa bomu la nyuklia siku ile ile vita vilipoanza?
 
Anyway atakuja hapa kukujibu ila pendekezo lako lilikua ailipue Ukraine kwa bomu la nyuklia siku ile ile vita vilipoanza?
Kwani alisema angetumia hizo siku chache kumaliza kwa bomb la nyuklia? Alisema anafanya operation na sisi tulitegemea pale ni siku 3 anakamilisha anapumzika. Sasa mwaka wa 3?anyway basi atumie nyuklia.
 
Kwahiyo kwa akili yako unaona Putin anapigana na Nchi moja??? Kwa kifupi Putin anapambana na Nchi zote za Ulaya ndio maana imekuwa hivyo, ingekuwa Ukraine pekee sitaki kusema angetumia muda gani.
Akili ni nywele...
Acha porojo za vijiweni supa pawa kashakuwa exposed tuambie lini atairudisha Kursk hicho tu tayari kishamdiscredit hakuna kitu pale
 
Amekwambia kwamba ameshindwa vita?

Juzi tu kasambaratisha mercenaries kama 600 na leo kachinja tena wengine waliokuwa hotelin
Hua mnamaungo mengi walikuwa wanakula pizza. Yani wanajeshi waishi hotelini?? Vita ni propaganda. Hata adui akikuambia ameanza kushindwa usimwamini wewe endelea kupambana
 
Wangeongea haya wewe ungeongea nn hapa Leo.... Usiwalaumu
 
Muhimu NAto wamwingize Ukraine kwenye chamalao...harafu tuone Putin kitamtokea nn
 
Kwani alisema angetumia hizo siku chache kumaliza kwa bomb la nyuklia? Alisema anafanya operation na sisi tulitegemea pale ni siku 3 anakamilisha anapumzika. Sasa mwaka wa 3?anyway basi atumie nyuklia.
Pambano la masumbwi likimalizika sec za mwanzo hukasirisha mashabiki wakiotoa viingilio vyao...hata mimi nikipigana na Tyson nitakimbia kimbia ulingoni hadi round ya saba kisha natandikwa konde moja chali..
 
Kwahiyo putin anasoma nyuzi za JF?.. 🤣🤣
 
Kwahiyo kwa akili yako unaona Putin anapigana na Nchi moja??? Kwa kifupi Putin anapambana na Nchi zote za Ulaya ndio maana imekuwa hivyo, ingekuwa Ukraine pekee sitaki kusema angetumia muda gani.
Akili ni nywele...
Ni wapi mleta mada aliposema anapigana na nchi moja?
 
Duh!
Hujui chochote kuhusu mpango wa amani wa Istanbul .
Uzuri ni kwamba Putin ashasema eneo lote lililochukuliwa na Russia haitawahi kuwa Ukraine Tena.
Na si hilo tu, Putin anaitaka Ukrain yote sema kakutana na resistance.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…