Putin, ameanza kuona gharama za ya Vita. Mara ya kwanza alikuwa anasoma sana Threads za JF akapotoshwa?

Putin, ameanza kuona gharama za ya Vita. Mara ya kwanza alikuwa anasoma sana Threads za JF akapotoshwa?

Kwahiyo kwa akili yako unaona Putin anapigana na Nchi moja??? Kwa kifupi Putin anapambana na Nchi zote za Ulaya ndio maana imekuwa hivyo, ingekuwa Ukraine pekee sitaki kusema angetumia muda gani.
Akili ni nywele...
Mbona sasa anaishambulia Ukraine kwa makombora badala ya kuzishambulia nchi zote anazopigana nazo?
 
Akina Ritz Webabu ChoiceVariable FaizaFoxy walikuwa wanampotosha sana Putin. Akajikuta yeye ni Mwaaaaaaamba. Akasema ana operation ya siku chache kumwondoa Rais wa Ukraine.

Mwaka wa pili sasa.... Nashindwa kuelewa. Putin ni Jasusi mbobevu alidanganywa vipi? Alichemka wapi? Anyway kuanza upya si Ujinga. Akae wayamalize na Ukraine. Vita si lelemama. Watu walitaka kupima nguvu yake. Ameji expose sana. Bora angebaki vile vile ambavyo tulikuwa tunamwogopea. Akina Yericko Nyerere siku hizi wamekata na tamaa kabisa. Nyie msidhani hata mataifa makubwa yanataka vita. Mwenye kujielewa anaepusha mapema.

View attachment 3087753
Supapawa yupo hoi, vita sio mchezo
 
Kwahiyo kwa akili yako unaona Putin anapigana na Nchi moja??? Kwa kifupi Putin anapambana na Nchi zote za Ulaya ndio maana imekuwa hivyo, ingekuwa Ukraine pekee sitaki kusema angetumia muda gani.
Akili ni nywele...
Nyie ndo mlipotosha kuwa yeye ni mwamba anaweza kupigana na dunia nzima naye akavimba kichwa😂😂, hakuna cha ulaya nzima, hapo anapigana na ukraine tu, zaidi ya hapo ukraine anasaidiwa na washirika wake, Russia naye anasaidiwa na washirika wake.
 
Kwahiyo kwa akili yako unaona Putin anapigana na Nchi moja??? Kwa kifupi Putin anapambana na Nchi zote za Ulaya ndio maana imekuwa hivyo, ingekuwa Ukraine pekee sitaki kusema angetumia muda gani.
Akili ni nywele...
Kwani putin hana marafiki hakuna nchi inayo Ingia vitani peke yake. Kisingizio cha kusema ukirain inasaidiwa ni kisingizio cha wajinga. Maana yake alipaswa kujuwa kuwa akivamia nchi lazima kunanchi marafiki wataisaidia nchi iliyovamiwa. Hata tanzania ilipo vamia uganda kunanchi zilisaidia idamini. Na kunanchi zilisaidia nyerere..
 
Akina Ritz Webabu ChoiceVariable FaizaFoxy walikuwa wanampotosha sana Putin. Akajikuta yeye ni Mwaaaaaaamba. Akasema ana operation ya siku chache kumwondoa Rais wa Ukraine.

Mwaka wa pili sasa.... Nashindwa kuelewa. Putin ni Jasusi mbobevu alidanganywa vipi? Alichemka wapi? Anyway kuanza upya si Ujinga. Akae wayamalize na Ukraine. Vita si lelemama. Watu walitaka kupima nguvu yake. Ameji expose sana. Bora angebaki vile vile ambavyo tulikuwa tunamwogopea. Akina Yericko Nyerere siku hizi wamekata na tamaa kabisa. Nyie msidhani hata mataifa makubwa yanataka vita. Mwenye kujielewa anaepusha mapema.

View attachment 3087753

West has failed to defeat Russia – Putin​

Ukraine and its supporters in Europe are paying for the derailment of the Istanbul peace talks, the president has said
 
Ukisoma comments zote ndo unajua jf imetelekezwa!
Anyway, malengo ya vita kwa nchi kubwa kama russia hayaangaliwi kwa hasara ya kiuchumi tu, kuna na faida ya kiusalama na heshima.
 
Nikuulize wewe... kwa nini ametoka nje ya makamera kutaka suluhu!

Kwa akili ya mtu mwenye akili, hicho ni kiashiria cha nini?

Hata iwe kuepusha gharama zaidi nako ni kushindwatu
Mpango wa suluhu ulikuwepo muda, ndiyo ukraine wakaona wachukue eneo liwe turufu ya suluhu
 
Kweli CCM itaitawala nchi kwa miaka mingi kwa sababu nchi hii imejaa vilaza watupu na wachangiaji wengi wa mada na mtoa mada wanadhihirisha hilo.

Yaani hiyo kauli ya Putin hamuoni ya kwamba ni kama kejeri fulani?
Kwanza huo mkataba wa Instambul ambao Putin anataka ndo uwe msingi wa mazungumzo una mashariti ambao kiufupi Ukraine na nchi za Magharibi haziwezi kuukubali.
Na ikitokea wameukubali basi watakuwa wameshindwa vita.

Pili nchi alizo pendekeza ziwe wapatanishi zote zipo upande wake kwenye mzozo huu japo zina jigamba kutoegemea upande wowote.

Tatu Urusi haijawahi kukataa kufanya mazungumzo na ndio maana huko nyuma zimesha fanyika duru kadhaa za mazungumzo kinacho leta ugumu ni masharti ya kusitisha vita tu ndo yanaleta ugumu.
 
Kwahiyo kwa akili yako unaona Putin anapigana na Nchi moja??? Kwa kifupi Putin anapambana na Nchi zote za Ulaya ndio maana imekuwa hivyo, ingekuwa Ukraine pekee sitaki kusema angetumia muda gani.
Akili ni nywele...
Ndio ujue hana akili. Yaani mtu mzima hajui kama kuna watu hawampendi kabisa. Tena akome.
 
Ukraine waliona hilo, ndio maana wakachukua sehemu ya Urusi ya Kursk, ili kama watajadiliana, Warusi wakisema wanashikilia maeneo waliyoteka, na Ukraine watasema hivyo hivyo - mwaga mboga nimwage ugali, la sivyo wote turudishe mboga na ugali mezani tule!
Ww jamaa kilaza kweli yaani Ukraine imeteka km za mraba 1000 ambazo ni sawa na ukumbwa wa kata 2 hapa tz ndo uje kuzitumia kama turufu ya kukomboa mikoa minne?
 
Attachments

  • Screenshot_20240901-161805.png
    Screenshot_20240901-161805.png
    665.7 KB · Views: 1
Kwahiyo kwa akili yako unaona Putin anapigana na Nchi moja??? Kwa kifupi Putin anapambana na Nchi zote za Ulaya ndio maana imekuwa hivyo, ingekuwa Ukraine pekee sitaki kusema angetumia muda gani.
Akili ni nywele...
Sasa anapigana na nchi ngapi mbona hii kauli ya kiduanzi ya kumpaisha Putin imezidi yaani putin aivamie ukraine halafu mnamsifia eti putin anapigana nchi zote anapiganaje
 
Back
Top Bottom