MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 4,041
- 10,699
Huwezi kuiathiri urusi halafu ulaya ikabaki salama kumbuka makampuni mengi ya ulaya yanafanya kazi urusi.Inategemea na aina ya vikwazo
Cha kutisha zaidi anasema wanaenda kulinda amani (Peace Keeping) lakini wamebeba zana nzito nzito huku wanazidi kuchanja mbuga mpaka unawaza hii amani itakuwepo kweliPutin anadai anapeleka majeshi ktk majimbo hayo kulinda amani. Sawa na baadhi ya nchi kupitia umoja wa mataifa / UN zinavyokwenda Dafur Sudan au Lebanon kulinda amani. Ila hapa Putin hajasubiri azimio la Umoja wa Mataifa wala msaada wa kifedha toka Umoja wa Mataifa kwenda kulinda amani .
Wakati we unawaza nyama na misosi wenzako wanawaza maslahi mapana zaidi kwa taifa laoHahaaa!!NATO, wanaangalia mambo mengi, kwani muungano wa nchi nyingi na bahati nzuri zina mabunge /wananchi wanaojitambua, hivyo lazima mpime mambo mengi!!lakini li PUTIN, likisema tayari ndio hivyo.
Hapana bana wasipigane, kwani hatutakawia kuambiwa bana mafuta ya kula , nyama zimepanda, kutokana na vita hivyo!!
Shukran. Nimeelewa.Ni majimbo yaliyopo Ukraine
Sawa sawa chromeHayo majimbo yalishakua na vuguvugu kujiondoa Ukraine...sasa yamejitangaza kua huru ...Russia jana wamekubali kua yapo huru na wamesign watashirikiana....Russia kaingiza jeshi kuwalinda ...askari wa Ukraine hawatakiwi kuwepo
...UN hawatbui hayo majimbo kama nchi
Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
Wewe nawe kalale mapema ukue urusi mpka hapo imefika kwa vikwazo kila kitu kina mbadala wake Kadri wanavyowekewa vikwazo nawenyewe wanatafuta njia na kwataarifa yako urusi anadeal la kupeleka gas China na ujeruman hawezi pindua kwenye gas nafuu ya urusi hi vitisho vya mbwa manunuSasa huyo Beralus, atamsaidia nini?!!mchina kwenye vita ambayo haimuhusu moja kwa moja hawezi tia mguu.NATO iamue kweli kuingia vitani putin hataweza, kuhimili, kwanza uchumi wenyewe ndio huo, wa kawaida, akiminywa kwa vikwazo vizito tu, inatosha, kwa kuanza tu ujerumani wame stopisha mradi wa nordic 2, Uk, tayari mabenki makubwa 5, ya urusi, yamewekewa vikwazo!!!muulize boss wa chelsea kinachomkuta , hawezi kuingia UK, kisa ni ukaribu na Putin!!
Yaani siasa za KAGAME, uzitumie kwa watu waliostarabika utagombana na watu tu!!hizo ni siasa za huku kwa NYANI WALIOCHANGAMKA TU.
Watu wanafanya mambo kwa maslahi yao......uchumi ungekua hamna basi hata hao wa vikwazo wasingepata sehemu ya kufungiaPutin Karne hii s ya vita jenga uchumi tatizo la Putin anataka kumfunika Joseph Stalin hawez kamwe ata kumlinganisha nae Stalin alikuwa mtu mwingine Joseph Stalin atabak kuwa juuu
Mtu wangu ivyo vikwazo tu Russia wataomba poo wenyewe wewe subiri muda mdogo tu tumeanza Nord Stream 2 kwanza na zile bank 4 za Russia na sanctions nyengine mpya wanachukuliwa tunamaliza vikaoNgome ambayo haina hata commanding post hata moja? Tukubali urusi kwa sasa hakuna cha USA au NATO anaeweza kuisumbua Russia [emoji635]
Mbona Naona hapa baada ya vikwazo vipya ambavyo U.S kaweka, Rais wa Russia kaomba yawepo mazungumzo ya amani.Mtu wangu ivyo vikwazo tu Russia wataomba poo wenyewe wewe subiri muda mdogo tu tumeanza Nord Stream 2 kwanza na zile bank 4 za Russia na sanctions nyengine mpya wanachukuliwa tunamaliza vikao
Anatakiwa awe super powers ili nayeye awe anaweka vikwazo na si kuwekewaWatu wanafanya mambo kwa maslahi yao......uchumi ungekua hamna basi hata hao wa vikwazo wasingepata sehemu ya kufungia
Mrusi alipoibeba Crimea waliweka sanctions ila baada ya miez michache wakaona zinawaumiza na wao ,wakaufyataMtu wangu ivyo vikwazo tu Russia wataomba poo wenyewe wewe subiri muda mdogo tu tumeanza Nord Stream 2 kwanza na zile bank 4 za Russia na sanctions nyengine mpya wanachukuliwa tunamaliza vikao
sio mfaransa ndo kaombaMbona Naona hapa baada ya vikwazo vipya ambavyo U.S kaweka, Rais wa Russia kaomba yawepo mazungumzo ya amani.
Putin kaomba Diplomatic solution to resolve the crisis
Source aljazeera
si kila nchi ina mawazo ya kibepariAnatakiwa awe super powers ili nayeye awe anaweka vikwazo na si kuwekewa
Russia kinachowaangusha hawana taasis imara kuna kiongoz wao mmoja sjui n Boris yestin aliuza Alaska kwa marekan yan huwa wana amin one Man show huwa mipango mingi inaamuliliwa na kiongoz mmoja wa nchisi kila nchi ina mawazo ya kibepari
Haya mambo alianzisha US na vita zake za Korea, Vietnam, Iraq na Afghastan. Siku za usoni watakuja kuingia Afrika pia. Sijui tutapigana na mikuki tena.Ok tumeshaiona hii. Ndivyo dunia ilivyo ingawa mambo haya yasipoangaliwa yatakuja kuupata ulimwengu wote miaka ijayo. Ukiona mwenzio ananyolewa wewe anza kutia maji. Ndiyo matokeo ya ukoloni mambo leo yanavyokuwa siku zote.