passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,192
- 11,897
NATO inaweza kupigwa na urusi Kwa dakika tano Tu.Nato is overratedGeorgia alijiunga NATO lini? Russia ni overrated, simshangai hizi fujo anazozileta kwa majirani kwani ni wazi maadui zake wanataka kumzingira hapo nyumbani hivyo lazima apambane kwa kiasi chake. Hiyo siku atayonyanyua mikono kupigana na NATO dunia itakuwa imempata Hittler wa pili.
NATO Hana ballistic missiles.Russia inaweza kuchakaza miji Yao mikubwa within a minute.Mambo yameivakaaa hukoo pro America wapuuzi nyinyi tayari Kiev kimenuka mwamba anashambulia pande zote za Kiev hawezi hawezi wajinga nyinyi pro [emoji635] mpo wapiiiiii tushangililie ushindi wetuuu
Russia imewataka wanajeshi wa Ukraine wajisalimishe au waweke silaha zao chini warudi nyumbani.
Huku hayo yakiendelea kumesikika milipuko sehemu mbalimbali nchini Ukraine huku wanajeshi wengi wa Urusi wakitokea kila upande kuizunguka Ukraine... Wengine wanatokea nchi jirani ya Belarus kuelekea miji mingine ya Ukraine.
Hawaji ng'ooooWamarekani wa bongo njoon huku mnaitwa
hapo chaiRussia
Russia
Russia
Putin
Putin
Putin
The end of US & NATO!
kwani wale waasi wa Libia walikuwa wanachama wa NATO mpaka wakasaidiwa na NATO ? sema hawa jamaa huwa wanaangalia masirahi kwanza.US na NATO walisema wao wataweka vikwazo na si vinginevyo.
Ni ngumu kupambana kijeshi kuisaidia Ukraine directy kwa sababu sio member wa NATO ndio maana walimpa vifaa vya kijeshi,ni wajibu wake kupambana.
hahahahahaNasisi kuna vinchi hapa naona kama ni mikoayetu tu, tuangalie ramani ja mjerumani alafu tufanye yetu.
Hawakusaidiwa ila NATO walikuwa na interest ya kumtoa Gadafi.kwani wale waasi wa Libia walikuwa wanachama wa NATO mpaka wakasaidiwa na NATO ? sema hawa jamaa huwa wanaangalia masirahi kwanza.
Russia anasilaha ya kuwaangamiza hao wote Kwa mara moja.Hivi jamaa wakiamua kumchangia mfano USA, UK na washrika wake.
atafanyaje Mrusi?