Putin asaini waraka wa kuamuru Majeshi ya Urusi kuingia Ukraine kulinda amani majimboni

Bila shaka NATO na Russia wote madikteta ingawaje wanatofautiana namna wanavyoendesha udikteta wao.

NATO waliivamia nchi huru za Iraq,syria na afghaaanistan kwa sabab za mchongo na kuondoa utawala uliopo madarakan tena kwa upande wa Iraq viongoz waandamiz wa NATO walikir hadharan kuwa sabab za kuivamia Iraq zilikua za mchongo.

NATO kwa kutumia midege yao huwa wanafanya mashambuliz ya anga ktk nchi huru tena bila ya ridhaa nchi husika na kuua watu kiholela kwa kisingizio cha ugaid na kuishia kuua raia wasio na hatia.
 
Ni kweli siwatetei NATO ila huwa wanaenda Baraza la usalama kwanza kutoa kauli. Putin anafanya analojisikia linamfaa yeye kama alivyolazimisha majimbo mawili ya Kreimia na lile jingine wajitenge. At last sasa ni mikoa yake.
 
US na NATO walisema wao wataweka vikwazo na si vinginevyo.

Ni ngumu kupambana kijeshi kuisaidia Ukraine directy kwa sababu sio member wa NATO ndio maana walimpa vifaa vya kijeshi,ni wajibu wake kupambana.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni kweli siwatetei NATO ila huwa wanaenda Baraza la usalama kwanza kutoa kauli. Putin anafanya analojisikia linamfaa yeye kama alivyolazimisha majimbo mawili ya Kreimia na lile jingine wajitenge. At last sasa ni mikoa yake.
kwenda huko kibarazani mwausalama ama kutokwenda hakuwafanyi NATO kuwa sahihi na RUSSIA kutokua sahihi
sababu sio kwamba wote hufanya mamuzi sahihi ila hua wanakula urefu wakamba zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…