Putin asaini waraka wa kuamuru Majeshi ya Urusi kuingia Ukraine kulinda amani majimboni

Kwahiyo Kenya imeamua kujiweka wazi upande inaousimamia?
 
Tunajua vita inagharimu sana maisha ya watu na uchumi. Russia ikiwekewa vikwazo vya kiuchumi wataishi vipi baada ya vita? Wana mpango mbadala au watasalimu amri Kwa NATO? Don't you think USA na NATO kama wamemtoa chombo Ukraine ili wamuingize kwenye 18 Urusi kwenye uchumi then wamle nyama?
 
Bado mapema sana,,,,,,,,,
 
Hata sijui vile vimikoa vya Rwanda na Burundi tumeviachaje!?
 
Vikwazo kwani putin kaingia Ukraine?
Ye kaingia miji ambayo tayari ni independent republics...
Akili ni nywele kudadeki
Duuh kama unaangalia clods tv au post ya Millard ayo kuja ku comment kwenye mada kama hizi bora ukae kimya. So unafikiri iyo miji miwili ni ya nchi gani. Ebu weka channel 406 dstv apo uangalie channel za kiume ndo uje u comment
 
Chechnya ,Georgia, Syria na hatimaye Ukraine muendelezo wa umwagaji damu ya wasio na hatia. Putin siyo wa kuchekewa. Civilized world must come together as one and teach Vladmir Putin a lesson or two on civility and peaceful co-existence.
Marekani na NATO wamemwaga damu kiasi gani Iraq, syria, Libya, etc
 
Putin hana huo mpango jombaaa...
Ambacho hataki ni Nato kutaka Ukraine iingie Nato kitu kinachohatarisha usalama wa RUSSIA
 
nyama mrusi hailiwi ni sumu kama ya kunguru
 
Huu upuuzi akamwambie mke wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…