Putin asaini waraka wa kuamuru Majeshi ya Urusi kuingia Ukraine kulinda amani majimboni

Putin asaini waraka wa kuamuru Majeshi ya Urusi kuingia Ukraine kulinda amani majimboni

[emoji599] Ukraine’s Zelensky: “Today I asked the 27 leaders of Europe whether Ukraine will be in NATO, I asked directly. Everyone is afraid, does not answer. And we are not afraid, we are not afraid of anything.”
Hilo ni kofi la USO,mwana izaya wewe, hukutumia akili wakati unao muda wa kutumia diplomasia na Urusi ukiisikiliza NATO na USA , Sasa hakuna anyekuunga mkono.
Kifupi hata hiyo power ndani ya Ukraine umepoteza,
Dunia ajifunze kwa comedian zelenski
 
25 February 2022
Kiev, Ukraine 🇺🇦

Vikosi maalum vya Russia vyaingia ktk viunga vya mji mkuu wa Kiev / Kyiv

Msemaji mwandamizi wa wizara ya ulinzi ya Ukraine amethibitisha uwepo wa vikosi maalum vya majeshi ya Russia ktk mji wa Kiev .

Pia mji Kharkiv ambao ni wa pili kwa ukubwa nchini Ukraine ulio mashariki karibu kabisa na mpaka wa Russia Kharkiv ulio na historia kubwa ya viwanda mbalimbali muhimu na vya kimkakati kwa Ukraine pia unaendelea kushambuliwa nia ikiwa kudhibiti uwezo wa Ukraine isiweze kujitetea kupitia uwezo wa viwanda hivyo kutumika kuendelea kuzalisha bidhaa na vifaa mbalimbali ambavyo vingewezesha Ukraine kujizatiti kupigana na kutetea nchi yao kijeshi.

Vingora vimesikika ktk miji hiyo miwili mikubwa ya Kiev na Kharkiv nchini Ukraine kuashiria wakaazi wake kutakiwa kuchukua tahadhari ya mashambulizi yanayoendelea toka majeshi ya Russia. Raia wengi wa Ukraeni wameombwa wabaki majumbani pia kujichimbia ktk mahandaki au vituo vya treni vilivyo chini ya ardhi ili kuepusha wasidhuriwe na pia kutoa nafasi kwa vikosi vya ulinzi na usalama vya Ukraine viendelee kujihami na kuweza kupambana na uvamizi wa Russia .

Mpaka sasa morali ya raia wa Ukraine ipo juu hakuna picha za watu mitaani wakiwapokea wavamizi wakiwa na maua mikononi au bendera za Russia wala wananchi wa Ukraine kuomba selfie na vikosi vya Russia vilivyojipenyeza sehemu mbalimbali za Ukraine.

Pia kuna taarifa za askari wa Ukraine kuweza kuwafurusha wavamizi walioweza kuchukua baadhi ya maeneo. Siku zote waliovamiwa huwa na sababu za kusimama kidete kwa morali ya juu kabisa kutetea wanachokipigania ktk uwanja wa vita kuliko askari wa uvamizi. Hivyo yawezekana uvamizi wa Russia hautadumu muda mrefu kutokana na hali halisi iliyopo nchini Ukraine, uwezo mkubwa Ukraine kujitetea kijeshi na pia Geopolitics haipo upande wa Russia kuikalia Ukraine huku ikikabiliwa na changamoto hizo wamesema wachunguzi wa masuala ya juu ya nchi moja kujaribu kuikalia kijeshi nchi nyingine kupitia uvamizi.

Ukraine ni nchi kubwa kieneo ktk bara ulaya ukiitoa Russia. Ili jeshi la kivamizi liweze kuikalia Ukraine na kumpachika rais wamtakaye na kum-support rais kibaraka na serikali yake basi Russia pamoja na kuwa na vifaa vya kisasa zaidi vya kijeshi itabidi iingize askari 1,000,000 ili kuweza kufanikisha rais kibaraka na serikali yake kuweza kuitawala Ukraine na kuendesha shughuli zote za kiserikali. Kwa sasa jeshi la Russia haina idadi hiyo ya askari milioni moja wanaoweza kupeleka kwa kazi maalum ya kuikalia Ukraine kwa mtutu wa bunduki, wamebainisha wataalamu wa sayansi ya kuendesha nchi ngeni iliyovamiwa na jeshi la nchi nyingine.

For the latest:




Kiev / Kyiv
Ukraine 🇺🇦
25 February 2022

Russian military units entered the Ukrainian capital of Kyiv

Russian forces would enter areas outside Kyiv on Friday, a top Ukrainian defense official has said. Ukraine's president called on the international community to help his country.

Explosions were heard in Ukraine's second-largest city Kharkiv, which lies close to Ukraine's eastern border with Russia, on Friday with the mayor telling residents to seek shelter from Russian missiles in subway stations, basements and bomb shelters, Reuters news agency reported.
Air raid sirens were set off in cities across the country as reports emerged of rockets landing in residential areas

Source : Ukraine: Gunfire heard outside Kyiv's government quarter — live updates | DW | 25.02.2022
 
European benchmark nat gas TTF falls ~20% early on Friday as Russian gas flows into the EU (via Ukraine) surge. European utilities are asking Gazprom to ship more gas, and the Russian state-owned giant is happy to oblige. Capitalism in times of war | #Ukraine #UkraineInvasion
 
Hilo ni kofi la USO,mwana izaya wewe, hukutumia akili wakati unao muda wa kutumia diplomasia na Urusi ukiisikiliza NATO na USA , Sasa hakuna anyekuunga mkono.
Kifupi hata hiyo power ndani ya Ukraine umepoteza,
Dunia ajifunze kwa comedian zelenski
Marekani ni mshenzi, hata hao ulaya walikua hawataki huu mgogoro, yyte rafiki wa US ajiandae
 
25 February 2022
Kiev, Ukraine 🇺🇦

Vikosi maalum vya Russia vyaingia ktk viunga vya mji mkuu wa Kiev / Kyiv

Msemaji mwandamizi wa wizara ya ulinzi ya Ukraine amethibitisha uwepo wa vikosi maalum vya majeshi ya Russia ktk mji wa Kiev .

Pia mji Kharkiv ambao ni wa pili kwa ukubwa nchini Ukraine ulio mashariki karibu kabisa na mpaka wa Russia Kharkiv ulio na historia kubwa ya viwanda mbalimbali muhimu na vya kimkakati kwa Ukraine pia unaendelea kushambuliwa nia ikiwa kudhibiti uwezo wa Ukraine isiweze kujitetea kupitia uwezo wa viwanda hivyo kutumika kuendelea kuzalisha bidhaa na vifaa mbalimbali ambavyo vingewezesha Ukraine kujizatiti kupigana na kutetea nchi yao kijeshi.

Vingora vimesikika ktk miji hiyo miwili mikubwa ya Kiev na Kharkiv nchini Ukraine kuashiria wakaazi wake kutakiwa kuchukua tahadhari ya mashambulizi yanayoendelea toka majeshi ya Russia. Raia wengi wa Ukraeni wameombwa wabaki majumbani pia kujichimbia ktk mahandaki au vituo vya treni vilivyo chini ya ardhi ili kuepusha wasidhuriwe na pia kutoa nafasi kwa vikosi vya ulinzi na usalama vya Ukraine viendelee kujihami na kuweza kupambana na uvamizi wa Russia .

Mpaka sasa morali ya raia wa Ukraine ipo juu hakuna picha za watu mitaani wakiwapokea wavamizi wakiwa na maua mikononi au bendera za Russia wala wananchi wa Ukraine kuomba selfie na vikosi vya Russia vilivyojipenyeza sehemu mbalimbali za Ukraine.

Pia kuna taarifa za askari wa Ukraine kuweza kuwafurusha wavamizi walioweza kuchukua baadhi ya maeneo. Siku zote waliovamiwa huwa na sababu za kusimama kidete kwa morali ya juu kabisa kutetea wanachokipigania ktk uwanja wa vita kuliko askari wa uvamizi. Hivyo yawezekana uvamizi wa Russia hautadumu muda mrefu kutokana na hali halisi iliyopo nchini Ukraine, uwezo mkubwa Ukraine kujitetea kijeshi na pia Geopolitics haipo upande wa Russia kuikalia Ukraine huku ikikabiliwa na changamoto hizo wamesema wachunguzi wa masuala ya juu ya nchi moja kujaribu kuikalia kijeshi nchi nyingine kupitia uvamizi.

For the latest:




Kiev / Kyiv
Ukraine 🇺🇦
25 February 2022

Russian military units entered the Ukrainian capital of Kyiv

Russian forces would enter areas outside Kyiv on Friday, a top Ukrainian defense official has said. Ukraine's president called on the international community to help his country.

Explosions were heard in Ukraine's second-largest city Kharkiv, which lies close to Ukraine's eastern border with Russia, on Friday with the mayor telling residents to seek shelter from Russian missiles in subway stations, basements and bomb shelters, Reuters news agency reported.
Air raid sirens were set off in cities across the country as reports emerged of rockets landing in residential areas

Source : Ukraine: Gunfire heard outside Kyiv's government quarter — live updates | DW | 25.02.2022


25 February 2022
Kiev, Ukraine 🇺🇦

WATCH: View of Kyiv as Russian forces press closer to Ukraine capital



Russia’s military pushed deeper into Ukraine on Thursday, attacking strategic airfields and advancing toward major cities as President Vladimir Putin defied mounting sanctions and recriminations from the West. Explosions continued to rock areas around the eastern city of Kharkiv and the capital, Kyiv, sending residents to shelter in subway stations and prompting others to flee the country. U.S. officials said the expanding offensive may be aimed at toppling Ukraine’s elected government and installing a pro-Kremlin regime. Read more: https://wapo.st/353qn3

Source : Washington Post
 
Muda wa kuona vita ya Hybrid Warfare


Nato LogoNATO
  • Hybrid Warfare – New Threats, Complexity, and ‘Trust’ as the Antidote
What is published in NATO Review does not constitute the official position or policy of NATO or member governments.
NATO Review seeks to inform and promote debate on security issues. The views expressed by authors are their own.

Hybrid Warfare – New Threats, Complexity, and ‘Trust’ as the Antidote​

  • Arsalan Bilal
  • 30 November 2021

One can argue that the nature of international security and conflicts remains the same. States are—as always—embroiled in zero-sum military and economic competitions, armed conflicts still seem inevitable, security dilemmas and balancing take place unremittingly, and so on and so forth. However, the modus operandi is no longer the same. Conflicts are fought in new, innovative, and radically different ways. With the advent of modern hybrid warfare, they are less and less about lethal or kinetic force.
It is important to note here that the concept of hybrid warfare might not be entirely new. Many practitioners contend that it is as old as war itself. Nevertheless, it has gained significant currency and relevance in recent years as states employ non-state actors and information technology to subdue their adversaries during or—more importantly—in the absence of a direct armed conflict.

Russian special forces in Crimea. Sometimes called “little green men”, they were one of the offensive “columns” that resulted in the illegal annexation of Crimea from Ukraine to Russia. @ Global Security Review

Before we delve into the concept, it is important to highlight that hybrid warfare in the contemporary era became increasingly popular in policy debates following two important developments. First, in 2005, two US military officials wrote about the “rise of hybrid wars” and emphasised the combination of conventional and unconventional strategies, methods, and tactics in contemporary warfare as well as the psychological or information-related aspects of modern conflicts. Second, Russia invaded Crimea in 2014 and achieved its objectives by virtue of conflating “deniable” special forces, local armed actors, economic clout, disinformation, and exploitation of socio-political polarisation in Ukraine.

Hybrid warfare remains a contested concept and there is no universally agreed definition of it. It has been subjected to a lot of criticism for lacking conceptual clarity, being merely a catch-all phrase or a buzzword, and not brining anything distinctly new to policy debates. Nevertheless, the concept furnishes us with key insights into contemporary and future security and defence challenges.

Hybrid Warfare and its Characteristics​

To put it simply, hybrid warfare entails an interplay or fusion of conventional as well as unconventional instruments of power and tools of subversion. These instruments or tools are blended in a synchronised manner to exploit the vulnerabilities of an antagonist and achieve synergistic effects.

The objective of conflating kinetic tools and non-kinetic tactics is to inflict damage on a belligerent state in an optimal manner. Furthermore, there are two distinct characteristics of hybrid warfare. First, the line between war and peace time is rendered obscure. This means that it is hard to identify or discern the war threshold. War becomes elusive as it becomes difficult to operationalise it.

Hybrid warfare below the threshold of war or direct overt violence pays dividends despite being easier, cheaper, and less risky than kinetic operations. It is much more feasible to, let’s say, sponsor and fan disinformation in collaboration with non-state actors than it is to roll tanks into another country’s territory or scramble fighter jets into its airspace. The costs and risks are markedly less, but the damage is real. A key question here is: can there be a war without any direct combat or physical confrontation taking place? With hybrid warfare permeating inter-state conflicts, it is possible to answer this in the affirmative. This remains closely linked to the philosophy of war as well.

The supreme art of war is to subdue the enemy without fighting, as the ancient military strategist, Sun Tzu, suggested.
The second defining characteristic of hybrid warfare relates to ambiguity and attribution. Hybrid attacks are generally marked by a lot of vagueness. Such obscurity is wittingly created and enlarged by the hybrid actors in order to complicate attribution as well as response. In other words, the country that is targeted is either not able to detect a hybrid attack or not able to attribute it to a state that might be perpetrating or sponsoring it. By exploiting the thresholds of detection and attribution, the hybrid actor makes it difficult for the targeted state to develop policy and strategic responses.

Grey Zone – The Complex Conflict Landscape​

Recent studies on wars in Afghanistan and Iraq demonstrate how costly all-out wars can be in terms of human, economic, as well as social and political losses regardless of how disparate the capabilities of the conflicting parties or adversaries are. Owing to rapid technological advancements and the rise of asymmetric warfare, all-out wars can be ineffective even vis-à-vis powers that have relatively less resources and clout. Victory might thus become an extremely tough proposition.

Recent studies on wars in Afghanistan and Iraq demonstrate how costly all-out wars can be in terms of human, economic, and social and political losses, regardless of how disparate the capabilities of the conflicting parties or adversaries are. Owing to rapid technological advancements and the rise of asymmetric warfare, all-out wars can be ineffective even vis-à-vis powers that have relatively less resources and clout. Picture © The Journalist’s Review

With the cost of war ratcheting up and newer tools being at the disposal of states, the will to fight all-out wars might be diminishing. This, however, does not herald the waning of conflicts, but changes the dynamics of war. It is against this backdrop that states are increasingly resorting to hybrid warfare below the threshold of an armed conflict in pursuance of their zero-sum security goals. In a nutshell, the overall security environment is radically changing despite the nature of conflict remaining the same.

“War is nothing more than the continuation of politics by other means,” the eminent military strategist Clausewitz said. While this might still be true, the means of war have expanded remarkably amidst the advent of contemporary hybrid warfare. This means that the politics-war matrix has become even more complex, since the dynamics of war are in a state of flux. War now means a range of possibilities. Sometimes, it might entail kinetic operations in conjunction with the use of non-state actors. Sometimes, it might involve launching cyberattacks targeting critical infrastructure together with disinformation campaigns. Such avenues are extensive and so are the ways in which they may be fused or juxtaposed.

Hybrid warfare makes conflict dynamics murky not only because it offers a large and expanding toolkit to undermine an adversary but also because it allows its security to be undercut on two fronts in tandem. This also relates to the overarching objectives of hybrid warfare. On the capability front, the vulnerabilities of the targeted state in the political, military, economic, social, information, and infrastructure (PMESII) realms are exploited insofar as it is tangibly and functionally weakened.

A second front on which a state’s security is undermined remains ideational in nature and relates to the legitimacy of the state. As a Norwegian Agency for Development Cooperation report notes, “state legitimacy concerns the very basis on which state and society are linked and by which state authority is justified.” Thus, legitimacy intrinsically serves as the bedrock of the authority or the writ of the state.

In a bid to impair the social contract that binds the state and its constituents together, a hybrid actor attempts to erode trust between the state institutions and the people. This results in the state losing its legitimacy—which is largely a function of public trust in the modern era—and, in turn, the capacity to act as the Leviathan in the domestic sphere. As a corollary, both the ideational foundations as well as the capacity of the state to function seamlessly are damaged through hybrid attacks.

Building Trust to Surmount Hybrid Threats​

Considering the complex nature and dynamics of hybrid warfare, a range of policy and strategic responses have been propounded by experts. Some of these revolve around measures for detecting, deterring, countering, and responding to hybrid threats in a meticulous manner. Nevertheless, with the information, cognitive and social domains becoming the cornerstone of hybrid warfare, any set of solutions sans confidence-and trust-building will probably fall short of offering effective antidotes.

We have already discussed that hybrid warfare often takes place below the traditional threshold of war. What takes the centre stage here is the role of civilians: how they think and act in relation to the state. Contemporary digital and social media platforms allow hybrid actors to influence this to the detriment of the adversary state with considerable ease. The Russian online disinformation campaigns, some of which are very subtle yet grave, against some Western states constitute a good case in point.

Contemporary digital and social media platforms allow hybrid actors to influence the role of civilians: how they think and act in relation to the state. Picture © Brookings Institution

Also, as alluded to earlier, the state is spineless without the people. It draws legitimacy and, by the same token, power from its people. This applies especially to polities that are democratically structured. By driving a wedge between the state and its people, one can create conditions for its implosion. This is precisely what a hybrid actor aims at doing below the war threshold.
Hybrid threats are often tailored to the vulnerabilities of the target state or inter-state political communities. The purpose is to exploit them insofar as they are deepened to create and exacerbate polarisation both at the national and international levels.

This translates into perilous erosion of the core values of coexistence, harmony, and pluralism in and amongst democratic societies as well as the decision-making capability of the political leaders. Ultimately, what hybrid threats undercut is trust.
It is for this reason that building trust must be deemed the key bulwark against hybrid threats, especially ones that are geared towards undermining democratic states and polities. Moreover, trust remains the sine qua non for any policy or strategic response to hybrid threats to come to fruition. In other words, nothing will work or produce the desired results in the absence of trust.

Trust must not be understood as a single-layered or unidimensional phenomenon. It is needed on several levels and multiple domains. For instance, people must have confidence in the state organs for governments to ensure compliance with their decisions. It is alarming that in a lot of Western countries as evidence suggests - state institutions are losing their credibility owing to diminishing public trust. In the United States, public trust has declined from 73 percent in the 1950s to 24 percent in 2021. Similarly, in Western Europe, trust levels have been steadily declining since the 1970s.
It is not just public trust in the state that is paramount. People’s trust in each other remains equally important. The rise of populism in different parts of the world—including the Western countries—is symptomatic of greater socio-political polarisation within political communities. This results in jeopardising not only harmony at the societal level but also a community’s social and political fabric, thereby making it difficult to develop consensus in decision-making processes on all levels.

Building, re-building, and fortifying trust remains critical to creating durable resilience in the face of hybrid threats that acutely imperil the security at the state and societal levels. Trust-building within and across communities ought to be the linchpin of efforts to neutralise hybrid warfare and threats. This requires sustained efforts at the structural and policy levels to develop strong links between the state and the people that are underpinned by meaningful transparency, ownership, and inclusiveness.

This is the first article in a mini-series on “the grey zone” which focuses on hybrid threats, warfare and defence.

What is published in NATO Review does not constitute the official position or policy of NATO or member governments.
NATO Review seeks to inform and promote debate on security issues. The views expressed by authors are their own.

Source : NATO Review - Hybrid Warfare – New Threats, Complexity, and ‘Trust’ as the Antidote

ABOUT THE AUTHOR​


Arsalan Bilal is a doctoral research fellow at the Centre for Peace Studies – UiT The Arctic University of Norway. He is the coordinator of “The Grey Zone” research group at the institution that focuses on, inter alia, grey zone and hybrid threats and warfare.
 
Kitakachofuata ni hayo majimbo kuitisha kura ya Maoni wataamua wawe sehemu ya Urusi na ndio mchezo umeisha .....Nadhani kwasasa tukubali ipo siku zitawaka kati ya US na Hao jamaa zake na Urusi kwa upande mwingine.

Lakini pia Upande Mwingine simlaumu Mrusi nalaumu Ukraine kutokujitambua wao wanaambiwa usijiunge na hao NATO watakuja Kutusumbua hapa Jirani wanangangania. Hii ni Vita Ya Wababe kila mmoja ana Maslahi yake unadhani EU inaweza kukataa Gas ya Urusi wakati ndio wanatumia kwa kujihami na baridi??

Mtu mwenyewe wanahangaika nae Putin ambae hajali kitisho kabisaaa. . .Putin Hajali na mpaka anachukua hatua Hii hakua na namna kwasababu Ukraine ikijiunga NATO ni hatari zaidi kwao or so waanzishe Ile Cuba Crisis ya Mwaka 1962 nae Russia atege silaha zake kule Venezuela au Cuba....

Ukraine ndio watakaoumia hapa wala hamna kingine..Issue ya vikwazo ni kelele tu....
Ezekiel Kamwaga

Mchambuzi

Chanzo cha picha, Getty Images

[https://res]

Maelezo ya picha, Kumekuwa na msururu mrefu huku wakazi wa Kiev wakijaribu kuutoroka mji kutokana na mashambulio ya makombora ya vikosi vya Urusi

WAZIRI Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson na Rais wa Marekani, Joe Biden, tayari wameeleza hatua ya Russia kuivamia Ukraine kijeshi kama "janga na doa katika masuala ya uhusiano wa kimataifa". Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, ameelezea uvamizi huo kama ni hatua ya mwanzo ya mlolongo wa vita zitakazofuata katika eneo la Ulaya Mashariki.

Ni rahisi kuona kwa upande wa Ulaya na Marekani ni kwa vipi uvamizi huo ni tukio la kihistoria. Tangu kumalizika kwa Vita Kuu vya pili vya Dunia 1939-1945, hakuna nchi ya Ulaya iliyoivamia kijeshi nchi nyingine na kwa kiasi kikubwa ilionekana masuala ya kupigana vita yatabaki katika vitabu vya historia pekee.

Hotuba ya Rais Vladmir Putin alfajiri ya Februari 24 mwaka huu imebadili upepo. Katika hotuba yake ya kutangaza uvamizi, Rais huyo wa Russia alitoa sababu kubwa mbili za uvamizi - mosi kutimiza matakwa ya kimkakati ya kijeshi na pili kuondoa hatari ya siasa za kibaguzi kwa nchi hiyo jirani.

Katika dunia ya sasa ya utandawazi, ni wazi kwamba eneo muhimu kidunia kama Ulaya Mashariki likipata 'chafya' ya namna hii, ni lazima maeneo mengine dunia yashikwe na 'mafua'. Pasi na shaka yoyote, Afrika, kama ilivyo kwingineko duniani, itaathirika na mgogoro huu.

Ni kwa vipi Afrika itaathirika?

Mpaka sasa, sauti kubwa rasmi ambayo imepigwa na Afrika kuhusiana na mgogoro wa Ukraine ni hotuba ya Mwakilishi wa Kenya katika Umoja wa Mataifa (UN), Martin Kimani, aliyeonya kwamba hatua ya Urusi kutoheshimu mipaka iliyowekwa kwa sheria za kimataifa ni hatari kwa amani na utulivu wa dunia.

[https://res]

Chanzo cha picha, Getty Images

Ukraine ilikuwa sehemu ya Urusi ya Kisovieti kwenye miaka ya nyuma na Kimani alionya kwamba kwa bara kama la Afrika ambalo mipaka baina ya nchi zake iliwekwa na wakoloni, Russia inaweza kuchochoea nchi nyingine nazo ziamue kuvamiana kwa kuzingatia historia za miaka ya nyuma badala ya taratibu za kisasa zinazohusika na masuala ya mipaka.

Huo ni upande mmoja wa shilingi. Matatizo ya mipaka yanaweza kutokea kwenye miaka ijayo lakini kwa sasa - kwa wakati huu ambapo tayari vita vimelipuka huko Ukraine, Afrika tayari imeingia katika matatizo ambayo haikuwa nayo mwishoni mwa mwaka jana.

Jambo la kwanza ambalo litaanza kuiumiza Afrika ni kupanda kwa bei za mafuta. Mara tu baada ya kuanza kwa vita, bei ya mafuta tayari imepanda kufikia zaidi ya dola 100 kwa pipa - kiwango kikubwa zaidi cha kupanda kwa bei tangu mwaka 2014. Urusi ni miongoni mwa wasambazaji wakubwa wa nishati ya gesi na mafuta duniani na mgogoro huu utaathiri uzalishaji wake ama kwa vikwazo ambavyo tayari vimewekwa na taifa moja moja kama vila Marekani na Uingereza pamoja na Umoja wa Ulaya au kwa changamoto za kivita.

Afrika tayari inapitia katika kipindi kigumu kiuchumi. Wiki iliyopita, BBC Swahili iliripoti kuhusu kupanda kwa gharama za uchumi nchini Kenya kiasi cha kuzua malalamiko makubwa kutoka kwa wananchi. Ni wazi kupanda kwa bei ya mafuta kutaongeza bei zaidi ya bidhaa mbalimbali na kufanya hali kuwa ngumu zaidi.

Wiki tatu zilizopita, Waziri wa Nishati wa Tanzania, January Makamba, alionya bungeni jijini Dodoma kuhusu uwezekano wa kupanda zaidi kwa bei ya mafuta kutokana na mgogoro huu. Kupanda kwa bei ya mafuta huanzisha mnyororo wa kupanda kwa bei za uzalishaji na usafirishaji wa bidhaa. Tatizo kubwa zaidi kiuchumi ni kwamba sasa nchi zitalazimika kutumia fedha nyingi zaidi za kigeni kuagiza mafuta kuliko kawaida na hili huathiri akiba ya fedha za kigeni ya nchi na kupunguza matumizi ya fedha ambazo zingetumika kwenye mambo mengine muhimu.

Hali ni mbaya zaidi Kaskazini mwa Afrika

[https://res]

Chanzo cha picha, BASHIR AHMED/TWITTER

Pengine kuliko eneo lolote la Afrika, upande wa Kaskazini utaathirika zaidi kiuchumi na vita hivi kuliko eneo lingine lolote. Jambo la kwanza kuzingatia ni kwamba kwa mujibu wa takwimu za Wizara ya Kilimo ya Marekani, kabla hata ya vita hivi, viwango vya mfumuko wa bei vilivyopo sasa katika eneo hilo vinakaribiana na vile vilivyokuwepo wakati wa mapinduzi yaliyopewa jina la Arab Springs takribani miaka 11 iliyopita.

Urusi na Ukraine ndiyo wasambazaji wakuu wa ngano na mazao mengine ya nafaka duniani. Misri, nchi yenye watu wengi na ushawishi mkubwa zaidi katika eneo la Kaskazini mwa Afrika ndiyo mwagizaji mkuu wa ngano duniani. Ngano ni muhimu kwa taifa hilo kiasi kwamba waandamanaji waliomng'oa madarakani Rais Hosni Mubarak walikuwa wakililia zaidi mambo mawili tu; mkate na uhuru.

Uagizwaji wa bidhaa na nafaka nyingi kutoka Urusi na Ukraine hufanyikia kupitia Bahari Nyeusi (Black Sea) na kama vita hivi vitasababisha vikwazo au masharti ya usafirishaji kupitia njia hiyo, itabidi njia nyingine itafutwe. Hilo litaongeza gharama maradufu kwa kutumia njia tofauti katika mazingira ambayo bei tayari zitakuwa zimepanda.

Tayari Mpango wa Chakula Duniani (WFP) umeonya kwamba mgogoro wa Urusi na Ukraine unaweza kuwa na athari mbaya za kupandisha bei za vyakula na kusababisha njaa kwa masikini katika eneo la Kaskazini mwa Afrika. Taarifa iliyotolewa na WFP hivi karibuni iliweka bayana kwamba pengine huu ni wakati mbaya zaidi kuwa na mgogoro wa kivita kwenye eneo muhimu kwa uzalishaji wa chakula.

Chanzo cha picha, Getty Images

[https://res]

Maelezo ya picha, Biashara ya mauzo ya chai ya Kenya kwa Urusi inaingia shakani kutokana na vita ya Ukraine

Katika eneo la Afrika Mashariki, Kenya itapata pia athari za kiuchumi. Yenyewe ni mwagizaji mkuu wa ngano kutoka Urusi katika ukanda huu lakini yenyewe pia ni muuzaji mkubwa wa chai yake kwa taifa hilo. Mwaka 2021 pekee, Kenya iliuza chai yenye thamani ya shilingi za Kenya bilioni 6.2 kwa Urusi katika kipindi cha kati ya Januari mpaka Novemba 2021. Biashara hii sasa inaingia shakani kutokana na vita hivi.

Masuala ya Kijeshi, Diplomasia na Usalama kwa Afrika

Vita ya Russia na Ukraine vinaliweka bara la Afrika katika nafasi ngumu kwenye uhusiano wake na nchi kubwa duniani. Ingawa inaonekana kama ni mgogoro baina ya nchi mbili, lakini huu ni mgogoro kati ya Russia na nchi za Magharibi.

Katika miaka ya karibuni, Urusi imeanza kujitanua Afrika. Imeanza kutoa misaada ya kijeshi kwa nchi za Afrika kuanzia katika eneo la Mashariki, Pembe ya Afrika na Afrika ya Kati. Nchi nyingi za Afrika tayari zina makubaliano na mikataba ya kijeshi na nchi za Magharibi kama Uingereza na Marekani ambazo ziko tofauti na Urusi kwenye mgogoro huu.

Isivyo bahati, Afrika haina nchi yenye hadhi ya taifa kubwa (super power) na kuchagua upande katika mgogoro huu si jambo lenye afya kidiplomasia. Namna pekee ya kuendelea kubaki na marafiki wote ni kufuata siasa za kutofungamana na upande wowote. Kwa namna hii, nchi za Afrika zitakuwa na urafiki wa kuendelea na mikataba na makubaliano yake ya awali na mahasimu wote wanaopambana katika vita hii.

Chanzo cha picha, AFP

[https://res]

Maelezo ya picha, Sanamu za jeshi la Urusi zilisimikwa katika mji mku wa Jamuhuri ya Afrika ya Kati, (CAR), Bangui, mwaka jana, alama ya ushirikiano wa kiusalama wa Urusi barani Afrika.

Tatizo kubwa zaidi kwa Afrika sasa litakuwa ni namna mgogoro huu utakavyohamisha matatizo yote ya dunia katika eneo moja. Kihistoria, maisha ya watu wa Ulaya huwa na thamani kuliko ya Waafrika au kwingine duniani na hili litafanya jitihada zote za masuala ya haki za binadamu, njaa, ulinzi na usalama kuangalia kwenye eneo hilo la Bahari Nyeusi.

Hii maana yake ni kwamba maeneo kama Sudan, Somalia, Sudan Kusini, Mali, Msumbiji na kwingine ambako kulianza kutazamwa kwa kina, sasa kutapunguzwa umuhimu wakati jamii ya kimataifa ikitazama Ukraine. Ni vigumu kubashiri kwa kina nini hasa itakuwa athari ya hili kwenye masuala ya ulinzi na usalama kwa Afrika.

Kwa sababu Urusi na Ukraine ni ndugu, hakuna msemo wa Kiswahili unaosadifu nyakati hizi kama ule usemao; "ndugu wakigombana chukua jembe ukalime, na wakipatana chukua kapu ukavune". Huu ni wakati wa Afrika kujikita kwenye mambo ya kuondoa utegemezi wa nafaka na mazao kutoka Ulaya, kupunguza matumizi yasiyo ya lazima na kutumia vyema akiba yake ya fedha za kigeni iliyopo.

Jambo moja ambalo liko wazi ni kwamba chafya ya Ukraine tayari italeta mafua makali.
 
Ukiachana na ile meli ya uturuki iliopigwa jana kwa kuzuia eti majeshi ya Urusi, leo meli ya Japan imepigwa kombora karibu na Black sea

2 more merchant ships hit by Russian attacks in Black Sea.

Japanese bulk carrier MV Namura Queen hit by a rocket at anchor off Yuzhne.

Moldovan chemical tanker MV Millennial Spirit hit and set on fire 12 miles to the south


Video: suvaribeyinnotdefteri https://t.co/p5BHZmUPIk
View attachment 2131239
 
Meli ya Japan imepigwa kombora
IMG_20220225_190242.jpg
 
Javelin, kiboko ya vifaru na vifaa vitembeavyo vya kijeshi (mechanized forces)



Majenerali wastaafu wa nchi wanachama wa NATO wasema huu ndiyo muda wa NATO kuwapatia Ukraine silaha muhimu kabla ya nafasi hiyo kupotea, yaani kabla ya Russia kuwa wameziba njia zote za logistics

Silaha ya iliyoundwa Marekani ya Javelin, kiboko ya vifaru na vifaa vitembeavyo vya kijeshi (mechanized forces)na ndege za jeshi

Source : US Military News

Silaha hii inaweza kudondoshwa pamoja na askari wa miavuli wa vikosi maalum kwenda kutibua mipango ya matumizi ya vifaru, magari ya deraya, magari yabebayo mizinga n.k
 
RUSSIA MB13 , M8 vs M270 MLRS multiple rocket artillery

Silaha hii ilibuniwa kwanza na Russia, kisha China wakaiboresha zaidi lakini Marekani sasa ndiyo inaongoza kwa kifaa hiki cha mizinga ya midogo mingi kilicho mobile na uwezo wa kulegeza adui nguvu zake ktk uwanja wa vita.

Mizinga yenye midomo mingi inayoweza kufikia mistari ya nyuma kabisa ya adui. Je nani yupo vizuri katika ya Russia na Marekani katika aina hii ya silaha ya kuangamiza mpaka maili 80 nyuma ya mstari wa mbele wa adui?




US Military News
 
Kifaa hiki kilichoundwa Germany, kifaa cha kizazi kipya, kinaweza kutumika ktk hali zote za hewa baridi sana na joto kali la jangwani. Inapokuja mapigano ya uso kwa uso baina ya vifaru, chombo hiki cha Germany kinaweza kutupa shambulio kwa kasi zaidi na hivyo uwezekano wa asilimia 95 kushinda pambano kwa kutoa pigo kabla ya kujibiwa na hivyo kushinda katika mkabiliano kabla ya kujibiwa na adui .

MADE IN GERMANY
The latest models of the Bundeswehr

 
30 Thermobaric Russian TOS-1 , Flamethrower multiple Rocket launcher



kifaa hatari kinachonyonya oxygen huku kikiwasha moto hewa yote ktk mzunguko mkubwa. Silaha yakumtoa adui aliyejificha popote pale , kwani atakosa hewa. Kimeunda Russia.

 
BREAKING: It’s almost daylight on day 4 of the Russian attack and I’m thrilled to report that Volodymyr Zelenskyy is still the President of Ukraine. Remember when Putin said he’d do it 3 hours? Not on Zelenskyy’s watch.[emoji81][emoji81]
 
27 February 2022
Berlin, Germany

Bunge la Ujerumani (Bundestag) laafiki silaha za Ujerumani kupelekwa Ukraine.

Hayo yamejiri katika kikao cha dharura kilichoitwa na kuhutubiwa na chancellor Olaf Scholz kuhusu hali tete ya usalama ulaya kufuatia Russia kuivamia nchi ya Ukraine.


Uamuzi wa Bunge la Ujerumani (Bundestag) katika jumba lake maarufu la the Reichstag Building ni kinyume na historia yake ya muda mrefu ya kutotaka kupeleka silaha zitumike ktk uwanja wa vita, ambapo ktk suala hili jipya la Ukraine washirika wake wengi wa EU / NATO walilaumu ugugumizi wa kupeleka silaha Ukraine.

Maamuzi ya Bunge la Ujerumani (Bundestag) leo, yataondoa lawama hizo za siku za karibu na kuleta faraja si tu kwa Ukraine bali hata nchi wanachama wenzake za NATO kuona mshikamano baina ya nchi wanachama wa NATO kuweka mbinyo wa kila aina kwa Russia.

Chancellor Olaf Scholz jumamosi alitoa uamuzi maalum wa serikali yake ya Germany kutuma makombora 1,000 ya kuharibu vifaru na pia mizinga ya makombora 500 maalum kwa ulinzi wa anga ( Surface to Air Missiles) maarufu kama SAM yaende kutumika Ukraine


The German Bundestag meets for an extraordinary plenary session. German Chancellor Olaf Scholz issues a government statement on the situation in Ukraine



Source : DW News
 

27 February 2022​

Berlin, Germany 🇩🇪

Germany's reversal on Ukraine weapons policy 'response to Putin's aggression'​

1 hour ago​

60182306_101.jpg


German Chancellor Olaf Scholz addressed German lawmakers over a reversal in government policy on supplying Ukraine with weapons. Scholz added that €100 billion in defense spending would be included in the German budget.​

As Russia's invasion of Ukraine continues into its fourth day, German Chancellor Olaf Scholz addressed the German Parliament, the Bundestag, on the government's decision to directly supply weapons to Ukrainian troops.

"We need to support Ukraine in its hour of desperate need," Scholz told a special session of the Bundestag.

"There was no other response possible to Putin's aggression," he added, referring to the release of German weapons to Ukraine.

"It was Putin who chose this war, not the Russian people, so we must see clearly that this is Putin's war," the chancellor said.


On Saturday, the German government announced its decision to provide 1,000 anti-tank weapons and 500 surface-to-air missiles from German military stocks to Ukraine as soon as possible.

Additionally, Estonia and the Netherlands received permission from the German government to transfer German-made weapons to Ukraine, whereas previously such permission had been denied.

The moves are a reversal of Germany's long-standing principle banning weapons exports to conflict areas.


Why did Germany change its policy?​

"In attacking Ukraine, Putin doesn't just want to eradicate a country from the world map, he is destroying the European security structure we have had in place since Helsinki," Scholz said, referring to Europe's longstanding security infrastructure.

"We are not alone in defending peace."

Scholz said anyone "who has read what Putin says" can have "no doubt" the Russian president wants to "create a new order in Europe and he has no doubt about using military capabilities to achieve it."

"What do we need to counter this threat now or in the future?" he added.

Source : DW News
 
27 February 2022

Video feki zinazotembea mtandaoni, zaumbuliwa

Kwa kutumia google maps, reverse image search n.k video feki nyingi zimeweza kutambulika ambazo zinadaiwa kuwa ni za juzi tu kuhusu uvamizi wa Russia pamoja na vita inayoendelea Ukraine.

Fact check: 5 fakes of the war in Ukraine | DW News



Ever since Russia attacked Ukraine, thousands of images and videos of battle scenes have flooded the internet. But not everything is real - or what it appears to be.

Source : DW News
 
Rais Putin asaini waraka wa kuamuru majeshi ya Russia kuingia Ukraine kulinda amani ktk majimbo-yenye-uasi ya Luhansk na Donetsk

Rais Vladimir Vladimirovich Putin wa Russia amesaini tamko rasmi/ decree kuamrisha majeshi ya Russia kuingia nchi Ukraine katika majimbo Luhansk na Donetsk, ambayo Russia inadai ni majimbo asili kwa karne nyingi ingawa yapo nchini Ukraine lakini yanayoiunga mkono Russia, hati hiyo aliyosaini rais Vladimir Putin ni ili kulinda amani toka tishio la majeshi ya Ukraine ambayo bado ni tiifu kwa utawala wa rais wa Ukraine ktk mji mkuu wa Ukraine Kiev / Kyiv .

Rais Putin ametoa tamko hili mubashara ktk televisheni na kusema hatua hiyo ni muhimu ili kulinda majimbo hayo mawili yaliyoamua kujitenga toka Ukraine.

Rais Vladimir Putin ameyatambua majimbo hayo ya Ukraine kuwa ni Jamhuri ya Luhansk na Jamhuri Donetsk ikimaanisha siyo tena majimbo ya Ukraine na hivyo kupeleka msaada wa majeshi ya Russia kutekeleza majukumu aliyoyaita kulinda amani.

Ikulu ya White House Marekani imetangaza kuiwekea vikwazo Jamhuri ya Luhansk na Jamhuri Donetsk ya nchini Ukraine huko Umoja wa Ulaya / EU nayo imeitisha kikao cha dharura kufuatia hali hiyo mpya huku nchi zingine za Ulaya zikitoa matamko ya kulaani ubeberu wa Russia dhidi ya Ukraine.

Toka mji wake mkuu wa Kyiv, Ukraine imetaka Umoja wa Mataifa / UN kuitisha kikao cha dharura kufuatia hali hiyo.

Source: Russia MoD

Kwa wiki kadhaa majeshi ya Russia yalionekana kujikusanya karibu ya mipaka ya Ukraine pande za nchi za Russia yenyewe, Belarus, Crimea na bahari ya Black Sea kwa kile Russia ilichosema ni mazoezi ya kawaida ya utayari ya majeshi yake. Lakini majeshi ya utambuzi / intelligence ya nchi za umoja wa majeshi ya Ulaya Magharibi na Marekani wa NATO yalitia shaka hicho kilichoitwa mazoezi ya utayari ya Russia kwa wingi wa majeshi, vifaa vya kivita vya ulinzi wa anga, manowari za kivita, ndege za kijeshi, askari wa miguu, logistics, propaganda kupitia media mbalimbali za habari na mpangilio wa formation ilionesha wazi ni mpangilio wa kuweza kufanya uvamizi wa spidi kubwa na kuwapiga butwaa nchi marafiki za Ukraine.


Source : PBS Newshour

Ikumbukwe nchi ya Russia pia inaikalia asilimia 20% ya nchi ya Georgia toka mwaka 2008 na pia iligema eneo la Ukraine la Crimea mwaka 2014 katika bahari ya Black Sea toka Ukraine kupitia pia kuvamia maeneo ya nchi hizo kijeshi kwa sababu hizo hizo za kulinda amani na kuleta amani. Nchi za magharibi hazikuchukua hatua zozote za kijeshi zaidi ya kulaani hatua hizo za miaka iliyopita ktk nchi za Georgia na Ukraine.

Putin orders Russian troops into Ukraine separatist regions | DW News


Russian President Vladimir Putin has signed a decree to send what he is describing as "peacekeeping troops" into the separatist regions of Luhansk and Donetsk. The decision comes after Putin recognized both regions as independent states and described Ukraine as ancient Russian territory. The move could mark a significant escalation amid fears Russia could soon launch a full-scale invasion of Ukraine.

Source : DW News


Updates:

24 February 2022
Kharkiv, Ukraine

Mji maarufu wa kimkakati wa viwanda vikubwa wa Kharkiv Ukraine kama matrekta maarufu XTZ-243 yenye nguvu n.k ulioanzishwa na utawala ya Stalin wa USSR 1930-31 umeamka huku wakisikia milio mikubwa ya milipuko. Jimbo la Mji huu wa kimkatati wa viwanda upo mpakani na Russia

War in Ukraine: Explosions in Kyiv, Kharkiv as Russia launches invasion • FRANCE 24 English



People in Kyiv awoke to the sound of explosions and air-raid sirens this morning as Russia launched a military offensive into Ukraine, with similar scenes in major cities across the country as Russian artillery struck airports and infrastructure.
Source : France24

Wapasuane tu sisi hatuna habari.
 
Back
Top Bottom