Putin awafuta kazi majenerali nane na pia agombana sana na taasisi ya ujasusi ya FSB

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Haya maamuzi ameyafanya baada ya aibu ambayo imemkuta Ukraine, hakutegemea hivi kabisa, FSB walimshauri vibaya kwamba ataingia na kuchakaza kwa siku chache na kumaliza mchezo, leo mambo yameshindikana, amepoteza wanajeshi, vifaru, mindege na zana zingine nyingi tu na bado Kiev inazdi kumtunishia misuli hadi ametishia kutumia nyuklia, ila hapo pa nyuklia ndipo amesubiriwa sana, siku akizifyatua, atakachofanyiwa kitatumika kama funzo kwa Iran na Korea Kaskazini na mataifa yote ambayo hutishia tishia mambo ya nyuklia.

=======

  • Eight Russian generals sacked over Ukraine invasion failings, Kyiv said today
  • Head of security council said Moscow has changed tactics after early defeats
  • Putin also said to be furious at secret services for misleading him over resistance
  • Moscow expected Ukrainian military to fold, but has met determined fighters

Vladimir Putin has sacked his top generals and is 'raging' at the FSB after failed intelligence and poor strategy saw his troops handed a series of embarrassing defeats in the opening days of the war in Ukraine.

Oleksiy Danilov, head of Ukraine's security council, said 'around eight' Russian commanders have been fired since the start of the conflict as Moscow scrambles to change strategy after its attempted 'shock and awe' blitz fell flat.

Putin = Magufuli; makamanda kumbe walikuwa wanaogopa kumwambia ukweli kwa sababu ya ubabe wake kwani anapenda kuambiwa yale yanayompendeza tu matokeo yake sasa wanaagizia mamluki toka Syria baada ya kuona askari wake wanaogopa kuingia kwenye miji.

Kuwafukuza hao majenerali kutazidi kushusha marali ya wapiganaji wake ambao wanazidi kupoteza maisha na zana.

Hatua watakayoingia baada ya hapa ndio itakuwa balaa kwa warusi maana itakuwa ni Urban Guerrilla Warfare.
 
Yeye anafikiri ukiwa raisi wa Russia ukipeleka wanajeshi kwy uwanja wa VITA labda wao hawaogopi kufariki. Wanajeshi wanaenda sehemu hawana mazoea nayo. Kinachotokea wanatambulika wanawaua sana na Ndio maana wanaogopa sana. Kama juzi amefariki Jenerali katika uwanja wa VITA, unategemea makruti watasonga mbele pale. Kama MTU anaenda na vifaa vya ramani, vitambuzi vya maadui wapo wapi anauwawa. Labda Putin aende akajioneee mwenyewe binadamu wanavyokufa uko. Binadamu sio roboti
 
Haya maamuzi ameyafanya baada ya aibu ambayo imemkuta Ukraine, hakutegemea hivi kabisa, FSB walimshauri vibaya kwamba ataingia na kuchakaza kwa siku chache na kumaliza mchezo, leo mambo yameshindikana, amepoteza wanajeshi, vifaru, mindege na zana zingine nyingi tu na bado Kiev inazdi kumtunishia misuli hadi ametishia kutumia nyuklia, ila hapo pa nyuklia ndipo amesubiriwa sana, siku akizifyatua, atakachofanyiwa kitatumika kama funzo kwa Iran na Korea Kaskazini na mataifa yote ambayo hutishia tishia mambo ya nyuklia.

=======

  • Eight Russian generals sacked over Ukraine invasion failings, Kyiv said today
  • Head of security council said Moscow has changed tactics after early defeats
  • Putin also said to be furious at secret services for misleading him over resistance
  • Moscow expected Ukrainian military to fold, but has met determined fighters

Vladimir Putin has sacked his top generals and is 'raging' at the FSB after failed intelligence and poor strategy saw his troops handed a series of embarrassing defeats in the opening days of the war in Ukraine.

Oleksiy Danilov, head of Ukraine's security council, said 'around eight' Russian commanders have been fired since the start of the conflict as Moscow scrambles to change strategy after its attempted 'shock and awe' blitz fell flat.

Nlikuwa natazama aljazeera, Majeshi yako langoni la kyiv yamekaa tu yanasubiri order.
Wananchi wametaharuki, wengine wametoka wako ready kulinda mji. Kama hakutakuwa na msaada wa maana, Russia akianza mashambulizia anauchukua. Na leo kashambulia miji kdhaa kwa makombora.
 
Ngoja kwanza….ni nani aliyesema kuwa Putin kawatimua hao makamanda? Source ni nani/ nini?

Siyo Ukraine kweli waliosema hivyo?

I smell propaganda here…

Oleksiy Danilov, head of Ukraine's security council, said 'around eight' Russian commanders have been fired since the start of the conflict as Moscow scrambles to change strategy after its attempted 'shock and awe' blitz fell flat.”
 
Nawaza huenda putin sasaivi anajiuliza mwenyewe kama alifanya uamuzi wa busara kuanzisha hii vita.
Vikwazo sio utani, nchi inapoa na wananchi wanakosa amani gafla.

Bilashaka anatamani vitaiishe.

Wenzake NATO na US ni mashetani ya vita na umwagajidamu ndio maisha yao yakilasiku.

Angeondoa jeshi tu iliajipange kwa ulinzi vizuri zaidi.
 
Kwa njia yoyote Ile Urusi haiwezi kushindana na NATO Kwa Sababu Nchi za Magharibi ndiyo wanaendeaha mifumo ya Dunia .Ni swala la mtu Putin atatoka madarakani kwa aibu kubwa Sana.

Hakuna nchi kwasasa inayoweza challenge nguvu ya west ikabaki salama.
Ukiondoa vita ya mdomoni na mitandaoni hiyo nchi haipo kwasasa.
 
Haya maamuzi ameyafanya baada ya aibu ambayo imemkuta Ukraine, hakutegemea hivi kabisa, FSB walimshauri vibaya kwamba ataingia na kuchakaza kwa siku chache na kumaliza mchezo, leo mambo yameshindikana, amepoteza wanajeshi, vifaru, mindege na zana zingine nyingi tu na bado Kiev inazdi kumtunishia misuli hadi ametishia kutumia nyuklia, ila hapo pa nyuklia ndipo amesubiriwa sana, siku akizifyatua, atakachofanyiwa kitatumika kama funzo kwa Iran na Korea Kaskazini na mataifa yote ambayo hutishia tishia mambo ya nyuklia.

=======

  • Eight Russian generals sacked over Ukraine invasion failings, Kyiv said today
  • Head of security council said Moscow has changed tactics after early defeats
  • Putin also said to be furious at secret services for misleading him over resistance
  • Moscow expected Ukrainian military to fold, but has met determined fighters

Vladimir Putin has sacked his top generals and is 'raging' at the FSB after failed intelligence and poor strategy saw his troops handed a series of embarrassing defeats in the opening days of the war in Ukraine.

Oleksiy Danilov, head of Ukraine's security council, said 'around eight' Russian commanders have been fired since the start of the conflict as Moscow scrambles to change strategy after its attempted 'shock and awe' blitz fell flat.

IMG_1089.jpg
 
Back
Top Bottom