Minja Ngalason
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 1,284
- 1,839
Subiri tutunze akiba ya maneno yako mkuuPutin ni mwepesi kama karatasi, ila ana mikrwa mingi kuliko siafu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subiri tutunze akiba ya maneno yako mkuuPutin ni mwepesi kama karatasi, ila ana mikrwa mingi kuliko siafu.
ukraine ni ya pili kwa ukubwa huichui yote kizembe zembeUrusi nao wameonyesha ubovu sana yaani mpk leo bado me nilijua walishachukua nchi kitambo duuuh Kaukraine ndo kanamsumbua hadi leo jmn[emoji22][emoji22][emoji22]
Huenda Ukraine walishindwa vita siku nyingi na miji yote imeshachukuliwa na Russia, halafu huku sisi tunapigwa propaganda tu sitaki kuamini kwamba hadi leo Russia bado hawajashinda jeshi dhaifu la Ukraine.Ngoja kwanza….ni nani aliyesema kuwa Putin kawatimua hao makamanda? Source ni nani/ nini?
Siyo Ukraine kweli waliosema hivyo?
I smell propaganda here…
Teh teh teh kinyonge kabisa. Vipi yale Massa 24 yalikuwa ni upupu?ukraine ni ya pili kwa ukubwa huichui yote kizembe zembe
Source ni M-Ukraine!Huenda Ukraine walishindwa vita siku nyingi na miji yote imeshachukuliwa na Russia, halafu huku sisi tunapigwa propaganda tu sitaki kuamini kwamba hadi leo Russia bado hawajashinda jeshi dhaifu la Ukraine.
Umeisoma hiyo habari lakini? Umeiona source?MK254 unaripoti ukiwa Kyiv au Nairobi ☺️?
Kuwafukuza majenerali ni sehemu ya plan B ya Putin kwani amefanya "ovehaul" ya kila kitu.
Pia wakurugenzi wa FSB nao wamewekwa kuzuizini baada ya kugundulika kuwa majasusi wa Russia walio ndani ya Kyiv wengine ni mapandikizi au Moles wa nchi za magharibi na walikuwa wazitoa siri za kijeshi.
Vita ni ujasusi ulotukuka kama Nyerere alivyowapa kazi PK na M7 Iddi Amin akashughuliwa.
Kanali Mahfudhi alikuwa amejaa taarifa za kutosha kuweza kusonga mbele na vikozi vya JWTZ.
Sasa Russia wachukua vijana ambao wengineo ni kwasababu baba au babu alifanya kazi KGB bila kwenda vyuoni kwenye fresh talents.
Ila Russia ni watu wa kuchagama, watashinda hii vita kwa taabu kibabe.
Ila mkuu, usiamini sana hizo habari za kutoka huko Magharibi.
Hii Habari ni uzushi mtupu.. Kwanza eti kasema Nani wa Ukraine???? Halafu majenerali wa FSB... Unajua FSB kazi zake??? NI afadhali ungesema SVR... Na. FSK....na OPESHENI ZOTE ZA KIJESHI NJE YA NCHI HUFANYWA NA.. G. R. U.. ndio military agency inayoandaa na kufanya oparesheni zote nje ya nchi wakiongozwa na kikosi maalum SPETNAZ.
FSB NI KITENGO AU NI POLISI.. WANADILI NA KUSHUGHULIKIA AU KUZUIA UHALIFU NDANI YA NCHI NA SIO NJE...
KWA HIYO HIYO HABARI NI YA KIZUSHI, TENA IMETUNGWA NA MZUSHI ASIE NA UPEO KABISA WA MASUALA YA KIITELIJENSIA AU MILITARY STRATEJIA.
Huyu mtu wa hii story hata haijui Ukraine wala Russia wala institutions zake na kazi.
Ni Habari ya kivivu na kizembe sana. Ameshindwa hata kupekua kwenye mitandao kujiongezea maarifa kabla ya kutunga hii tamthiria yake.
Umeisoma hiyo habari lakini? Umeiona source?
Nina uhakika hajaelewa madaLaana ya kushangilia kifo cha Magufuli itawatafuna milele Mbowe na Lisu.
Hata mwaka haujaisha saccos yao inakiona cha moto
Putin is narcisstic na narcisstic hashindwi na amepoteza kila kitu my fear is he is going to destroy the world .Ata rusha nuclear na na ataharibu London and cause WW3.I’m so terrified and scared to death kwa sababu Biden is a chickenPutin alikurupuka
Hayana mafuta wanajeshi wa urusi hawana chakula hawataki kuwaua ndugu zao Hao ukraine ni walikuwa warusi pia .Hii ni kama iddi amini bukoba ni ya mganda Nyerere kasema ni ya Tanzania iddi amini akaanza vita yaliyomkuta ni Huyu Huyu Putin na Israel ( kaka ake Netanyahu marehemu alikufa vitani Kumtoa iddi amini ).so Putin anaijua vita inavyopigana Mimi Naona Akili zake si nzuri Sasa Hivi .Nlikuwa natazama aljazeera, Majeshi yako langoni la kyiv yamekaa tu yanasubiri order.
Wananchi wametaharuki, wengine wametoka wako ready kulinda mji. Kama hakutakuwa na msaada wa maana, Russia akianza mashambulizia anauchukua. Na leo kashambulia miji kdhaa kwa makombora.
Bukoba haijawahi kuwa sehemu ya Uganda uwa ni story tu. Unless kama unasema KyakaHayana mafuta wanajeshi wa urusi hawana chakula hawataki kuwaua ndugu zao Hao ukraine ni walikuwa warusi pia .Hii ni kama iddi amini bukoba ni ya mganda Nyerere kasema ni ya Tanzania iddi amini akaanza vita yaliyomkuta ni Huyu Huyu Putin na Israel ( kaka ake Netanyahu marehemu alikufa vitani Kumtoa iddi amini ).so Putin anaijua vita inavyopigana Mimi Naona Akili zake si nzuri Sasa Hivi .
Sio majenerali wa FSB, hoja ni kazi za FSB.. Mmeihusisha kwenye suala la intelijensia huko Ukraine.. Nimekujibu huo ni uzushi na mtunzi wa hiyo Habari ni mvivu kama wewe.. Maana hata wewe ungejiridhisha kujua kazi za FSB ndio hizo alizozitaja??Tatizo umekurupuka kujibu bila kusoma uelewe kwanza, hamna sehemu nimesema FSB ina majenerali, timu Putin mnawehuka sana tangu aingie aibu yote hii, hakuna yeyote kati yenu anajibu hoja kama ilivyo, kuna wanatukana hadi kumzidi Putin anavyotukana akiwa ikulu.....ha ha ha!!!
Niliona Fox News na reportHii ndio source yenyewe...wa Ukraine wenyewe
Oleksiy Danilov, head of Ukraine's security council, said 'around eight' Russian commanders have been fired since the start of the conflict as Moscow scrambles to change strategy after its attempted 'shock and awe' blitz fell flat.
kagera warBukoba haijawahi kuwa sehemu ya Uganda uwa ni story tu. Unless kama unasema Kyaka
Sio majenerali wa FSB, hoja ni kazi za FSB.. Mmeihusisha kwenye suala la intelijensia huko Ukraine.. Nimekujibu huo ni uzushi na mtunzi wa hiyo Habari ni mvivu kama wewe.. Maana hata wewe ungejiridhisha kujua kazi za FSB ndio hizo alizozitaja??
Kama kungetokea shambulizi la kigaidi ndani ya Russia basi hapo FSB na FSO wangehusishwa na kulaumiwa kwa uzembe.. Lakini oparesheni za nje ya nchi umewahusishaje???
Unasema sijui pro.. Sasa Nani ni pro hapo.. Mleta Habari bila kuifanyia analysis au mie ninayerekebisha ubovu wa Habari??
Nyie wa Kenya mna shida sana. Mmevurugwa na mambo ya uchaguzi mnakimbilia kwenye mambo makubwa ambayo yanazidi upeo wenu.
Huwezi kujadili mgogoro huo kwa cheap analysis kama zako. Isipokuwa kwa VIBARAKA wa... Tuu Maana kunakuwa hakuna namna.
Walikuwa wanagombea kaeneo ka kyaka ni mpakani kabisa ndiko Idd Amin alivamia.Niliona Fox News na report
kagera war
Niliona Fox News na report
kagera war
Sio majenerali wa FSB, hoja ni kazi za FSB.. Mmeihusisha kwenye suala la intelijensia huko Ukraine.. Nimekujibu huo ni uzushi na mtunzi wa hiyo Habari ni mvivu kama wewe.. Maana hata wewe ungejiridhisha kujua kazi za FSB ndio hizo alizozitaja??
Kama kungetokea shambulizi la kigaidi ndani ya Russia basi hapo FSB na FSO wangehusishwa na kulaumiwa kwa uzembe.. Lakini oparesheni za nje ya nchi umewahusishaje???
Unasema sijui pro.. Sasa Nani ni pro hapo.. Mleta Habari bila kuifanyia analysis au mie ninayerekebisha ubovu wa Habari??
Nyie wa Kenya mna shida sana. Mmevurugwa na mambo ya uchaguzi mnakimbilia kwenye mambo makubwa ambayo yanazidi upeo wenu.
Huwezi kujadili mgogoro huo kwa cheap analysis kama zako. Isipokuwa kwa VIBARAKA wa... Tuu Maana kunakuwa hakuna namna.