Richard
JF-Expert Member
- Oct 23, 2006
- 15,692
- 23,038
Ndo vita vilivyo huwa havina mteremko.Hiyo ya kusema "the Russian intelligence services has been infiltrated by the western moles" sidhani kama ni kweli ila ni akina Putin kujaribu kufunika madhaifu yao ya kiutendaji. Kuna mambo makuu matatu yaliyopelekea Putin na watu wake kubugi stepu:
1. Poor planning
2. Logistical challenges
3. Morale crisis
Hayo mengine ni porojo na mbwembwe tu.
Russia atumia mtindo uleule alotumia kuingia Georgia, na Crimea.
Ni kweli, Ukraine ina changamoto lakini mrusi nadhani kwa hatua walofikia hatashindwa hii.
Na hiyo yaenda na simu zilopigwa leo na macron na Scholz kujaribu kumuomba Putin amalize vita na yeye kukataa.
Hiyo yaonyesha kwamba Russia anakaribia kumaliza kazi, na pengine viongozi hao wanamwomba asimuue Zelensky.
Leo mchana Zelensky kakiri kwa mara ya kwanza kwamba wapiganaji 1300 wameuawa.