Putin awafuta kazi majenerali nane na pia agombana sana na taasisi ya ujasusi ya FSB

Laana ya kushangilia kifo cha Magufuli itawatafuna milele Mbowe na Lisu.

Hata mwaka haujaisha saccos yao inakiona cha moto
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakika Jiwe alikuwa anapotoshwa na kuambiwa ujinga japo yeye kwa kupenda sifa kwake akawa anachekelea akidhani watu wanamkubali, kumbe ni sukuma gang na masikini/wanyonge tu.
 
Kuwafukuza majenerali ni sehemu ya plan B ya Putin kwani amefanya "ovehaul" ya kila kitu.

Pia wakurugenzi wa FSB nao wamewekwa kuzuizini baada ya kugundulika kuwa majasusi wa Russia walio ndani ya Kyiv wengine ni mapandikizi au Moles wa nchi za magharibi na walikuwa wazitoa siri za kijeshi.

Vita ni ujasusi ulotukuka kama Nyerere alivyowapa kazi PK na M7 Iddi Amin akashughuliwa.

Kanali Mahfudhi alikuwa amejaa taarifa za kutosha kuweza kusonga mbele na vikozi vya JWTZ.

Sasa Russia wachukua vijana ambao wengineo ni kwasababu baba au babu alifanya kazi KGB bila kwenda vyuoni kwenye fresh talents.

Ila Russia ni watu wa kuchagama, watashinda hii vita kwa taabu kibabe.

Ila mkuu, usiamini sana hizo habari za kutoka huko Magharibi.
 
General yupi kafa mkuu maana wakisema kafa badae kaonekana mwingine tena wamesema (tetesi) kafa bado haijathibitika

Huyu aliyekufa ni yupi?
 
Kama taarifa zenyewe hizi ni za Chombo hiki siwezi kuziamini!
Nashangaa mtu anaenda kusoma magazeti ya UK nakuamini wakati anajuwa tu jamaa wamefunga chanel zote ili watulishe matango pori. Ok tuseme ni kweli je uhalisia ukoje huko maana Kyiv yote mahandaki sasa sielewi anayeshinda nani? mficha maradhi kifo ......
 
Putin atakua amegundua hao viongozi Ni mamluki wanauza Raman kwa ukrain
 
Source ni Zelensky na toad Boris Johnson
 
Shida chanzo cha habari ndoo watu wanakitilia shaka, yaani jeshi liko ndani ya Ukraine,watu wanasema wanapigana au anapigwa?
 
Hii Habari ni uzushi mtupu.. Kwanza eti kasema Nani wa Ukraine???? Halafu majenerali wa FSB... Unajua FSB kazi zake??? NI afadhali ungesema SVR... Na. FSK....na OPESHENI ZOTE ZA KIJESHI NJE YA NCHI HUFANYWA NA.. G. R. U.. ndio military agency inayoandaa na kufanya oparesheni zote nje ya nchi wakiongozwa na kikosi maalum SPETNAZ.

FSB NI KITENGO AU NI POLISI.. WANADILI NA KUSHUGHULIKIA AU KUZUIA UHALIFU NDANI YA NCHI NA SIO NJE...

KWA HIYO HIYO HABARI NI YA KIZUSHI, TENA IMETUNGWA NA MZUSHI ASIE NA UPEO KABISA WA MASUALA YA KIITELIJENSIA AU MILITARY STRATEJIA.
Huyu mtu wa hii story hata haijui Ukraine wala Russia wala institutions zake na kazi.

Ni Habari ya kivivu na kizembe sana. Ameshindwa hata kupekua kwenye mitandao kujiongezea maarifa kabla ya kutunga hii tamthiria yake.
 
Urusi nao wameonyesha ubovu sana yaani mpk leo bado me nilijua walishachukua nchi kitambo duuuh Kaukraine ndo kanamsumbua hadi leo jmn[emoji22][emoji22][emoji22]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…