Putin awafuta kazi majenerali nane na pia agombana sana na taasisi ya ujasusi ya FSB

Urusi nao wameonyesha ubovu sana yaani mpk leo bado me nilijua walishachukua nchi kitambo duuuh Kaukraine ndo kanamsumbua hadi leo jmn[emoji22][emoji22][emoji22]
ukraine ni ya pili kwa ukubwa huichui yote kizembe zembe
 
Ngoja kwanza….ni nani aliyesema kuwa Putin kawatimua hao makamanda? Source ni nani/ nini?

Siyo Ukraine kweli waliosema hivyo?

I smell propaganda here…
Huenda Ukraine walishindwa vita siku nyingi na miji yote imeshachukuliwa na Russia, halafu huku sisi tunapigwa propaganda tu sitaki kuamini kwamba hadi leo Russia bado hawajashinda jeshi dhaifu la Ukraine.
 
Huenda Ukraine walishindwa vita siku nyingi na miji yote imeshachukuliwa na Russia, halafu huku sisi tunapigwa propaganda tu sitaki kuamini kwamba hadi leo Russia bado hawajashinda jeshi dhaifu la Ukraine.
Source ni M-Ukraine!

Halafu habari ilivyoletwa utadhani ni ya uhakika kabisa wakati siyo!

Halafu na watu hawasomi na kuelewa.

Wanasoma tu kichwa cha habari kilicho potofu halafu wanaanza kuruka ruka na kupiga vigelegele.

Ujinga mtupu.
 

Sio vibaya kujiaminisha chochote kitakachowaliwaza na kuficha aibu, aidha Putin alishauriwa vibaya au ni king'ang'anizi asiyesurika, maustadh mjiande na hizi nadharia za kuendelea kujipa moyo.
 

Tatizo umekurupuka kujibu bila kusoma uelewe kwanza, hamna sehemu nimesema FSB ina majenerali, timu Putin mnawehuka sana tangu aingie aibu yote hii, hakuna yeyote kati yenu anajibu hoja kama ilivyo, kuna wanatukana hadi kumzidi Putin anavyotukana akiwa ikulu.....ha ha ha!!!
 
Umeisoma hiyo habari lakini? Umeiona source?

Hii ndio source yenyewe...wa Ukraine wenyewe

Oleksiy Danilov, head of Ukraine's security council, said 'around eight' Russian commanders have been fired since the start of the conflict as Moscow scrambles to change strategy after its attempted 'shock and awe' blitz fell flat.
 
Putin alikurupuka
Putin is narcisstic na narcisstic hashindwi na amepoteza kila kitu my fear is he is going to destroy the world .Ata rusha nuclear na na ataharibu London and cause WW3.I’m so terrified and scared to death kwa sababu Biden is a chicken
 
Hayana mafuta wanajeshi wa urusi hawana chakula hawataki kuwaua ndugu zao Hao ukraine ni walikuwa warusi pia .Hii ni kama iddi amini bukoba ni ya mganda Nyerere kasema ni ya Tanzania iddi amini akaanza vita yaliyomkuta ni Huyu Huyu Putin na Israel ( kaka ake Netanyahu marehemu alikufa vitani Kumtoa iddi amini ).so Putin anaijua vita inavyopigana Mimi Naona Akili zake si nzuri Sasa Hivi .
 
Bukoba haijawahi kuwa sehemu ya Uganda uwa ni story tu. Unless kama unasema Kyaka
 
Sio majenerali wa FSB, hoja ni kazi za FSB.. Mmeihusisha kwenye suala la intelijensia huko Ukraine.. Nimekujibu huo ni uzushi na mtunzi wa hiyo Habari ni mvivu kama wewe.. Maana hata wewe ungejiridhisha kujua kazi za FSB ndio hizo alizozitaja??

Kama kungetokea shambulizi la kigaidi ndani ya Russia basi hapo FSB na FSO wangehusishwa na kulaumiwa kwa uzembe.. Lakini oparesheni za nje ya nchi umewahusishaje???

Unasema sijui pro.. Sasa Nani ni pro hapo.. Mleta Habari bila kuifanyia analysis au mie ninayerekebisha ubovu wa Habari??

Nyie wa Kenya mna shida sana. Mmevurugwa na mambo ya uchaguzi mnakimbilia kwenye mambo makubwa ambayo yanazidi upeo wenu.

Huwezi kujadili mgogoro huo kwa cheap analysis kama zako. Isipokuwa kwa VIBARAKA wa... Tuu Maana kunakuwa hakuna namna.
 
Niliona Fox News na report
Bukoba haijawahi kuwa sehemu ya Uganda uwa ni story tu. Unless kama unasema Kyaka
kagera war
 
 
Niliona Fox News na report

kagera war

Fox na wengine wowote source yao ni huyo mkuu wa baraza la usalam la Ukraine, wadadisi na Moscow ili tupate ukweli
 

Bila shaka unaonekana unasoma sana nadharia kuliko uhalsia on the groud, tumia muda wako wa nusu saa hivi utafiti kuhusu taarifa za operations za FSB nje ya mipaka ya Urusi, uhusika wao Ukraine, na tuhuma za mapandikizi yao. Hao FSB wamewahi kutuhumiwa kufanya operation za hacking hadi Marekani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…