Putin awafuta kazi majenerali nane na pia agombana sana na taasisi ya ujasusi ya FSB

Ndo vita vilivyo huwa havina mteremko.

Russia atumia mtindo uleule alotumia kuingia Georgia, na Crimea.

Ni kweli, Ukraine ina changamoto lakini mrusi nadhani kwa hatua walofikia hatashindwa hii.

Na hiyo yaenda na simu zilopigwa leo na macron na Scholz kujaribu kumuomba Putin amalize vita na yeye kukataa.

Hiyo yaonyesha kwamba Russia anakaribia kumaliza kazi, na pengine viongozi hao wanamwomba asimuue Zelensky.

Leo mchana Zelensky kakiri kwa mara ya kwanza kwamba wapiganaji 1300 wameuawa.
 
Kama source ndo hiyo, siwez amin hata kidogo,labda ingekuwa CNN,RT,AL JAZEERA,Ningeelewa
 
Mrusi wa Tandale kwa Tumbo. Putin utawala wake umeisha. He is in office on a borrowed time.
 
Aliyetoa taarifA Ni Kiev yaani makao makuu ya ukraine. Ajabu..
 
Aliyetoa taarifA Ni Kiev yaani makao makuu ya ukraine. Ajabu..
 
Huyu Hana mafunzo yoyote ya kijeshi hats ya mgambo.. Askari hawazi hivyo vyote kikubwa kumuua adui... UkiingiA vitani ufe we'we ama afe yeye adui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…