PUTIN vs NETANYAHU: Njooni tumalize ubishi wa miamba hii miwili ya dunia

Waulize Iran na Hamas wanamjua Netanyahau.
 
Labda Mwamba wa kuuwa watoto/Civilians, na sio kupambana na jeshi la HAMAS?

Puttin na Hamas๐Ÿ’ช๐Ÿฝ๐Ÿ’ช๐Ÿฝ
 
Putin vita ya miaka 3 kila kitu Urusi ni made in China na India , ebu tuache ushabiki wa kitoto
Wewe unaongea uharo Urusi huko alishatoka kwenye hivyo vitu anauza silaha na teknojia yake kuna ubaya gani Urusi kununua vitu China? Usiwe na akili ya kipunguani kuaminishwa kila kitu cha Marekani na Ulaya ndiyo bora.
 
Wewe unaongea uharo Urusi huko alishatoka kwenye hivyo vitu anauza silaha na teknojia yake kuna ubaya gani Urusi kununua vitu China? Usiwe na akili ya kipunguani kuaminishwa kila kitu cha Marekani na Ulaya ndiyo bora.
Kijana anaongea uharo tu. Anafikiri Putin ni wa mchezo mchezo kama Netapaka wake.
 
HAo waisrael wanaohangaika na mgambo hadi wamepoteana , kama waliweza kupigwa na mgambo wa hezbollah 2006 bado watoto wadogo sana kwenye anga za vita
Ukiwekeza vizuri , ktk nyumba za kupangisha utakula Kodi Hadi una kufa ,Israel analetewa silaha analindwa maana ndivyo Mungu alihaidi
Putin hakuna kitu ,ni jina tu tangu aweke machuma chuma yake hapo Syria Iran Nyau anapita humohumo Kila siku Syria air port inapigwa na air defense ipo huwezi kuona picha kama kusoma hujui
 
hata iran mlikiwa mnamsifia kama putin cha ajabu mmekiona juzi tu apo limepigwa tukio alafu hata ushaidi halina mnabaki tu kusema ooh ooh chopper ilifeli mala ayatollah kumuangusha bla bla kibao wakati alichokoza mzinga wa nyuki.
 
Waislamu wanamuonaga putin kama mtume wao na wanachuki na Netanyahuu wanamuona kama adui wa uislamu
 
Hao wote wapo kutimiza maandiko
Kila mmoja kwa nafasi yake
 
Putin alisema hakuna mtu wa kuingilia vita yake na Ukraine lakini Dunia haikumtii. Hadi nchi kama Poland zinatuma Silaha wazi wazi na Putin hafanyi chochote.Netanyau kasema hakuna mtu wa kusogeza Pua yake Gaza na dunia imetii kabisa.
Hakuna mtu anamuogopa Netanyahu, hao wanaogopa marekani.
 
Ukiwekeza vizuri , ktk nyumba za kupangisha utakula Kodi Hadi una kufa ,
Mtu anaeishi kwa misaada ya wenye uwezo anapata wapi hela ya kununua nyumba za kupangisha? Mbona mfano wako haumeki sense!
Israel analetewa silaha analindwa maana ndivyo Mungu alihaidi
Sikulaumu sana kuhusu huu uongo uliodanganywa na wakoloni. Kwani walielewa fika kuwa waafrika ni dhaifu, na wazee wa kuamini kila wanachoambiwa bila kufanya research yoyote. Ndiomaana mpaka leo kuna wanaoamini kuwa waafrika tulipitia katika unyani halaf ndo tukawa binadam kamili. Picha za hapo chini na maelezo ya raisi wa China vinaonesha ni jinsi gani mpaka leo Afrika bado imejaza wajinga wengi wasiokuwa na uwezo wa kuwaza chochote cha maana nje ya box.
Putin hakuna kitu ,ni jina tu tangu aweke machuma chuma yake hapo Syria Iran Nyau anapita humohumo Kila siku Syria air port inapigwa na air defense ipo huwezi kuona picha kama kusoma hujui
Hapo kwa Iran ndo ulipochemka kabisa. Maana dunia nzima imeona na kushuhudia wazi kile ambacho Iran imekifanya nchini Israel, lakini Israel haina chochote cha maana cha kuonesha ilichokifanya Iran. Sanasana tunasikia uongo wa hapa na pale kuhusu shambulizi lililoshindwa ambalo hata wewe binafsi huenda haujaliona.

Mwisho, sisi wengine hatuamini katika vitabu vilivyoletwa na meli. Hivyo unapoongea jaribu kuweka hoja zako katika mambo yanayoonekana na kuthibitishwa. Sio kuleta habari za vitabu vilivyoandikwa na watu walio ua mababu zetu. Huku wakilazimisha tuamini dini zao badala ya imani zetu zilizokuwepo miaka na miaka toka kuumbwa kwa ulimwengu huu. Mungu hana dini wala nchi ya dini. Mungu ni wa kila mtu na chochote kilichopo katika dunia zikiwepo nchi zote mpaka Tanzania yetu ni zake.

Acha kukaririshwa ili uendelee kuwa mjinga wa kuamini kuwa Mungu kawabariki waisrael peke yao, na kwamba wewe mmatumbi sijui mhehe au mhaya unaeishi Bonyokwa (nje ya Israel) haukubarikiwa. Ni lini waafrika mtashtuka na kuwa na akili kama Wachina!
 

Attachments

  • FB_IMG_17118944407352949.jpg
    55.7 KB · Views: 4
  • 13820411_474e176b5f9b4f73a0efd5c863b1537b_jpeg9007ab240faecd3b84b2d425535ccbd1.jpeg
    107.9 KB · Views: 4
Kama Netanyau Angekua na resources kama za Putin ingekua noma sana aisee.Kusingekalika Angemaliza vita zake mapema sanaa.
Resources gani unazungumzia? Israel inapewa msaada mkubwa wa kijeshi ( silaha, fedha, teknolojia) na marekani
 
hata iran mlikiwa mnamsifia kama putin cha ajabu mmekiona juzi tu apo limepigwa tukio alafu hata ushaidi halina mnabaki tu kusema ooh ooh chopper ilifeli mala ayatollah kumuangusha bla bla kibao wakati alichokoza mzinga wa nyuki.
Sasa kama unasema tukio halina ushahidi wewe unapata wapi ushahidi wa kuandika haya?

Ama kweli ujinga ni mzigo.
 
๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ
Acha ushabiki maandazi dogo.
Nani kakudanganya kuwa Putin anatumia silaha zake pekee?
Uzi umesheheni uongo mwingi huu, duh!
Tatizo kijana unakimbilia ku comment huku ukiwa chooni unaku.nya.

Ni wapi nilipoandika kuwa Putin anatumia silaha zake pekee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ