PUTIN vs NETANYAHU: Njooni tumalize ubishi wa miamba hii miwili ya dunia

Kupata kichekesho kama hiki, bonyeza alama ya #.

Upozako Tandale kwa Tumbo, unatapika tu.

Putin amuogope muomba misaada..?
Israel bila U.S.A hakuna kitu pale...
 
Acha ujinga wewe....
Unamanisha Israel huyu mtegemea misaada, Ombaomba..?
Au kuna Israel mwingine..?

Amka wewe, Israel bila U.S.A hakuna kitu pale.
Huo ndio ukweli ambao wengi wenye kuisifu Israel huukwepa kuuongelea 😂😂
 
Pamoja na ubabe wote uyo putin anaongopa kusafili ichi za maghalibi
Netanyahu ushawahi kumuona anatembelea nchi gani zaidi ya Marekani tu peke yake?

Na unakumbuka safari ya mwisho Netanyahu kwenda Marekani ilikuwa mwaka gani?
 
Waendelee vipi na wakati maangamizi yao yalishindwa kuzuiwa na nchi 8 kwa ujumla?

Hivi uende kwenye nyumba ya mtu ukampige kipigo cha mbwa mwizi mbele ya mabwana zake nane wanaona, halaf uliempiga aje kwako kurusha kajiwe na kukimbia utamfata tena kumpa kipigo kingine au utamdharau maana hakuonesha kujibu kipigo ulichompa.

Ndo alivyofanya Iran, amemdharau muisrael baada ya kumtembezea kipigo mbele ya mabwana zake US, UK, France, Ujeruman na wajinga wenzao Saudia na Jordan😂😂

Sasa dogo kwa aibu et kaenda kurusha kajiwe na kukimbia 🤣🤣🤣

Hayo mengine sijui ya raisi umeshasema mwenyew hayana ushahidi hivyo hayana maana yoyote.
 
Vichwa vinachemka, IQ kubwa, wanaweza isimamisha dunia.

Eti Netanyahu ni mchumba, kamuoe tuone.
 
Putin vita ya miaka 3 kila kitu Urusi ni made in China na India , ebu tuache ushabiki wa kitoto
Putin ananunua silaha Iran na China tu.
India anatumia sana Israel made weapons,Russia hajawahi kuzitumia wala kununua usitudanganye.
Ila Israel USA ilipeleka mpaka jeshi limsaidie dhidi ya Hamas.
 
Ona ulivyo Popoma.
Netanyahu anatoka kukutana na jeshi la IDF tu.
Unaweza kunambia Netanyahu toka vita ianze ametembelea nchi gani!?
Putin kaenda China,Ukraine,Africa,India.
 
Mkuu RWANDA usiitolee mifano na mambo serious bwana.
Rwanda ina adui gani sasa zaidi ya DR CONGO!?
Kenya,Uganda,Sudan,Malawi,Zambia.
Hao wote hawana uadui na Rwanda.
Rwanda ikipata uadui na Kenya tu,nchi inateketea yote ile.
Busara za Tanzania hapa Afrika mashariki ndio zinailinda hiyo Rwanda.
 
Mkuu hauko serious.
Mkuu UMEROPOKA.
Yani Israel iwe na technology kuliko Russia!?
Israel inaweza kuunda helikopta au fighter jets!?
Israel wana uwezo wa kuunda Aerospace/space crafts!?
Israel wana uwezo wa kuunda HYPERSONIC MISSILES!?
Mkuu ongea ukiwa unajua bwana,usiwe unaongea mambo ambayo hauna uhakika nayo.

Unasema Israel anapambana na mataifa tajiri wa mafuta wakiongozwa na Iran,mkuu uko serious wewe!?
Iran anapigana na vikundi vinavyofadhiliwa na Iran.
*Hizbullah ni wanamgambo wanaojitegemea sio jeshi la Lebanon.
*Al Qassam brigade ni jeshi la Hamas sio la Palestina nzima.
Aya tutajie nchi gani ya kiarabu inapigana na ISRAEL ikifadhiliwa na Iran!?
Yani watu hamuna mnachojua mnaongea tu,mtajiaibisha.
 
hata iran mlikiwa mnamsifia kama putin cha ajabu mmekiona juzi tu apo limepigwa tukio alafu hata ushaidi halina mnabaki tu kusema ooh ooh chopper ilifeli mala ayatollah kumuangusha bla bla kibao wakati alichokoza mzinga wa nyuki.
Wewe una ushahidi kama Israel ndio kahusika!?
Umeshasema ushahidi hakuna,wewe unapata wapi nguvu ya kusema Israel amehusika!?
Embu tueleze.
 
Shida ya watoto wa 2000 hawajui hata historia, ndo maana wanaongea kitu wasichokijua, miaka ya 1990 Iraq ikiwa na nguvu sana chini ya Sadam Huseni aliwahi kuipiga Israel na makombora ya Scurd yaliyotengenezwa Rusia, alifanya hivyo hivyo kama Iran ilivyofanya na Israel yakirudisha hata kidogo lakini kilichokuja kutokea Iraq wote tukijua mpaka leo ni failed state, Iran na Israel wako vitani hata kama vita haijatangazwa, tutaona mengi halafu mwisho wa siku tutapata majibu.
 
Iran yeye alikuwa na Rusia noth Korea Hezbollah Hamas Syria Iraq Yemen na wengine game ni team , ww unaficha ukweli Nyau angeamua kulipa sawasawa angewafanya ila kapiga kichwa eneo lenu la Ulinzi mnaojisifia ndo maana hamkujibu tena ,
 
Mkuu umesahihishwa ila bado unaropoka uharo.
*Russia pale Syria kapeleka S300 na pia kaziweka katika kambi zake za jeshi kulinda askari wake.
Na kuna muda huwa ziko activated na kuna muda huwa inactivated.
Kama una kumbukumbu 2022 zilikua activated kwa muda mrefu Israel alipopeleka fighter jets tatu zilidunguliwa moja ndio ikanusurika na kutoroka.
Toka siku hiyo walitulia anga la Syria waliliogopa kwa muda.
*Hizbollah huwa havai kiraia wana gwanda na hawajawahi kamwe kuvua gwanda zao,hivi unajua kambi ya jeshi ya Galilee kaskazini mwa Israel imehamwa kwa kushambuliwa kila mara na hizbullah?
Hivi unafahamu kama Kaskazini mwa Israel raia wamehama kukimbia makombora ya Hizbullah!?

*Tukio la drone ya Israel kushambulia Isfahan ISRAEL WALIKIRI NA WALISEMA NI WAO,Shambulio lilikua kulenga kinu cha nuclear ila likafeli likagonga empty site ya kambi ya anga ya Isfahan.
Inamaana shambulio halikuleta madhara,na viongozi wa Israel walilaumiana wengine wakisema shambulio la kitoto.
*Hili la sasa hivi Netanyahu kakana na hakuna ushahidi.Netanyahu amekana kuhusika na kifo cha Ebrahim Raisi,Wewe ni nani umlishe maneno!?

Punguza kuropoka kijana huna unalojua.
 
Tukuletee ripoti ya mauzo ya silaha ya Russia!?
Kijana we wa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…