CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
Pesa yao wamelipia nauli wakati wewe pesa yako kila mwisho wa wiki na mwezi unampelekea mwamposa au kuhani musa.
JITATHMINI
Jali Mambo yako achana na kauli za kitoto wakati watu wanaomboleza vifo vya wapendwa wao.
Uzuri mimi.sijawahi kufanya huo upuuzi na si muumini wa ushirikina na mdharau mtu yoyote anayeendekeza ushirikina awe Simba au Yanga.Na mwisho wa siku limekuuma, ndipo ujue hata nyie mnavyofanya huumiza hisia za watu vile vile. Mkuki kwa nguruwe..........
Wewe huna hiyo hela tu, watu wanatoka mabara yote kwenda kuangalia World Cup sembuse mkoa hadi mkoaMtu unatoka mbeya had dar kuja tu kuangalia mpira kweli kichwan tunatofautiana
Hela mtu atafute mwenyewe halafu wewe umpangie jinsi ya kuitumia,hii mbona imekaa kimsule sukule.Mbeya - Dar kisa mpira???
Tuache Ujinga watanzania.
Hizo hela muwe mnapeleka kwenye vituo vya watoto yatima
Dunia haipo kwa mfumo unaotaka wewe. Yaani watu wasipumzike, wasifurahie maisha, wasiburudike? Au wewe ni mlokole wale wa ukishangilia mpira utachomwa moto?Mbeya - Dar kisa mpira???
Tuache Ujinga watanzania.
Hizo hela muwe mnapeleka kwenye vituo vya watoto yatima
Hela mtu atafute mwenyewe halafu wewe umpangie jinsi ya kuitumia,hii mbona imekaa kimsule sukule.
Dunia haipo kwa mfumo unaotaka wewe. Yaani watu wasipumzike, wasifurahie maisha, wasiburudike? Au wewe ni mlokole wale wa ukishangilia mpira utachomwa moto?
Siwezi kubishana na mtu miaka nenda rudi anatafuta ajiraUJINGA WA MTU MWEUSI.
Endekeza sana Ma mipira.
Nenda kwa Gari hadi Misri kaangalie Deby yao Alhly na Zamaleki.
Watu wanaweza kupoteza hadi Familia kisa simba na yanga, mtu anapata Ulemavu au anaacha Watoto yatima .
FICHA UJUHA
Hili ni suala lako binafsi, Naamini hukuingiliwa ulipokuwa shabiki.Mimi pia nilikuwa mpenzi mkibwa sana wa mpira.
Huyu ni wewe. Hushindi vijiweni sababu una sehemu nyingine inayokuhitaji.Kushinda vijiweni kubishana.
Kuvaa nguo za kamali.
Kusafiri zaidi ya km 10 kisa mpira hapana.
Wewe sema UMEOKOKA. Ndicho kilichokutokea. Mambo ya mpira, kamari ni dhambi kwako, usijifiche fiche.Vitu vingine tuwe tunatumia akili ya kawaida tu.
MIGEMUKO YA USIMBA NA UYANGA INAPELEKEA VIFO NA AJALI ZISIZO NA MSINGI KABISA.
unataka kusema kwamba ajali zote zinasababishwa simba na yanga?UJINGA WA MTU MWEUSI.
Endekeza sana Ma mipira.
Nenda kwa Gari hadi Misri kaangalie Deby yao Alhly na Zamaleki.
Watu wanaweza kupoteza hadi Familia kisa simba na yanga, mtu anapata Ulemavu au anaacha Watoto yatima .
FICHA UJUHA
Kusafiri Kwa ajili ya kile unachopenda Wala sio jambo baya. Kitu ambacho napenda kukidiscourage ni hii desturi ya kusafiri usiku usiku Ili mfike siku ya mechi ikiisha muanze safari ya kurudi Kwa lengo la kupunguza gharama za hotel n.k. mechi ijumaa anzeni safari jumatano tembeeni mwendo wa usalama mnafika alhamisi mnapumzika ijumaa mnacheki game. Jumamosi mnarudi taratibu Kwa usalama. Kama bajeti haziruhusu bakini makwenu Tv zipo sio kurisk namna hii.Hao jamaa hawawezi kuwasha Azam mbeya na kuangalia mpira?????
unataka kusema kwamba ajali zote zinasababishwa simba na yanga?
Uko sahihi kabisa mkuu, wanapata ajali wanakwaya wakitoka kumuabudu Mungu ije kuwa hao Mashabiki. Ajali zipo kila siku na hazitozuia maisha ya kila siku kuendelea.Mkuu mbona akili zako finyu hivi.. wewe huna starehe au kitu unavhokipenda! Ajali huwapata watu wakiwa katika hekaheia za maisha Yao... Mshukuru Mungu upo mzima! Mpuuzi wewe!
Kushauri ni jambo jema,lakini wewe unatoa hukumu kuwa wao wanachofanya ni ujinga,je kama wanatoa sadaka kama unavyoshauri inakuwa inawafunga wasifanye mambo mengine katika maisha yao?Nipo hapa kwaajili ya kushauri na kuonya.
We kama unaona ushauri wangu wakuchangia watoto yatima misaada haufai.
MUNGU AKUBARIKI SANA.
Nipo hapa kwaajili ya kushauri na kuonya.
We kama unaona ushauri wangu wakuchangia watoto yatima misaada haufai.
MUNGU AKUBARIKI SANA.