Ibilisi Mjalaana
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,297
- 16,529
Wahi hospitalK
Mbulula mama yako hakukufundisha kushukuru mlikuwa mmezoe kujichambia maji namabunzi ya mahindi hata pembe za ukuta leo mjua kichambia maji sasa mnamtusi mjumbe wangu aliowaleteq ustaarabu huu wasasa
red letter bible ndio aliiacha Yesu,haikuandikwa na machawa,una uhakika gani kwamba haikuandikwa tu kwa malengo fulani??Tafuta red letter bibles acha kusumbua watu, Lakn pia yameandikwa na machawa wake kwahyo hatuna uhakika asilimia mia kuwa ni yake pia
Yesu hakuacha biblia, pili red letter bibles ni biblia ambazo kwenye maneno ya yesu mwenyew wanaweka alama nyekundu kutofautisha na mawazo au simalizi za watu wengine hata King James bible inatoleo la red letter kijanared letter bible ndio aliiacha Yesu,haikuandikwa na machawa,una uhakika gani kwamba haikuandikwa tu kwa malengo fulani??
Mkuu utamuua mufti wa mbagala hilo swali hawezi kulijibunaipataje injili ya Issa bin Maryam mkuu?
unaelewa maana ya Injili kweli maalim?
walioweka red letters ni mitume au manabii??kwanini unawaamini??Yesu hakuacha biblia, pili red letter bibles ni biblia ambazo kwenye maneno ya yesu mwenyew wanaweka alama nyekundu kutofautisha na mawazo au simalizi za watu wengine hata King James bible inatoleo la red letter kijana
wala usishangae ktk biblia kuna agano la kale,ni kubwa zaidi ya agano jipya ambalo ndio anapatikana Yesu akihubiri,Biblia yenye maneno laki na 80+ chakushangaza maneno ya yesu hazidi elfu 37 kama SIo uenda wazimu n nn? Kitabu kimejaa hadithi za kina Paulo zaungo ungo mwanzo mwisho
Wakristo tulivokusanya vitabu na kuviweka pamoja mnatuona tulikoseaNani alivikusanya hivo vitabu 66 na kuvifanya kuwa kitu kimoja?
Ukileta majibu hapa basi tutapata uhalali wa kujudge ukusanywaji wa Aya za Quran ambazo zilikuwa kichwani Kwa maswahaba na kuwa kitabu kimoja
Karne ya pili ni huko China. Huko Arabia zimekuja Karne ya nane.Karatasi zimegundulika karne ya 2, halafu iyo SI ni tafsiri ya kiswahili Kwan mnakua hamna akili hv?
Ww shida yako nn Kuna sehem nimesema kipindi Cha Muhammad walitumia karatasi?Karne ya pili ni huko China. Huko Arabia zimekuja Karne ya nane.
WAKATI ambao Muhammad alishakufa kitambo
KWaher unashida mahali jifunze kwanza halafu ndo uje tenawalioweka red letters ni mitume au manabii??kwanini unawaamini??
wala usishangae ktk biblia kuna agano la kale,ni kubwa zaidi ya agano jipya ambalo ndio anapatikana Yesu akihubiri,
Yesu mwenyewe hakuandika maandishi yoyote walioandika ni watu waliokuwa wakimuona au waliopata kuzungumza na walioishi na Yesu.
swali,katika hayo maneno 37 elfu,lipi kati ya hayo Yesu mwenyewe anadai haijui bible???au anaijua bible??
mpira kwapani,mbiooo.KWaher unashida mahali jifunze kwanza halafu ndo uje tena
😄😄😄mpira kwapani,mbiooo.
si ukae unifunze??
Utaelewa tu maana sijawahi kufundisha kafiri yoyote kuhusu uislam na mtume Muhammad asieleweHapa unajitekenya mwenyewe alafu unacheka. Umrandika b
Siasa tupu. Lete kifungu kutoka kwenye quran kuwa Muhammad anajua kusoma na kuandika basi na sio hizi ngonjera.
Mkuu usijisumbue humu wavaa kobasi wanachechemea sana ni kama vile waswahili wanasema kuskia kwa kenge mpaka damu zimtoke puani kwaiyo saiv damu zimeshaanza kuwavuja wanatama mods waufute huu uzi usije kusomwa na vitoto vya madrasa vikatimkia kanisaniBwana mtukufu unayewaita wenzio makafiri!
nina jambo naomba unieleweshe.
Ni wapi kwenye quran yule kiumbe aliyemkaba Mwamedi alijitambulisha kuwa yeye ni Gibril.
gabriel ambaye nyie mnamwita Gibril alikuwa anakawaida ya kuwatoa hofu anaowatokea kwa kuwaambia USIOGOPE soma accounts zote ambapo Gabriel kajidhihilisha kwa watu.Kama yule kiumbe aliyempiga mwamedi kabali alikuwa Gibril inakuwaje asimtoe hofu kwanza?
Kuna ushahidi wowote wa third party kuthibitisha kuwa yale maneno aliyokuwa akitamka Mwamedi ni ya Gibril au alikuwa akiipendelea nafsi yake kwa kuudanganya umma?
kuna ushahidi wowote wa third party wa safari ya Isra na Miraj?
Tuanzie hapo kwanza bwana mtukufu!
ushahidi wa mtume kuambiwa maneno na kufundishwa kusoma tunaupata wapi?Utaelewa tu maana sijawahi kufundisha kafiri yoyote kuhusu uislam na mtume Muhammad asielewe
Kwanza Tambua Mwalimu wa mtume Muhammad ni malaika Jibril
First time Malaika Jibril anakuja Kwa mtume Muhammad ujumbe aliyomtea ni kuhusu kusoma na kuandika
Na hapo mtume analazimishwa asome Quran aliyokuja nayo malaika Jibril Aya 5 za Kwa kwanza kushuka na mtume aliweza kuzisoma hizo aya
Quran 96:1
Soma kwa jina la Mola wako Mlezi aliye umba,
Quran 96:2
Amemuumba binaadamu kwa tone la damu,
Quran 96:3
Soma! Na Mola wako Mlezi ni Karimu kushinda wote!
Quran 96:4
Ambaye amefundisha kwa kalamu.
Quran 96:5
Kamfundisha mtu aliyo kuwa hayajui.
Hapa mtume anaambiwa asiwe na wasiwasi kwani atafundishwa na hato sahau
Quran 87:6
Tutakusomesha wala hutasahau,
Quran 87:7
Ila akipenda Mwenyezi Mungu. Hakika Yeye anayajua yaliyo dhaahiri na yaliyo fichikana.
Quran 87:8
Na tutakusahilishia yawe mepesi.
Na hapa mtume ndio anafundishwa kusoma
Quran 75:16
Usiutikisie huu wahyi ulimi wako kwa kuufanyia haraka.
Quran 75:17
Hakika ni juu yetu kuukusanya na kuusomesha.
Quran 75:18
Tunapo usoma, basi nawe fuatiliza kusoma kwake.
kuna Ayah yoyote Muhammad alitambulishwa kwamba"mimi hapa mbele yako ni malaika jibrili,nimetumwa na Allah Mungu apaswaye pekee kuabudiwa"kabla aanze kumpa madesa ya kumeza kwa kumkaba??Utaelewa tu maana sijawahi kufundisha kafiri yoyote kuhusu uislam na mtume Muhammad asielewe
Kwanza Tambua Mwalimu wa mtume Muhammad ni malaika Jibril
First time Malaika Jibril anakuja Kwa mtume Muhammad ujumbe aliyomtea ni kuhusu kusoma na kuandika
Na hapo mtume analazimishwa asome Quran aliyokuja nayo malaika Jibril Aya 5 za Kwa kwanza kushuka na mtume aliweza kuzisoma hizo aya
Quran 96:1
Soma kwa jina la Mola wako Mlezi aliye umba,
Quran 96:2
Amemuumba binaadamu kwa tone la damu,
Quran 96:3
Soma! Na Mola wako Mlezi ni Karimu kushinda wote!
Quran 96:4
Ambaye amefundisha kwa kalamu.
Quran 96:5
Kamfundisha mtu aliyo kuwa hayajui.
Hapa mtume anaambiwa asiwe na wasiwasi kwani atafundishwa na hato sahau
Quran 87:6
Tutakusomesha wala hutasahau,
Quran 87:7
Ila akipenda Mwenyezi Mungu. Hakika Yeye anayajua yaliyo dhaahiri na yaliyo fichikana.
Quran 87:8
Na tutakusahilishia yawe mepesi.
Na hapa mtume ndio anafundishwa kusoma
Quran 75:16
Usiutikisie huu wahyi ulimi wako kwa kuufanyia haraka.
Quran 75:17
Hakika ni juu yetu kuukusanya na kuusomesha.
Quran 75:18
Tunapo usoma, basi nawe fuatiliza kusoma kwake.
Wewe takataka unapenda kujichanganya sanaWw shida yako nn Kuna sehem nimesema kipindi Cha Muhammad walitumia karatasi?
Mm nilikua najibu hoja ya karatasi kuwa ziligundulika zaman kabla hata ya Muhammad Lakn sijasema popote kuwa aliitumia zaidi ya kumwambia walitumia QIRTAS neno la kiarabu lenye maana kiandikio ( ngozi , majani, mawe laini nk)
Wewe umetoka lini?Wahi hospital
Ukinionesha niliposema hayo nakupa elf 50 ya soda, nakupa sio kwamba huna hela bali kama zawadi ya ushindi tuWewe takataka unapenda kujichanganya sana
Huko juu milisema qurani ilitumika kwasababu ni lugha yenye misamiati ya kutosha na kila kitu kilichoandikwa hakina maana mbili
Saiv unasema hyo qirtas ni kiandikio na kimebeba vitu vingi kama ngozi, majani, mawe
Kwanini tulazimishwe kitumike kiarabu wakati na chenyewe bado misamiati yake ina maana mbilimbili?