Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 4,994
- 9,625
na lau kama angelewa uwezo wa kuandika na kusoma basi waliokufuru wangekuja na hoja kuwa aliandika Quran baada ya kusoma vitabu vilivyopita.Kwa hiyo tupigie mstari kuwa braza alikua hajui kusoma wala kuandika
kutokujua kusoma wala kuandika ni ishara ya utume wa Mtume Muhammad "pbuh".Kwa hiyo tupigie mstari kuwa braza alikua hajui kusoma wala kuandika
Shukranikuna mitume ilikuwa inafata kitabu kimoja mfano mitume yote ya wana wa israel walikuwa walifata kitabu cha taurati kama msingi na muongozo wa sheria.
Nabii Daudi a.s alipewa kitabu cha Zaburi ila hakikuwa na sheria mpya..hivyo aliendelea kuifata torati ya musa
Nabii Yesu alipewa kitabu cha Injili ,hakikuja kuitengua torati.
Mtume Muhammad (s.a.w) alipewa Quran ambayo ilikuja na sheria mpya tofauti na zile za wana wa israel.
Pia mitume kabla ya Musa ilikuwa ikipewa Suhufi (miongozo).
Quran 3:84
"Sema: Tumemuamini Mwenyezi Mungu, na tuliyo teremshiwa sisi, na aliyo teremshiwa Ibrahim, na Ismail, na Is-haak na Yaakub na wajukuu zao, na aliyo pewa Musa na Isa na Manabii wengine kutoka kwa Mola wao Mlezi. Hatubagui baina yao hata mmoja, na sisi ni wenye kusilimu kwake."
Quran 3:84
"Sema: Tumemuamini Mwenyezi Mungu, na tuliyo teremshiwa sisi, na aliyo teremshiwa Ibrahim, na Ismail, na Is-haak na Yaakub na wajukuu zao, na aliyo pewa Musa na Isa na Manabii wengine kutoka kwa Mola wao Mlezi. Hatubagui baina yao hata mmoja, na sisi ni wenye kusilimu kwake."
Kumbukumbu la Torati 33:2 Akasema, BWANA alitoka Sinai, Akawaondokea kutoka Seiri; Aliangaza katika kilima cha Parani,
Quran 29:48
"Na wewe hukuwa kabla yake unasoma kitabu chochote, wala hukukiandika kwa mkono wako wa kulia. Ingeli kuwa hivyo wangeli fanya shaka wavunjifu."
na lau kama angelewa uwezo wa kuandika na kusoma basi waliokufuru wangekuja na hoja kuwa aliandika Quran baada ya kusoma vitabu vilivyopita.
Musa alizaliwa Misri na wazazi wake walikuwa wanaishi misri ambapo lugha ilikuwa inatumika ni Kiarabu.Mousa alikuwa akiongea kiarabu??? Msaada please! Vipi kuhusu David, Solomon etc?
Nataka unioneshe ni wapi Mungu aliwapa Utume Musa na Issa kwenye mlima wa Parani!Ismail aliteremshiwa nn?.
Neno zima ni hili.
Kumbukumbu la Torati 33:2
"[2]Akasema,
BWANA alitoka Sinai,
Akawaondokea kutoka Seiri;
Aliangaza katika kilima cha Parani,
Akaja Meribath-kadeshi.
Upande wa mkono wake wa kuume
Palikuwa na sheria ya moto-moto kwao. "
Kama mistar hii inazungumzia mitume.
Naomba nitajie mtume aliyefuata baada ya Mohamed ambae ametokea Meribath-kadeshi.
Jagina Mkono Mmoja gallow bird
Cc
Dumas the terrible camerlengo
Aliwatoa wana wa ISRAEL kuwapeleka PALESTINEMussa alikuwa Muebrania.
Alizaliwa utumwan Misri.
Na baadae kuwatoa wana wa Israel Misri kwenda Kaanani (palestina) ila hakufika.
Sina uhakika Ni lugha gan alikuwa anazungumza ila sio Kiarabu.
Wamisri wa miaka 5000 iliyopita hawakuwa wanatumia kiarabu bali lugha ya kale ya kimisri na maandishi ya hieroglyphicMusa alizaliwa Misri na wazazi wake walikuwa wanaishi misri ambapo lugha ilikuwa inatumika ni Kiarabu.
Hata hivyo Waisraeli halisi wale wa mwanzo (sio hawa wa kuunga unga) kwa kiasi kikuwa walikuwa wanajua lugha ya kiarabu vizuri
Wewe mgalatia Leo umeleta mpya kwahiyo wakazi wa Saudi Arabia wanaitwa WAIBRANIA?Wewe mwenye akili nyingi unajizungushazungusha kwa kupindisha ukweli kuwa Ishmael na Babu zake walikuwa waebrania regardless waliishi wapi.
Msambaa atakuwa msambaa tu hata kama amezaliwa mbozi tuwekane sawa hapo. Hata ukiweka ramani za aina gani Bado biblia inazitambua kabila za Wana wa Ishmael kwa mujibu wa Mwanzo 25:18 hawakuwa waarabu.
Hizi janja janja za.kujipachika kwenye lineage ya Ibrahim tunazikataa kabisa!
Wale wanaoishi Misri ni waarabu japo hawaishi kwenye Arabian Peninsula na si Waafrika na hata wao wanajinasibisha na uarabu!
Mimi nimeongelea uzao wa Ibrahim naomba usinitoe kwenye reli.Wewe mgalatia Leo umeleta mpya kwahiyo wakazi wa Saudi Arabia wanaitwa WAIBRANIA?
Sasa uzao wa Ibrahim si pamoja na Ishmael ambaye yeye na uzao wake wameishi Saudi Arabia au Ishmael sio uzao wa Ibrahim?Mimi nimeongelea uzao wa Ibrahim naomba usinitoe kwenye reli.
Waarabu wamekuwepo na wanatajwa ndani ya Biblia na lugha yao ni kiarabu!
Descendants wa Ibrahim lugha yao ni kihebrania!
Wao kuishi Saudia kunawafanya kuwa waarabu?Sasa uzao wa Ibrahim si pamoja na Ishmael ambaye yeye na uzao wake wameishi Saudi Arabia au Ishmael sio uzao wa Ibrahim?
Yaani wewe ndio Hopeless kabisa Ancient Kemet waliongea kiarabu???Musa alizaliwa Misri na wazazi wake walikuwa wanaishi misri ambapo lugha ilikuwa inatumika ni Kiarabu.
Hata hivyo Waisraeli halisi wale wa mwanzo (sio hawa wa kuunga unga) kwa kiasi kikuwa walikuwa wanajua lugha ya kiarabu vizuri
Wanadanganywa bila ya kuwa na historical evidence!Yaani wewe ndio Hopeless kabisa Ancient Kemet waliongea kiarabu???
Kweli Muslims na elimu ni mbingu na ardhi 😅
Wewe hao waarabu hapo Misri wamevamia karne za 15 AD tu hapo,
Misri/Kemet ilikaliwa na Blacks tupu na waliongea Lugha ya Kemetic na Koptic lugha za kale za himaya ya Misri
Unachekesha unavyosema Musa aliongea kiarabu,waarabu ni jamii za mwisho kabisa kua civilised walikua barbarian wa jangwani washukuru Muhammad Abdula Mutalib mjanja aliyetembea alikuja kuwazindua miaka ya 600AD hapo!
Sasa uzao wa Ibrahim si pamoja na Ishmael ambaye yeye na uzao wake wameishi Saudi Arabia au Ishmael sio uzao wa Ibrahim?
Hawa jamaa elimu hawana ni mbumbumbu sana kwanza hawajui hata Islamic state kama Ottoman waturuki na Moors waafrika ndio waliueneza Uislamu kwa upanga baada ya Muhammad na hao waarabu walikua mbwa tu walipata nguvu baada ya uungwaji mkono na hizo jamii tajwa na ndio Ujanja wa Uislam bila hivyo Uislam ungekufa mapema sana maana walitumia kama chombo cha agenda kusimika utawala wao,Wanadanganywa bila ya kuwa na historical evidence!
Wanafikiri Babeli ilikuwa chini ya waarabu.
Namna pekee ya kumpachika Mwamedi kwenye prophetic. Lineage ni kuwageuza manabii kuwa waarabu wakati historia inagoma!
Ishmael amekuta kabila za waarabu zipo na walikuwa waliongea kiarabu!Kwa habar ya Ismael kuwa muarabu Nakubaliana na Wewe.
Neno Mwebrania (Hebrew / ‘Ivri) linahusishwa na Eberi (Eber).
Mwanzo 10:21
“Na Shemu naye akazaliwa wana; naye ndiye baba wa wana wote wa Eberi…”
- ukoo ni: Nuhu → Shemu → Arpaksadi → Shela → Eberi → … → Ibrahimu → Isaka → Yakobo (Israeli)
jina Waebrania linahusishwa na uzao unaopita kwa Eberi, na baadaye kwa Yakobo (Israeli).
- Mungu alichagua Isaka kwa ajili ya AGANO
Mwanzo 17:19
“Nitalithibitisha agano langu kwake (Isaka) na uzao wake baada yake, liwe agano la milele.”
Mwanzo 21:12
“Kwa maana katika Isaka ndipo uzao wako utakapoitwa.”
- Ina maana Sio kila mwana wa Ibrahimu anakuwa uzao wa agano.
Isaka ndiye aliyeteuliwa kubeba agano la Mungu.
Yakobo (Israeli) ndipo taifa lilipoanza
Isaka alimzaa Yakobo, ambaye Mungu alimpa jina jipya Israeli.
Mwanzo 32:28
“Jina lako halitaitwa tena Yakobo, bali Israeli…”
- wana wa Yakobo = makabila 12
- Hapo ndipo taifa la Waisraeli (Waebrania) lilipoanza rasmi
Kwa ufupi Waebrania = uzao wa Isaka → Yakobo (Israeli)
- Jina linahusishwa na Eberi.
- Agano la Mungu lilipitia Isaka.
- Taifa lilijengwa kupitia Yakobo (Israeli).
Ishamel inawezena ndio alianzisha Uarabu.
Mwanzo 21:21
“Naye akakaa katika jangwa la Parani, mama yake akamtwalia mke katika nchi ya Misri.”
Mwanzo 25:13–18
“Hao ndio wana wa Ishmail… wakaishi kutoka Havila hata Shuri…”
Kufupisha Ishmail:
- Alikaa jangwani (Parani / Hijazi)
- Alioa Mmisri.
- Watoto wake waliishi Arabia.
Wao kuishi Saudia kunawafanya kuwa waarabu?