Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,646
- 10,442
- Thread starter
-
- #81
Injili(neno la kiarabu) linarejea kitabu(siyo present hard copy) cha Mungu alichompa issa bin Maryam kama muongozo wa Mungu kwa binadam
Mbona sijaona sehem imeandikwa "mikono ya wayahudi" "uharibifu mkubwa ikiwemo wa biblia".Hapa Musa anatabiri kwamba mikono ya Wayahudi itasababisha uharibifu mkubwa, ikijumuisha uharibifu wa Maandiko (Biblia).
Alipewa injeelNgoja nishuke kwenye Level ya uelewa wako.
Sawa. Kwahiyo Nabii Issa alipewa kitabu gan? Kinaitwaje? .
Mbona sijaona sehem imeandikwa "mikono ya wayahudi" "uharibifu mkubwa ikiwemo wa biblia".
Mnawezaje kusema, βSisi ni wenye hekima, na sheria ya Bwana iko pamoja nasiβ? Lakini tazama, kalamu ya uongo ya waandishi imeifanya kuwa uongo.β
(Yeremia 8:8 β Revised Standard Version)
Na Hapa anamanisha walimu kupotosha yaliyoandikwa kwenye torat na sio kubadili aya.
Kumbuka torat ni ile ile sema wahubiri ndio walikuwa wanahubiri kwa utofaut. Walim hawafanani
Unadhani nimeshindwa kujibu, nimeona mdahalo utakua mrefu na nishaufanya sanaHawa hatuwaelewi wanashika kipi na kuacha kipi yaani anasema injili ni fake na anatumia hiyo hiyo fake kuinasibisha na Quran hivi ni vituko vya karne kuna mwenzake alisema Isaya 29:1 imemtabiri Muhammad nikaweka aya aanze isaya 29:1 aone muktadha wa mwandishi akakosa jibu amerukia ooh Isaya yote imechakachuliwa na kuleta madesa ya kudemka toka AI hata hayaeleweki zaidi ya kumwaibisha tu bado anademka huko sheikh Jagina
ππ
Dah,kwa hiyo ulicho-reply hapo sijaandika alipewa kitabu gani, mbona unachosha Babu?!Ngoja nishuke kwenye Level ya uelewa wako.
Sawa. Kwahiyo Nabii Issa alipewa kitabu gan? Kinaitwaje? .
Dah,kwa hiyo ulicho-reply hapo sijaandika alipewa kitabu gani, mbona unachosha Babu?!
Twende taratibu bro.
Kwanza Haujajibu Injili ni nini.
Kwahiyo Yesu alipewa Injili ambayo kwasasa haipo. Si ndio?.
Na vitabu vya mathayo luka nk sio vitabu vya injili. Si ndio?
Acha kudanganya wagalatia wenzakoMbona sijaona sehem imeandikwa "mikono ya wayahudi" "uharibifu mkubwa ikiwemo wa biblia".
Mnawezaje kusema, βSisi ni wenye hekima, na sheria ya Bwana iko pamoja nasiβ? Lakini tazama, kalamu ya uongo ya waandishi imeifanya kuwa uongo.β
(Yeremia 8:8 β Revised Standard Version)
Na Hapa anamanisha walimu kupotosha yaliyoandikwa kwenye torat na sio kubadili aya.
Kumbuka torat ni ile ile sema wahubiri ndio walikuwa wanahubiri kwa utofaut. Walim hawafanani
Ni vitabu vya mathayo na LukaTwende taratibu bro.
Kwanza Haujajibu Injili ni nini.
Kwahiyo Yesu alipewa Injili ambayo kwasasa haipo. Si ndio?.
Na vitabu vya mathayo luka nk sio vitabu vya injili. Si ndio?
Ambavyo Yesu Ndio aliandika . Si ndio? Au aliwasomea wanafunz wake wakandika. Au ilikuwaje ?Ni vitabu vya mathayo na Luka
Hizo ziliandikwa miaka mingi baada ya yesu kuondoka,hazina credibility yoyote ni vile umewahiwa tuAmbavyo Yesu Ndio aliandika . Si ndio? Au aliwasomea wanafunz wake wakandika. Au ilikuwaje ?
Maana alipewa kitabu.
Na kwa habari ya wafu ya kwamba wafufuliwa, hamjasoma katika kitabu cha Musa, Sura ya Kijiti, jinsi Mungu alivyomwambia, akisema, Mimi ni Mungu wa Ibrahimu, na Mungu wa Isaka, na Mungu wa Yakobo?
Nadhan mm ni mgumu kuelewa kama ulivyosema.Hizo ziliandikwa miaka mingi baada ya yesu kuondoka,hazina credibility yoyote ni vile umewahiwa tu
Wewe kweli mgumu kuelewa, tafuta wa kujadiliana naeNadhan mm ni mgumu kuelewa kama ulivyosema.
Ulisema Injili haipo.
Ukasema injili amepewa Yesu.
Ukasema ni Vitabu vya Mathayo na Luka.
Na ukasema viliandikwa miaka ming baada ya Yesu kuondoka.
Kwahiyo kitabu Injili alichopewa Yesu kiko au hakiko?.
Uelewa wangu mdogo sana.
Wewe kweli mgumu kuelewa, tafuta wa kujadiliana nae
Lete andiko uthibitishe hapaUnadhani nimeshindwa kujibu, nimeona mdahalo utakua mrefu na nishaufanya sana
Hebu soma hii kwa kutulia,kwa Nia ya kapata ukweli
Biblical prophecies about Muhammad(saw) Biblical prophecies about Muhammad(saw)
Jamaa wana visingizio balaa, hapa alitaka kutafuta njia ya ku blame kuwa maandishi yalifutwa, ili kuthibitisha kuwa ndio Maana Muhammed hayumo kwenye injili au torati bila kujiuliza kwanini wafute ? Kwa maslahi yapi? Kwa kuogopa nani wakati huo hawajui nani atakuja?Sura ya kijiti.
inahusu simulizi la Musa na kile kijiti kilichokuwa kikiwaka moto bila kuteketea. Na Mungu alijitokeza kwa Musa na kujitambulisha kama Mungu wa mababu (Ibrahimu, Isaka, na Yakobo). Utaona aya inavyoishia hapo juu.
Na pia Wakati wa Yesu, Biblia (Agano la Kale) haikuwa imegawanywa katika sura na aya zenye namba kama tunavyoziona leo (mgawanyo wa namba ulianza karne nyingi baadaye). Ili kunukuu sehemu fulani ya maandiko, watu walitumia vichwa vya habari vya matukio makuu.
Badala ya kusema "Kutoka sura ya 3", Yesu alisema "katika Sura ya Kijiti" ili wasikilizaji wake wajue mara moja anazungumzia sehemu gani ya maandiko ya Musa.
Nadhan mm ni mgumu kuelewa kama ulivyosema.
Ulisema Injili haipo.
Ukasema injili amepewa Yesu.
Ukasema ni Vitabu vya Mathayo na Luka.
Na ukasema viliandikwa miaka ming baada ya Yesu kuondoka.
Kwahiyo kitabu Injili alichopewa Yesu kiko au hakiko?.
Uelewa wangu mdogo sana.
Sura ya kijiti.