Quran inawezaje kushindwa hesabu ndogo Kama hii?

M

Nimpumbavu huyo amesoma bilakuelewa
Msipende kushambulia bila kufanya tafiti. Angalia hapa wanazuoni walichofanya baada ya kuona Quran haieleweki.
 

Attachments

  • inheritence.jpg
    181.2 KB · Views: 23
Unajua kitu kinaitwa "AWL" ?
Angalia wanazuoni walichofanya hapa baada ya kuona hesabu za Quran haziko sawa
 

Attachments

  • inheritence.jpg
    181.2 KB · Views: 18
Nimesoma hiyo aya ya 4:12, sasa ile 1/8 iko wapi humo?
 
Unajua kitu kinaitwa "AWL" ?
Angalia wanazuoni walichofanya hapa baada ya kuona hesabu za Quran haziko sawa

Sasa mtu anajichapishia kichapisho chake anakwambia ndiyo ukweli na wewe unaamini?. Ungeuliza kazikokotoaje hizo badala ya kudownload vipicha mitandaoni na kuvileta hapa JF.
 
MADA imekuwa kubwa sana kwa naamuma. Utetezi wao mkubwa ni kutaja neno kafiri. Nimegundua hawajui chochote kuhusu Dini yao. Wamekuwa wakikariri kuwa Quran imekamilika kila kitu kwasababu Kuna Aya ndani ya Quran inasema hivyo. Kuna majukwaa makubwa ukiwa mfuatiliaji ndio utagundua upungufu mkubwa wa Quran.
Majukwaa ya waarabu walio lolzaliwa kwenye uislamu na kuisoma Quran vizuri kisha wakaacha Uislamu (Ritadi).
Fuatilia Profesa Mark ana PH D kwenye historia ya uislamu na alizaliwa Misri na mkufunzi chuo cha kiislamu Misri lakini alitoka wanataka kumuua yuko mafichoni.
Huko watu wanachambua kwa Aya na sio kwa stories za Mazinge au Shafii. Someni
 

Nimekuuliza ile 1/8 unayodai mke anapata umeipata wapi?. Jibu lako unatwambia tusome 4:12. Lakini tukisoma hiyo aya unayosema tusome hatuioni hiyo 1/8 unayoitaja.
 
Msipende kushambulia bila kufanya tafiti. Angalia hapa wanazuoni walichofanya baada ya kuona Quran haieleweki.
Tutolee ujinga hesabu zadini hii hufanyika ulisikia wapi hazienei na zilizopungua uliongeza wewe?nazilizo zidi ulichukua wewe?mmekuwa nakauli nyingi sana makafiri mara mtume alibaka mara burahimu alizini lakini ndio uislamu unazidi panuka mpaka italia uongo wenu unazidi umbuka majahili
 
Nimekuuliza ile 1/8 unayodai mke anapata umeipata wapi?. Jibu lako unatwambia tusome 4:12. Lakini tukisoma hiyo aya unayosema tusome hatuioni hiyo 1/8 unayoitaja.
Angalia tafsiri ya kiingereza ndio utaelewa zaidi

Quran 4:12
You will inherit half of what your wives leave if they are childless. But if they have children, then ΛΉyour share isΛΊ one-fourth of the estateβ€”after the fulfilment of bequests and debts. And your wives will inherit one-fourth of what you leave if you are childless. But if you have children, then your wives will receive one-eighth of your estateβ€”after the fulfilment of bequests and debts. And if a man or a woman leaves neither parents nor children but only a brother or a sister ΛΉfrom their mother’s sideΛΊ, they will each inherit one-sixth, but if they are more than one, they ΛΉallΛΊ will share one-third of the estate1β€”after the fulfilment of bequests and debts without harm ΛΉto the heirsΛΊ.2 ΛΉThis isΛΊ a commandment from Allah. And Allah is All-Knowing, Most Forbearing.
 
Unatakiwa kutoa ufafanuzi sio kuokoteza propaganda.
AWL ni hali ambayo mgao au share zailizotajwa kwenye Quran zinazohusu warithi wa lazima kuzidi asilimia 100.
Hapo Sasa:
Wanazuoni wakaja na formula ya kusawazisha. Hivyo Sunni na Shia wakawa na njia tofauti za kutatua hiyo hali
 
Hitilafu kama hizi zinatokana na tafsiri juu ya maana iliyokusudiwa kwenye Aya husika

Ndiyo maana wakawepo wanazuoni kusaidia kutatua mkanganyiko uliopo kwenye Aya

Mtoa mada kama lengo lako ilikuwa ni Perfection kwenye Quran basi hutaondoka na kitu cha kujenga zaidi utaondoka na negative attitudes juu ya kitabu hichi kitakatifu (Quran).

Wanazuoni wapo kwa ajili ya kazi hiyo na Mabishano yao ni Uongofu kwa waumin na kimsingi ndio chanzo cha kuwepo kwa madhehebu tofauti tofauti lakini mwisho wa siku uelekeo unabakia kuwa ni mmoja.

Assalam Alaykum (Pearce be upon you).
 
AWL ni hali ambayo mgao au share zailizotajwa kwenye Quran zinazohusu warithi wa lazima kuzidi asilimia 100.
Hapo Sasa:
Wanazuoni wakaja na formula ya kusawazisha. Hivyo Sunni na Shia wakawa na njia tofauti za kutatua hiyo hali
Sasa si utafsiri ile ayah kwa kuchambuaπŸ˜…πŸ˜…
 
Ukiwambia chambua hiyo Ayah ,analeta mitazamo za shia na sunniπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…..Huyu analeta ugomvi wa koo za kiarabu na waajemeni kwenye mambo ya dini .

Atakuja kusema kanzu za waajemeni na saudi ni tofauti na kanzu zilitotajwa kwenye Qur an ...Anashindwa kuelewa licha ya kuwepo kwa Qur an ila hao waarabu wana tamaduni zao ,kuna taliban wana mitazamo yao ya kiasili juu ya mwanamke nje ya Qur an ...

Hatokuja kuelewa Qur an kama anafuatilia mabishano ya mitazamo ya kimadhehebu ambayo ni totally upotevu ...πŸ˜…πŸ˜…We mwambie achambur hiyo ayah, atakuletea picha sijui katoa kwenye makundi ya Facebook huko.
 
Hapo imezungumziwa jumla ya mali alizoacha marehemu.
Sio HELA ALIZOACHA MAREHEMU.mtumie akili kidogo basi mbona mnatia aibu
 
Sasa umesoma Surah nzima ukajua itagawanywa kwa hali gani ? Ukigawanya inakuja bila ya wasiwasi ...Hilo ni swali la form two au three kama sijakosea ...
Nimekwambia hivi hapo ni jumla ya mali alizoacha marehemu.wapi Quran imetoka mfano marehemu kaacha million 1?
Marehemu ana gari,nyumba ,mashamba vitu na ndani na hela n.k
Hvyo vyote vinajumlishwa baadae ndo vinagawanywa hivyo.sio kuja na mfano wa million 1.ina maana huyo marehemu kaacha tu million 1?tumieni akili kidogo
 
Nan amekuambia Qur an imetoa mfano wa mil 1. Usijichanganye?

Onesha niliposema, sipendi uzushi !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…