R Kelly akimbilia maombi baada ya tuhuma dhidi yake za udhalilishaji kimapenzi kwa watoto kupamba moto

Kwahiyo wabake, wadhalilishe wanawake na watoto waachwe kwavile ni magwiji weusi?

Mfano ungekuwa unaishi US na R. Kelly akamharibu binti yako ungemuacha kisa tu ni legend?


Sent from my iPhone using JamiiForums

Muda mwingine tunawasingizia tu wazungu , Ila watu weusi tuna matendo ya kinyama sana sometimes


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Muda mwingine tunawasingizia tu wazungu , Ila watu weusi tuna matendo ya kinyama sana sometimes


Sent from my iPhone using JamiiForums

Kwa matendo ya Kelly hapana aiseeee...

Binamu niko insta narefresh kila dakika kwenye page ya Uwoya nasubiri bomu alilolisema sioni kitu badala yake katupostia mpicha wake!
Ananikera kama nini... sijawahi hata kutembelea page yake ila leo umbea umenipeleka [emoji12]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
MBAKAJI tu, rangi ya ngozi yake haihalalishi upuuzi wake. Hakuna mtu anayenikera kama anayefanya hivi vitendo kwa watoto, ntakuja niue mtu mimi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo ni yako wewe sio sheria hiyo.

Jaribu kubaka au mpe mimba mwanafunzi halafu uende mahakamani ukajenge hoja hii uone itakuwaje. [emoji4]


Sent from my iPhone using JamiiForums
Hilo neno.. Au awe na Bint yake under 18 watu wamnyatie na kumbebesha mimba..
 
Nifah fatilia kesi ya Cintoia Brown uone hii vita ikoje. In short Cintoia Brown aliuzwa kama mtumwa wa ngono from white to white. Mtumwa wa ngono huyu angali mtoto minor akmuua mdhalilishaji wake sex master. Kesi imemsubiri akue ahukumiwe kunyongwa! Can you imagine? Hawa surviving R.Kelly producer kwanini wasiweke surviving sex masters ? You know why? Kwa sababu itaharabu sura ya super race whites...stupid whites...

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Baada ya Rose muhando..
Sasa in R.Kelly
Na wengne wataenda tu.
Km ni kiki zitawakikisha, ila km wanahitaji msaada wa Mungu kweli, bas hatowaacha.
Mungu sio kingwendu.
Yeye
Amejaa neema na rehema.
 
Marekani kosa akifanya mzungu watatafuta namna walifunike ila akifanya mtu mweusi sasa watafanya juu chini mpaka afungwe

Tatizo sio r kelly kubaka vitoto tatizo double standard za sheria kuwabeba wazungu hta wanapofanya makosa dhahiri kbsa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na pesa zake mezani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kells......

Hafungwi mtu.....

Mfalme.
 
Tatizo mnajifanya mko informed ili na nyie muonekane hampitwi na muda na mko kisasa (huu ni ushamba kama ule wa washamba wengine tu), mnasahau kwamba mnajivua nguo na kuonyesha ulimbukeni wenu katika nyanja ya habari.
1. Elezea hizo kashfa za udhalilishaji unazoona zinamtia Robert hatiani (weka na ushahidi ukiweza).
2. Weka uthibitisho unaoonyesha kuwa hao walalamikaji wanasema kweli na hawana nia ya kumchafua mtuhumiwa.
Otherwise na wewe ni kilaza mmoja tu na mshamba unayejaribu kujitutumua ili uonekane na wewe umo, kama huna ushahidi shut the f*uck up and sit your figureless a*s down.

Done.
 
Yanii hizi kesi za Kubaka ushahidi sijui kama wanakuwa naoo..Ronaldo nae alisingiziwaa same ishuu...!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…