Rafiki yako akimtongoza mke wako umfanye nini?

Rafiki yako akimtongoza mke wako umfanye nini?

Jamaa huwa hatumi meseji yeye ni kupiga simu na kuongea live. Nitamwambia aanze kumrekodi
Yah
Af unatafta ambayo iko wazi kabisa unamtumia..

aumbuke
Na km girlfriend wake unamfahamu unamtumia pia
 
Mwambie kua Mkeo anasema anamtomgoza na kumsumbua Kila KUKICHA.

Ama zangu ama zako .

Alafu tulia uone atakavyojitekenya.
 
Hahahahaha,Eti Mtego!!😂...Weka mtego wakajadiliane na wife Jinsi Ya Kutegua.Ningekua mimi Ningemwambia Wife,Yule Rafiki Yangu Ni Mwathirika kitambo tu....
 
technically huyo mkeo hajampenda rafiki yako angempenda asingekwambia
hao ndio wanawake

Umesema kweli kabisa mkuu,niongezee, pia huenda Bwana Kajji hajamkera mke wake,au hajamkosea,angekuwa amefanya hivyo,hangemwambia,angempa fasta.
 
Namhala Kajji, kwa nini usimtafutie miamba hapo town umteke akaliwe tigo? Jitahidi kupata ushahidi wa kutosha ili ujiridhishe kweli anafanya hayo. Ukishajihakikishia tafuta miamba wanne hapo town umteke akapigwe mambo hatarudia ujinga! Huku kwetu kuna Mwarabu koko wa kwa Nchambi alijidai kutongoza mke wa li-Mafia moja likamteka akiwa ameingia chumbani kusasambua mbunye, likaleta makuli watatu wakampiga tigo huku anapigwa picha, looh mbona alivyotoka humo alihama mji kabisa!! Mpaka leo hatujui alifia wapi!!
 
Nimeoa naishi na mke wangu vizuri tu japo changamoto hazikosekani. Nilikuwa nafanya kazi ofisi moja na rafiki yangu ambaye tulikutana kwenye interview na kuajiriwa pamoja.

Nilioa kabla yeye hajaoa, akawa amezoea sana kuja kwangu na shemeji nyingi hata akikuta msosi umeisha atapikiwa.
Miezi miwili iliyopita nilipata uhamisho kwenda mkoa mwingine nikamuacha mke wangu kwani nae ana biashara zake.

Juzi kaniambia rafiki yangu anamtongoza, anasema amejitahidi kuvumilia lakini ameshindwa usumbufu umezidi ameona bora aniambie.
Mpaka sasa rafiki yangu sijamwambia chochote na ananipiga simu tunaongea vizuri tu.

Nimfanye nini huyu rafiki? Nimwambie ukweli au nimtege nimkamate au nimwache nianze kumuepuka kimya kimya.
Sasa huyo ni nyoka,piga kabisa,muite sehemu,mwambie nasikia unamtongoza wife,wakati ana tahamaki kutafuta jibu,unamrukia ndoo Moja,kichwa,mpaka unatoa meno.
Harafu unasepa,
 
Nimeoa naishi na mke wangu vizuri tu japo changamoto hazikosekani. Nilikuwa nafanya kazi ofisi moja na rafiki yangu ambaye tulikutana kwenye interview na kuajiriwa pamoja.

Nilioa kabla yeye hajaoa, akawa amezoea sana kuja kwangu na shemeji nyingi hata akikuta msosi umeisha atapikiwa.
Miezi miwili iliyopita nilipata uhamisho kwenda mkoa mwingine nikamuacha mke wangu kwani nae ana biashara zake.

Juzi kaniambia rafiki yangu anamtongoza, anasema amejitahidi kuvumilia lakini ameshindwa usumbufu umezidi ameona bora aniambie.
Mpaka sasa rafiki yangu sijamwambia chochote na ananipiga simu tunaongea vizuri tu.

Nimfanye nini huyu rafiki? Nimwambie ukweli au nimtege nimkamate au nimwache nianze kumuepuka kimya kimya.
Mkeo hana akili. Mke mwenye akili angempa makavu hadi akimbie bila hata wewe kujua.

Jiulize ametongozwa na huyo tu? Wapo wanaomla hawezi kukwambia.

Kifupi mkeo ni zero brain.
 
Nimeoa naishi na mke wangu vizuri tu japo changamoto hazikosekani. Nilikuwa nafanya kazi ofisi moja na rafiki yangu ambaye tulikutana kwenye interview na kuajiriwa pamoja.

Nilioa kabla yeye hajaoa, akawa amezoea sana kuja kwangu na shemeji nyingi hata akikuta msosi umeisha atapikiwa.
Miezi miwili iliyopita nilipata uhamisho kwenda mkoa mwingine nikamuacha mke wangu kwani nae ana biashara zake.

Juzi kaniambia rafiki yangu anamtongoza, anasema amejitahidi kuvumilia lakini ameshindwa usumbufu umezidi ameona bora aniambie.
Mpaka sasa rafiki yangu sijamwambia chochote na ananipiga simu tunaongea vizuri tu.

Nimfanye nini huyu rafiki? Nimwambie ukweli au nimtege nimkamate au nimwache nianze kumuepuka kimya kimya.
Kwanza mnunulie zawadi mke wako halafu umpe pongezi nyingi. Zidisha mapenzi kwake ili azidi kuwa mwaminifu. Kuhusu jamaa yako huyo weka mtego. Mwambie mke wako afanye kama amemkubalia na wapange ''guest'' watakayokwenda. Mwambie mke wako siku ikifika, wakishaingia ndani, amshawishi avue nguo zote kwanza (yeye asivue) halafu azichukuwe ghafla na kutoka baru. Wewe uwe unasubiri mlangoni na mara mke wako akitoka na nguo mbio, fungua mlango uchungulie ndani na jamaa akuone. Mkazie mamcho kwa sekunde kadhaa halafu funga mlango kwa kuubamiza na muondoke na mke wako bila hata kumsemesha jamaa. Mwacheni ndani ya guest akiwa uchi na nyie rudini nyumbani (na-suggest siku hiyo uende na rafiki wawili na gari.
 
Kuna story sikumbuki niliipata wapi.
Jamaa kategesha mke amshike ugoni mshikaji. Kwa kukutana ni nyumba ya kulala wageni.

Muda ulifika, mke kaelekea huko huku jamaa akimfuatilia. Wako na mshikaji chumbani. Mume anagonga mlango. Mshikaji akamfungulia akiwa na cha moto mkononi. Mume kakalishwa kwenye kiti, mshikaji akagonga mzigo kisha akaaga akimwambia mume akome kufuatilia wanaume.

Chonde, mambo ya kutegesha unaweza ufe.
 
technically huyo mkeo hajampenda rafiki yako angempenda asingekwambia
hao ndio wanawake
Wewe ni mwanaume? Umeoa? Basi kama umeoa inawezekana kabisa mkeo anagawa kama pipi na ndiyo maana unadhani hakuna walio waaminifu. Na pia ulikuwa kwenye mazingira ya wanawake eg dada zako, mama yako nk kufanya umalaya hivyo ukaaminishwa kuwa wanawake wakitongozwa ni lazima wakubali.
 
Kuna story sikumbuki niliipata wapi.
Jamaa kategesha mke amshike ugoni mshikaji. Kwa kukutana ni nyumba ya kulala wageni.

Muda ulifika, mke kaelekea huko huku jamaa akimfuatilia. Wako na mshikaji chumbani. Mume anagonga mlango. Mshikaji akamfungulia akiwa na cha moto mkononi. Mume kakalishwa kwenye kiti, mshikaji akagonga mzigo kisha akaaga akimwambia mume akome kufuatilia wanaume.

Chonde, mambo ya kutegesha unaweza ufe.
Chai hii.
 
Mkeo ameshakwambia kuwa amechoka kuvumilia hivyo ameona akwambie tu, halafu wewe mpaka sasa unashindwa kuchukua hatua mapema eti unakusanya ushahidi.

Wanawake wanapenda mwanaumme mwenye kichukua hatua.
Ukiendelea kusubiri utajikuta unaanziaha uzi mwingine humu.
Amechoka kuvumilia kwani ni mzigo kubeba?
 
Vijana ndoa zina changamoto nyingi sana na kwa ushauri kwa wewe na wale wengine hata ambao bado hawajapata bado wenza wao wa kuwaoa ni hivi:-

Katika mambo muhimu ya kuwafundisha wake zenu hili nalo liwemo
Mwambie akitongozwa hata na kiumbe gani asikuambie bali ajitoe mwenyewe kwa kumjibu yeye anavyoona inafaa

Nasema hivi kwa sababu moja tu
Utagombana na wangapi iwapo kila anaemtongoza atakuambia?

Au hata kama hutagombana nao na kumezea je utakuwa na dukuduku na wangapi?

Je na kesho kaka yako akamuomba akakuambia utafanya nini?
Wanaume ni tamaa na sio upendo Kwa hiyo muwaonye wenzenu wapambane kivyao
Anapokuambia hajui kuwa anaingiza chuki na je hapo kwenye biashara zake unafikiri hatongozwi?
Na je wangapi wameomba hata namba?

Mkanye akome kabisa kukuambia ujinga huo
Very wrong advice! Kama hizi ndizo busara za wazee basi tumeliwa. Jamaa amesema kabisa kuwa amemsumbua sana. Kutongozw kwa kawaida kupo ila ukiona rafiki yako anayekuheshimu na anakuja mpaka kwenu halafu anamtongozo mkeo basi ujue huyo rafiki anakudharau na unastahili kumwonyesha kuwa yeye ni mjinga kuliko wewe.
 
Ulimwengu wa SAsa ni mbaya Sana watu hawaheshimu ndoa, na hata awajui nini maana ya ndoa. Hili janga ni kumuomba Mungu tu azidi kukufunika pazia usiyone ya mwenza wako. Ndoa imekua kama ni kituo tu cha makutano. Na kwa hali ya sasa kujiandaa kisaikolojia ni muhimu Ili upatapo taarifa yeyeto mbaya isiathiri maisha yako, maana kuna wenza mshipa wa aibu ulishakata kitambo.
Nakuhakikishia bado kuna ndoa ambao wanandoa wake wanajiheshimu mno. Sikatai kuwa kwenye mambo ya uasherati yameongezeka, lakini nasisitiza bado kuna ndoa nyingi tu nzuri. NB: katika races zote, nadhani waafrika ndiyo wa kwanza kwa kufikiria ngono kila saa na kukosa uaminifu kwenye ndoa. Rate ya uzinifu kwenye ndoa siyo kubwa kwa jamii kama wahindi, wachina na hata wazungu.
 
technically huyo mkeo hajampenda rafiki yako angempenda asingekwambia
hao ndio wanawake
Kwamba tukipenda hatutoi taarifa!!

Wanawake sisi ni watulivu na waaminifu sana kwa ndoa zetu.
 
Back
Top Bottom