KateMiddleton
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 3,883
- 4,676
YahJamaa huwa hatumi meseji yeye ni kupiga simu na kuongea live. Nitamwambia aanze kumrekodi
Sasa huyo ni nyoka,piga kabisa,muite sehemu,mwambie nasikia unamtongoza wife,wakati ana tahamaki kutafuta jibu,unamrukia ndoo Moja,kichwa,mpaka unatoa meno.Nimeoa naishi na mke wangu vizuri tu japo changamoto hazikosekani. Nilikuwa nafanya kazi ofisi moja na rafiki yangu ambaye tulikutana kwenye interview na kuajiriwa pamoja.
Nilioa kabla yeye hajaoa, akawa amezoea sana kuja kwangu na shemeji nyingi hata akikuta msosi umeisha atapikiwa.
Miezi miwili iliyopita nilipata uhamisho kwenda mkoa mwingine nikamuacha mke wangu kwani nae ana biashara zake.
Juzi kaniambia rafiki yangu anamtongoza, anasema amejitahidi kuvumilia lakini ameshindwa usumbufu umezidi ameona bora aniambie.
Mpaka sasa rafiki yangu sijamwambia chochote na ananipiga simu tunaongea vizuri tu.
Nimfanye nini huyu rafiki? Nimwambie ukweli au nimtege nimkamate au nimwache nianze kumuepuka kimya kimya.
Mkeo hana akili. Mke mwenye akili angempa makavu hadi akimbie bila hata wewe kujua.Nimeoa naishi na mke wangu vizuri tu japo changamoto hazikosekani. Nilikuwa nafanya kazi ofisi moja na rafiki yangu ambaye tulikutana kwenye interview na kuajiriwa pamoja.
Nilioa kabla yeye hajaoa, akawa amezoea sana kuja kwangu na shemeji nyingi hata akikuta msosi umeisha atapikiwa.
Miezi miwili iliyopita nilipata uhamisho kwenda mkoa mwingine nikamuacha mke wangu kwani nae ana biashara zake.
Juzi kaniambia rafiki yangu anamtongoza, anasema amejitahidi kuvumilia lakini ameshindwa usumbufu umezidi ameona bora aniambie.
Mpaka sasa rafiki yangu sijamwambia chochote na ananipiga simu tunaongea vizuri tu.
Nimfanye nini huyu rafiki? Nimwambie ukweli au nimtege nimkamate au nimwache nianze kumuepuka kimya kimya.
Weka hapa tujifunze mkuu.Mkuu usirudie kucoment namna hii juzi tumezika mtu hivihvi.. kuwa makini sana ndugu yetu anaweza kuua mtu.
Kwanza mnunulie zawadi mke wako halafu umpe pongezi nyingi. Zidisha mapenzi kwake ili azidi kuwa mwaminifu. Kuhusu jamaa yako huyo weka mtego. Mwambie mke wako afanye kama amemkubalia na wapange ''guest'' watakayokwenda. Mwambie mke wako siku ikifika, wakishaingia ndani, amshawishi avue nguo zote kwanza (yeye asivue) halafu azichukuwe ghafla na kutoka baru. Wewe uwe unasubiri mlangoni na mara mke wako akitoka na nguo mbio, fungua mlango uchungulie ndani na jamaa akuone. Mkazie mamcho kwa sekunde kadhaa halafu funga mlango kwa kuubamiza na muondoke na mke wako bila hata kumsemesha jamaa. Mwacheni ndani ya guest akiwa uchi na nyie rudini nyumbani (na-suggest siku hiyo uende na rafiki wawili na gari.Nimeoa naishi na mke wangu vizuri tu japo changamoto hazikosekani. Nilikuwa nafanya kazi ofisi moja na rafiki yangu ambaye tulikutana kwenye interview na kuajiriwa pamoja.
Nilioa kabla yeye hajaoa, akawa amezoea sana kuja kwangu na shemeji nyingi hata akikuta msosi umeisha atapikiwa.
Miezi miwili iliyopita nilipata uhamisho kwenda mkoa mwingine nikamuacha mke wangu kwani nae ana biashara zake.
Juzi kaniambia rafiki yangu anamtongoza, anasema amejitahidi kuvumilia lakini ameshindwa usumbufu umezidi ameona bora aniambie.
Mpaka sasa rafiki yangu sijamwambia chochote na ananipiga simu tunaongea vizuri tu.
Nimfanye nini huyu rafiki? Nimwambie ukweli au nimtege nimkamate au nimwache nianze kumuepuka kimya kimya.
Wewe ni mwanaume? Umeoa? Basi kama umeoa inawezekana kabisa mkeo anagawa kama pipi na ndiyo maana unadhani hakuna walio waaminifu. Na pia ulikuwa kwenye mazingira ya wanawake eg dada zako, mama yako nk kufanya umalaya hivyo ukaaminishwa kuwa wanawake wakitongozwa ni lazima wakubali.technically huyo mkeo hajampenda rafiki yako angempenda asingekwambia
hao ndio wanawake
Chai hii.Kuna story sikumbuki niliipata wapi.
Jamaa kategesha mke amshike ugoni mshikaji. Kwa kukutana ni nyumba ya kulala wageni.
Muda ulifika, mke kaelekea huko huku jamaa akimfuatilia. Wako na mshikaji chumbani. Mume anagonga mlango. Mshikaji akamfungulia akiwa na cha moto mkononi. Mume kakalishwa kwenye kiti, mshikaji akagonga mzigo kisha akaaga akimwambia mume akome kufuatilia wanaume.
Chonde, mambo ya kutegesha unaweza ufe.
Amechoka kuvumilia kwani ni mzigo kubeba?Mkeo ameshakwambia kuwa amechoka kuvumilia hivyo ameona akwambie tu, halafu wewe mpaka sasa unashindwa kuchukua hatua mapema eti unakusanya ushahidi.
Wanawake wanapenda mwanaumme mwenye kichukua hatua.
Ukiendelea kusubiri utajikuta unaanziaha uzi mwingine humu.
Ulikuwepo? Ukisikia fitina ndiyo hiyo na kujiongezea dhambi za bure.
Very wrong advice! Kama hizi ndizo busara za wazee basi tumeliwa. Jamaa amesema kabisa kuwa amemsumbua sana. Kutongozw kwa kawaida kupo ila ukiona rafiki yako anayekuheshimu na anakuja mpaka kwenu halafu anamtongozo mkeo basi ujue huyo rafiki anakudharau na unastahili kumwonyesha kuwa yeye ni mjinga kuliko wewe.Vijana ndoa zina changamoto nyingi sana na kwa ushauri kwa wewe na wale wengine hata ambao bado hawajapata bado wenza wao wa kuwaoa ni hivi:-
Katika mambo muhimu ya kuwafundisha wake zenu hili nalo liwemo
Mwambie akitongozwa hata na kiumbe gani asikuambie bali ajitoe mwenyewe kwa kumjibu yeye anavyoona inafaa
Nasema hivi kwa sababu moja tu
Utagombana na wangapi iwapo kila anaemtongoza atakuambia?
Au hata kama hutagombana nao na kumezea je utakuwa na dukuduku na wangapi?
Je na kesho kaka yako akamuomba akakuambia utafanya nini?
Wanaume ni tamaa na sio upendo Kwa hiyo muwaonye wenzenu wapambane kivyao
Anapokuambia hajui kuwa anaingiza chuki na je hapo kwenye biashara zake unafikiri hatongozwi?
Na je wangapi wameomba hata namba?
Mkanye akome kabisa kukuambia ujinga huo
Nakuhakikishia bado kuna ndoa ambao wanandoa wake wanajiheshimu mno. Sikatai kuwa kwenye mambo ya uasherati yameongezeka, lakini nasisitiza bado kuna ndoa nyingi tu nzuri. NB: katika races zote, nadhani waafrika ndiyo wa kwanza kwa kufikiria ngono kila saa na kukosa uaminifu kwenye ndoa. Rate ya uzinifu kwenye ndoa siyo kubwa kwa jamii kama wahindi, wachina na hata wazungu.Ulimwengu wa SAsa ni mbaya Sana watu hawaheshimu ndoa, na hata awajui nini maana ya ndoa. Hili janga ni kumuomba Mungu tu azidi kukufunika pazia usiyone ya mwenza wako. Ndoa imekua kama ni kituo tu cha makutano. Na kwa hali ya sasa kujiandaa kisaikolojia ni muhimu Ili upatapo taarifa yeyeto mbaya isiathiri maisha yako, maana kuna wenza mshipa wa aibu ulishakata kitambo.
Usipanic hajamla, mwambie wife akutumie conv then mtumie alafu kaa kimyaUsiniongezee machungu nitamfanya mbaya sana
Kwamba tukipenda hatutoi taarifa!!technically huyo mkeo hajampenda rafiki yako angempenda asingekwambia
hao ndio wanawake