Rafiki yangu alimrusha mtu mwaka 2017/2018: Anamtafuta amwombe msamaha na kumlipa akikubali

Mimi nakumbuka wakati nipo chuo 2010s nilituma pesa kimakosa, ile pesa nilikuwa namtumia mwenye uhitaji tena kwa haraka.

Nilikosea namba, aliyepokea pesa alikuwa Mbeya aisee nilivurugwa sio poa. Wazo likanijia nimpigie nikiri yule jamaa ni miongoni mwa watu waungwana alirudisha ile pesa instantily.

Kuna watu wana utu nakumbuka sikujielezea sana jamaa akasema nakurudishia kaka.. jamaa uliyenirudishia ile pesa popote ulipo una maua yako na Mungu azidi kukubariki [emoji120]
 
Kuna siku saa kumi na moja asubh nasikia simu inaita nkapokea nko na usngz namba ngen inaniulza mshaanza safar nkamjbu apana nkakata cm nkaendelea kulala kumbe aliendelea kupga akatuma na hela 350000 ma msg za kutosha kua tupitie jeneza tuje nalo, naamka sa mbil ndio naona msg na miscal za kutosha kupga ipe simu haipatikan nikaanza kuumiza kichwa huu msba wa wap nije na jeneza wap inafka sa sita simu inapgwa tena jamaa anaongea kilugha kwa ukali hatar nkamwambia mm skuelew unasema nn ndio akaanza kuongea kiswahil kua wanasubr jeneza mazish ni saa nane mchana nkamwambia itakua mmekosea namba mm nko mkoa flan jamaa akanza kuomba nimrudishie iko kias kwa haraka kabisa nkasema sawa nakutumia nkaMrushia kias chao japo ilkua imekatwa mpawa 18000 nkaenda kuiongezea kwa wakala.. usile kisicho kua cha haki yako wazee
 
Mungu mkubwa,miujiza hii,but Mungu ndiye anaejua.[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Nazani bila kusema jeneza au msiba isingeludi hiyo Hela [emoji1]
 
iliwahi kunitokea hiyo mwaka 2011 meseji imeingia kucheki laki 7 imeingia na ukifikiria sikuwa na kitu mfukoni aisee nilikodi bodaboda kwenda kijiji cha jirani kuitoa pesa njiani akawa ananipigia nikamwambia nipo barabarani nikifika nakurudishia hela yako ondoa shaka nilipofika kwa wakala nikaichomoa yote
 
Mungu anakupima imani yako,

Wewe hauna huruma,


Omba msamaha,jutia
 
Mtaua watu kwa presha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…