Rafiki yangu ameachwa na Mwanamke aliyepanga kujitambulisha kwao na kumuoa


mbona mnatusemea sana
kwani nyie ni wanawake au nyie ni sisi au sisi ni ninyi au ninyi ni sisi

Habari ya kusahau ni kitu kingine kabisa tunawasahau kabisa hata hatuwakumbukii ukiona huyo mwanamke hajakusahau basii hajaamua tu ila ni rahisi sana kusahai na ndo maana tunaweza kusema tunawapenda leo kesho asubuhii tunasema tunapendaa mwingine

Kiufupii hatupendii kiivyo kama mnavozanii
Tunawaigizia tu [emoji3061][emoji3061][emoji3061]
 
Sema kwako wewe labda, na hakuna sehemu nimesema ni wote.

Sasa unakuta labda ulianzishiwa mapenzi kibandidu kiasi kwamba hata kukumbuka ni kutia maumivu tu, mwanamke unakuta first sex yake alijikuta tu katombw na mshikaji afu akapita kushoto baada ya hapo ikawa ni mwendo wa "hit and run" atakumbuka nini sasa ilhali ashakuwa sugu??

Wanaotukumbuka ni wale waliotupenda tukawapa mapenzi full afu baadae tkawaacha bila sababu yoyote ya msingi na bila ugomvi.

Ni wanawake wengi tu wapo na wanaume wengine ila majamaa zao wa zamani wakibeep tu wanachukua mzigo.

Wewe uliza wanaume wakueleze jinsi tunavyokutana na wanawake wasiojua kusahau, kama huyo wangu hawezi kunacha hata kama atakuwa na mwanaume mwingine ni swala la mimi kumtaka tu muda wowote.
 
Kuachana sio uadui, sio kila mwanamke unayeachana naye anakua adui yako

Hapana, ila siwezi kujua anachofanya na maisha yake hasa kama muda mrefu sana umeshapita, kwangu mimi ukishaona unajua kila kinachoendelea maishani mwake maana yake ni kwamba bado hauja move on, na mara nyingi utakuta yeye wala hajui chochote tena kuhusu wewe.
 
Sasa anaomba ushauri gani zaidi ya kukubali matokeo? Demu alijua jamaa haoi leo wala kesho akawa anakula pesa yake, sasa kaona yuko serious kaamua amwambie ukweli.
 
Sasa anaomba ushauri gani zaidi ya kukubali matokeo? Demu alijua jamaa haoi leo wala kesho akawa anakula pesa yake, sasa kaona yuko serious kaamua amwambie ukweli.
Demu kakataa kuingizwa kwenye mtego wa ndoa, kosa la jamaa ni ku-plan ndoa ilhali demu anaiwazia ndoa kwa mwanaume mwingine.

Ila bora hivyo kuliko angejichanganya kutaka kum- suprise demu na pete ya uchumbwa, afu akataliwe LIVE😂😂
 
Demu kakataa kuingizwa kwenye mtego wa ndoa, kosa la jamaa ni ku-plan ndoa ilhali demu anaiwazia ndoa kwa mwanaume mwingine.

Ila bora hivyo kuliko angejichanganya kutaka kum- suprise demu na pete ya uchumbwa, afu akataliwe LIVE😂😂
Hahahaha hatariii
 
Haya ndio makosa ya kuwa na mwanamke mmoja. Akikutingisha unatingishika haswa. Piga moyo konde kuna watoto wazuri wengi tu ila jitahidi uwe nao hata watatu ili usiwe na emotional dependance. Kama hapo ungekuwa unarelax na mwingine anapunguza mawazo kidogo. Pole sana.
 
Ashaambiwa hatakiwi,hapo ushauri kujikataa tu...hutakiwi,Kama hutakiwi huna haja ya kujiuliza sijui nimekosea wapi,sijui Nini...hapo unapita zako,take easy ndugu,Mambo mengine ni marahisi Sana huyo hujazaliwa nae Wala si mama yako kujipendekeza ya Nini,mungu atakujaalia utapata mwingine tu wako wengi sanaaa,Vita subra...
 
Jamaa anawakuza Sana wanawake Hawa,Yani dunia hii mwanamke anakuringia hivyo nae anawaza na kuogopa ya Nini...
 
Unakuwa na wanawake wanne, ila akikutema mkoja wapo unaempenda ukosa hata hamu ya kuwa na hao wengine. Mapenzi ni konyo.
 
"Ukiachwa achika" mwambie hvo rafk ako

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…