Rafiki yangu ameingia kwenye mahusiano na mwanamke wangu. Moyo wangu unauma sijui nifanye nini?

Kabla hujabalehe ulikuwa hujui mapenzi lkn furaha yako ilikuwa tele, uje uchanganywe na mapenzi ambayo umekutana nayo njiani ukubwani kweli! Acha utoto.
 
Jacobo achana na mapenzi bado hujakomaa vizuri. Muachie huyo rafiki yako huyo binti. Wewe soma kama huwezi Rudi nyumbani ukalime.
 
Wahenga walisema jembe halimtupi mkulima.Wewe endelea kungonoka uone kama course work na mitihani haimfanyi mwanafunzi kudisco!!
 
Dogo acha ujinga unaliaje mbele ya mwanamke,huo ni udhaifu mkubwa sana,hembu tafuta demu mkali kuliko yeye uendelee kuinjoy maisha
 
Wanawake wa chuo siyo wife material unaliwa hela unaachwa hapo. Dogo soma sana na kama una muda wa kutosha chuoni utumie kutafuta hela na uwe bahili sana pia ili usileft ukipata manzi usimuweke akilini chapa alafu tembea zako na usimuonee mwanamke huruma kama siyo mama yako au dada zako
 
Siajli kama ni kahawa au juice
Ukalia sana, pathetic fool
We umemtolea mahari au kujitambulisha kwao?!
Ndio maana ulichapiwa, uko insecure na hauna uanaume wa kutosha ndani yako
Wewe ni dhaifu sana
 
Huyo demu atafaulu na Jamaa pia, wewe utafeli na hata taka umuoe

Pole ila kaza but I acha kulialia soma ukaanze maisha.
 
Soma dogo acha uzezeta,mapenzi ya dhati utayakuta mbinguni siku ukifa.
 
Mimi mpaka namaliza chuo sikuwa na mpenzi soma kijana ngono ipo

Kwaza una pesa au ndio boom?
 
Kuna muda tatizo linapokuja kwenye maisha unabidi ubadili FIKRA zako kwa kulikalibisha kwa mikono miwili maana nyuma ya tatizo kuna shule nzuri yenye mafunzo usipoweka hisia utajifunza somo zuri sana ambalo litakujenga sana, shukuru kwa kila tatizo linalotokea maishani mwako tatizo huwa haliji kwako kwa bahati mbaya tambua hilo.
 
Wakati nina miaka 24 nilikuwa busy sana kutafuta pesa, na angalau kwa achievements zangu ilikuwa nakadiriwa sikosi miaka 30+. Ila ajabu wewe unalilia mtoto wa miaka 18. Asee Pole sana kijana.
 
Ww ni mpumbavu wa kiwango cha lami

Soma uko kijana mpumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…