Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jacobo achana na mapenzi bado hujakomaa vizuri. Muachie huyo rafiki yako huyo binti. Wewe soma kama huwezi Rudi nyumbani ukalime.Habari za muda huu,
Naitwa Jacob nina miaka 24, nipo chuo, naomba msaada wako kwa jambo nilopitia.
Kwa sasa nimeingia mwaka wa pili, mwishoni mwa mwaka jana nilipata mpenzi ambae ni first year, anasomea diploma ya pharmacy anaitwa Kyrie (18 years). Nilimtongoza akanikubalia basi tukawa tunadate, kila akiwa na mahitaji nilikuwa namsaidia, nikishindwa nilikuwa namwambia
Alikuwa anakuja mpaka ninapokaa, japo kwa muda huo hayakuwa makazi permanent palikiwa ni kwa kijana mmoja anayesoma diploma mwaka wa 2, nilimuomba nikae kwa muda huku nikisubiria nipate pesa nihamie kwangu maana nilikuwa nshalipia chumba ilibaki kununia vitu vya ndani
Sasa kuhusu mahusiano yangu na bibie Kyrie yalianza kuingia doa kama unavyojua nilikuwa sometimes naenda mtaani kufanya kazi nipate chochote kitu kiasi kwamba Kyrie akawa ananiona nipo busy sana, lakini sikuwa namwambia juu ya kazi ninazofanya, kumbe nisilolijua akaanza mahusiano ya chini na huyo jamaa ninayekaa nae mpaka kuna muda wakawa wanaonana usiku
Kwa jamaa niliondoka maana alinambia nimpishe, ikabidi niende kwa rafkia yangu mwingine, taarifa nikawa nazipata nikienda kumuuliza anajibu nina uhakika gani, dah nilifanya hivyo kama mara 3 lakini bado akawa anasisitiza yule rafiki yangu hivyo asingeweza fanya hivyo. Mapenzi kwangu yakapungua madai kwamba mimi nilimbadilisha mwishowe hata nilipohamia kwangu hakutaka kuja, akasema kwamba nikiwa na shida zangu ndo namtafuta
Sasa baada ya kipindi kupita ikabidi nimuulize rafiki yake wa karibu ambae alikuwa amepanga pale tulipokuwa tunakaa na jamaa wa diploma, ambayo ilikuwa usiku wa kuelekea leo yule dada akanambia walikuwa wanatoka na huyo jamaa ila kwa sasa hawapo karibu na alisema ashawahi lala kwake 😢. Imeniuma sana maana nilimuamini lakini hakunithamini ikabidi niende moja kwa moja hostel kuongea nae ili ajue kwamba nimetambua, huwezi amini alishindwa nijibu chochote, niliongea sana hadi nikalia, nikajua nilichoambiwa ni kweli mwishoni aliamua kukiri
Moyo wangu unauma sijui nfanye nini naa huyo jamaa alikuwa anadaiwa kauza vitu vyake na kaachia chumba jana akaomba kuja kulala kwangu tukapika na kula kisha tukalala asubuhi nikamuachia funguo, sasa leo baada ya kujua nilokuwa nasikia ni kweli nilivyotoka hostel kuongea na huyo dada nimeshindwa kwenda kwangu nimemuacha alale ikifika asubuhi nitajua cha kufanya lakini moyo unauma sijui nitavuka vipi na hili
Naomba nisaidie, nimekosa hata usingizi nimeshindwa kabisa
Wahenga walisema jembe halimtupi mkulima.Wewe endelea kungonoka uone kama course work na mitihani haimfanyi mwanafunzi kudisco!!Habari za muda huu,

Wanawake wa chuo siyo wife material unaliwa hela unaachwa hapo. Dogo soma sana na kama una muda wa kutosha chuoni utumie kutafuta hela na uwe bahili sana pia ili usileft ukipata manzi usimuweke akilini chapa alafu tembea zako na usimuonee mwanamke huruma kama siyo mama yako au dada zakoHabari za muda huu,
Naitwa Jacob nina miaka 24, nipo chuo, naomba msaada wako kwa jambo nilopitia.
Kwa sasa nimeingia mwaka wa pili, mwishoni mwa mwaka jana nilipata mpenzi ambae ni first year, anasomea diploma ya pharmacy anaitwa Kyrie (18 years). Nilimtongoza akanikubalia basi tukawa tunadate, kila akiwa na mahitaji nilikuwa namsaidia, nikishindwa nilikuwa namwambia
Alikuwa anakuja mpaka ninapokaa, japo kwa muda huo hayakuwa makazi permanent palikiwa ni kwa kijana mmoja anayesoma diploma mwaka wa 2, nilimuomba nikae kwa muda huku nikisubiria nipate pesa nihamie kwangu maana nilikuwa nshalipia chumba ilibaki kununia vitu vya ndani
Sasa kuhusu mahusiano yangu na bibie Kyrie yalianza kuingia doa kama unavyojua nilikuwa sometimes naenda mtaani kufanya kazi nipate chochote kitu kiasi kwamba Kyrie akawa ananiona nipo busy sana, lakini sikuwa namwambia juu ya kazi ninazofanya, kumbe nisilolijua akaanza mahusiano ya chini na huyo jamaa ninayekaa nae mpaka kuna muda wakawa wanaonana usiku
Kwa jamaa niliondoka maana alinambia nimpishe, ikabidi niende kwa rafkia yangu mwingine, taarifa nikawa nazipata nikienda kumuuliza anajibu nina uhakika gani, dah nilifanya hivyo kama mara 3 lakini bado akawa anasisitiza yule rafiki yangu hivyo asingeweza fanya hivyo. Mapenzi kwangu yakapungua madai kwamba mimi nilimbadilisha mwishowe hata nilipohamia kwangu hakutaka kuja, akasema kwamba nikiwa na shida zangu ndo namtafuta
Sasa baada ya kipindi kupita ikabidi nimuulize rafiki yake wa karibu ambae alikuwa amepanga pale tulipokuwa tunakaa na jamaa wa diploma, ambayo ilikuwa usiku wa kuelekea leo yule dada akanambia walikuwa wanatoka na huyo jamaa ila kwa sasa hawapo karibu na alisema ashawahi lala kwake 😢. Imeniuma sana maana nilimuamini lakini hakunithamini ikabidi niende moja kwa moja hostel kuongea nae ili ajue kwamba nimetambua, huwezi amini alishindwa nijibu chochote, niliongea sana hadi nikalia, nikajua nilichoambiwa ni kweli mwishoni aliamua kukiri
Moyo wangu unauma sijui nfanye nini naa huyo jamaa alikuwa anadaiwa kauza vitu vyake na kaachia chumba jana akaomba kuja kulala kwangu tukapika na kula kisha tukalala asubuhi nikamuachia funguo, sasa leo baada ya kujua nilokuwa nasikia ni kweli nilivyotoka hostel kuongea na huyo dada nimeshindwa kwenda kwangu nimemuacha alale ikifika asubuhi nitajua cha kufanya lakini moyo unauma sijui nitavuka vipi na hili
Naomba nisaidie, nimekosa hata usingizi nimeshindwa kabisa
Soma dogo acha uzezeta,mapenzi ya dhati utayakuta mbinguni siku ukifa.Habari za muda huu,

Mkuu, huyu jamaa kanifurahisha na kunihuzunisha kwa pamoja.Mimi mpaka namaliza chuo sikuwa na mpenzi soma kijana ngono ipo
Kwaza una pesa au ndio boom?
Saf tu mkuuMkuu, huyu jamaa kanifurahisha na kunihuzunisha kwa pamoja.
Vipi lakini za masiku?