Rafiki yangu ameingia kwenye mahusiano na mwanamke wangu. Moyo wangu unauma sijui nifanye nini?

Wewe dogo papai nini???

Bora wamekugongea unauboya na unaonyesha umewajulia wanawake chuoni😄😄😄.Huyo unayemuita demu wako ukute hujawahi hata kumla😁😁😁ujinga ujinga tu!!!

Mshukuru huyo rafiki yako kwa kukugongea huyo malaya wako, amekusaidia utambue DUNIA UWANJA WA FUJO, HAKUNA WAKUKUONEA HURUMA HUMU DUNIANI pambana!!!

Kazana na masomo ukimaliza jitafute ujipate. Ukishajipata anza KUWACHAPA unavyoweza kama mmakonde ni humu tu!!!

Yaani jamaa kakugongea na bado ulivyomnyonge umemkaribisha geto. dogo angalia asije kukugonga na wewe.

Tafuta rafiki ya demu wako huyo umgonge ukimaliza tafuta demu wa rafiki yako naye mgonge, haibadilishi maana ila inaleta HESHIMA🤝

Usijerudia ujinga wa kuwa na demu mmoja,kama mapenzi huyawezi achana nayo mapenzi ni mzaha kama mizaha mingine.Acha kuyapa umuhimu.Chezeaneni weee ila usisahau kilichokupelea.

Dogo hata geto la maana huna, sasa hata huyo malaya wako unamshawishije abaki na wewe.Bwanamdogo uwe unahudhuria VIKAO VYA WANAUME,acha uvulana.

Tafuta hela!!!Tafuta hela!!! utaendelea kuchapiwa kijana,pambana na masomo kama mapenzi huyawezi usije kukosa vyote.

Na usomi wako hujui maana ya RAFIKI.Haya ingia google au Chat GPT wakusaidie wewe kiazi.
 
Wazazi wako wanajua upuuzi unaofanya huko chuo??
Na hii ndio shida ya kuchelewa kuanza shule ..
Miaka 24 ilitakiwa uwe na kazi yako kabisa ila we ndo upo 2nd yr.

Pole dogo, ndo mapenzi hayo.
 
Hasara sana aisee eti ndio kwanza vina miaka 18 na vyenyewe vinaanza kuleta skendo za mapenzi.
Hawa ndio wale wakifika mwaka wa mwisho wa masomo wanajirekodi video na kusambazwa mitandaoni.
Ni huzuni
 
Nyinyi nyote ni Vijana wa kiume , na huyo ni Demu tu wa chuo, vinakuaga na Tamaa.

Kama jamaa alikufanyia Figisu ukahama, Nawewe muhamishe kwako.

Endelea kuchapa demu...

Wakati tupo chuo mwaka wa pili, tulipanga Nyumba Moja watu wanne, Kila MTU na Chumba chake.

Sasa Jamaa yangu alikua na demu wake ,akajaga kupata demu mpya, wa zaman akampiga chini.

Kwenye mastori akawa anampooonda sana yule demu wa zaman, anamponda kweli kweli.

Yule Dem wa zaman, akawa anakuja Kwa jamaa, jamaa anamfukuza .

Siku Moja kwenye. Mastori Tena Jamaa akasema, Yule demu kama Kuna Mmoja wenu anataka kumtia amtie tuu .

Siku Moja demu wa zaman akaja ,akanikuta nafua zangu, na jamaa wote hawapo, Demu akawa analia Lia hapo, nikamwambia Ingia ndan upikepike tule .

Kukatisha Stori, alipika, Akala, nikamshindilia Mashine 4 za nguvu non stop.

Oaaa demu K ilikua Lojolojo, utelezi utadhan kamwagia chuzi la mrendaaaa.

Demu alifurahia sanaaa, alitaka kulala ,nikamwambia jamaa wanarudi ,basi akasepa zake .

Nikawa najichapia demu kimya kimya.

Sasa kwenye mastori Tena na Sanaa, Nilijikuta nmekua Muwazi kama LISSU, Oaaa Ex wako mie namtumia siku hizi.

Kukatisha Stori, Jamaa mpaka Leo hatuna naye ukaribu wa.mawasiliano.kama ilivyokua kabla ya tukio.
Nimekubali hapo ulipompa LISSU heshima yake😄😄😄😄😄🙌🙌

Kwahiyo tumekubaliana kuwa SI UNIT ya ukweli ni LISSU.
 
Sema Nini Kijana? Mazingira hayo uliyatengeneza mwenyew, basi Hilo liwe fundisho hata pale utakapo kua serious na mahusianao hakikisha marafiki zako wasiwe karibu na nyie kwa maana ya eneo. Piaa na wewe usije thubutu tembea na mpenzi au mke wa rafiki yako maan na yeye atapitia maumivu pamoja na mawazo Kama unayo waza wewe.
 
Habari za muda huu,

Naitwa Jacob nina miaka 24, nipo chuo, naomba msaada wako kwa jambo nilopitia.

Kwa sasa nimeingia mwaka wa pili, mwishoni mwa mwaka jana nilipata mpenzi ambae ni first year, anasomea diploma ya pharmacy anaitwa Kyrie (18 years). Nilimtongoza akanikubalia basi tukawa tunadate, kila akiwa na mahitaji nilikuwa namsaidia, nikishindwa nilikuwa namwambia

Alikuwa anakuja mpaka ninapokaa, japo kwa muda huo hayakuwa makazi permanent palikiwa ni kwa kijana mmoja anayesoma diploma mwaka wa 2, nilimuomba nikae kwa muda huku nikisubiria nipate pesa nihamie kwangu maana nilikuwa nshalipia chumba ilibaki kununia vitu vya ndani

Sasa kuhusu mahusiano yangu na bibie Kyrie yalianza kuingia doa kama unavyojua nilikuwa sometimes naenda mtaani kufanya kazi nipate chochote kitu kiasi kwamba Kyrie akawa ananiona nipo busy sana, lakini sikuwa namwambia juu ya kazi ninazofanya, kumbe nisilolijua akaanza mahusiano ya chini na huyo jamaa ninayekaa nae mpaka kuna muda wakawa wanaonana usiku

Kwa jamaa niliondoka maana alinambia nimpishe, ikabidi niende kwa rafkia yangu mwingine, taarifa nikawa nazipata nikienda kumuuliza anajibu nina uhakika gani, dah nilifanya hivyo kama mara 3 lakini bado akawa anasisitiza yule rafiki yangu hivyo asingeweza fanya hivyo. Mapenzi kwangu yakapungua madai kwamba mimi nilimbadilisha mwishowe hata nilipohamia kwangu hakutaka kuja, akasema kwamba nikiwa na shida zangu ndo namtafuta

Sasa baada ya kipindi kupita ikabidi nimuulize rafiki yake wa karibu ambae alikuwa amepanga pale tulipokuwa tunakaa na jamaa wa diploma, ambayo ilikuwa usiku wa kuelekea leo yule dada akanambia walikuwa wanatoka na huyo jamaa ila kwa sasa hawapo karibu na alisema ashawahi lala kwake 😢. Imeniuma sana maana nilimuamini lakini hakunithamini ikabidi niende moja kwa moja hostel kuongea nae ili ajue kwamba nimetambua, huwezi amini alishindwa nijibu chochote, niliongea sana hadi nikalia, nikajua nilichoambiwa ni kweli mwishoni aliamua kukiri

Moyo wangu unauma sijui nfanye nini naa huyo jamaa alikuwa anadaiwa kauza vitu vyake na kaachia chumba jana akaomba kuja kulala kwangu tukapika na kula kisha tukalala asubuhi nikamuachia funguo, sasa leo baada ya kujua nilokuwa nasikia ni kweli nilivyotoka hostel kuongea na huyo dada nimeshindwa kwenda kwangu nimemuacha alale ikifika asubuhi nitajua cha kufanya lakini moyo unauma sijui nitavuka vipi na hili

Naomba nisaidie, nimekosa hata usingizi nimeshindwa kabisa
Urafiki wenu ndiyo jambo muhimu
 
Huyo siyo mwanamke wako, huyo ni malaya bhana.

Halafu mbona mnahangaishwa sana na mapenzi ya mwendo kasi, hamuachi?

Kilio kama hiki kinadhalilisha sana kundi zima la vijana wa rika lako kwa kuhalalisha mambo haramu na kuonesha kuwa ni halali kuyafanya katikati ya jamii iliyostaarabika!
 
Piga chini demu, fukuza huyo msela, soma sana acha kulia Lia mbele ya mwanamke
 
Kwan Ako ka dadadaa ni mkeo wa ndoa? Au kunataratibu zozote ulipeleka kwao ? Kama hakuna mdogo wangu soma zingatia asomo yako huku mtaan wamejaaaa tele wazur mnoo soma acha upuuz upuuz
Asome tu na upwiru je?
 
Kijana zingatia masomo kwanza achana na mapenzi, huku mtaani jua linawaka mpaka kwenye soksi. Hakuna mapenzi hapo mnapotezeana muda.
 
Habari za muda huu,

Naitwa Jacob nina miaka 24, nipo chuo, naomba msaada wako kwa jambo nilopitia.

Kwa sasa nimeingia mwaka wa pili, mwishoni mwa mwaka jana nilipata mpenzi ambae ni first year, anasomea diploma ya pharmacy anaitwa Kyrie (18 years). Nilimtongoza akanikubalia basi tukawa tunadate, kila akiwa na mahitaji nilikuwa namsaidia, nikishindwa nilikuwa namwambia

Alikuwa anakuja mpaka ninapokaa, japo kwa muda huo hayakuwa makazi permanent palikiwa ni kwa kijana mmoja anayesoma diploma mwaka wa 2, nilimuomba nikae kwa muda huku nikisubiria nipate pesa nihamie kwangu maana nilikuwa nshalipia chumba ilibaki kununia vitu vya ndani

Sasa kuhusu mahusiano yangu na bibie Kyrie yalianza kuingia doa kama unavyojua nilikuwa sometimes naenda mtaani kufanya kazi nipate chochote kitu kiasi kwamba Kyrie akawa ananiona nipo busy sana, lakini sikuwa namwambia juu ya kazi ninazofanya, kumbe nisilolijua akaanza mahusiano ya chini na huyo jamaa ninayekaa nae mpaka kuna muda wakawa wanaonana usiku

Kwa jamaa niliondoka maana alinambia nimpishe, ikabidi niende kwa rafkia yangu mwingine, taarifa nikawa nazipata nikienda kumuuliza anajibu nina uhakika gani, dah nilifanya hivyo kama mara 3 lakini bado akawa anasisitiza yule rafiki yangu hivyo asingeweza fanya hivyo. Mapenzi kwangu yakapungua madai kwamba mimi nilimbadilisha mwishowe hata nilipohamia kwangu hakutaka kuja, akasema kwamba nikiwa na shida zangu ndo namtafuta

Sasa baada ya kipindi kupita ikabidi nimuulize rafiki yake wa karibu ambae alikuwa amepanga pale tulipokuwa tunakaa na jamaa wa diploma, ambayo ilikuwa usiku wa kuelekea leo yule dada akanambia walikuwa wanatoka na huyo jamaa ila kwa sasa hawapo karibu na alisema ashawahi lala kwake 😢. Imeniuma sana maana nilimuamini lakini hakunithamini ikabidi niende moja kwa moja hostel kuongea nae ili ajue kwamba nimetambua, huwezi amini alishindwa nijibu chochote, niliongea sana hadi nikalia, nikajua nilichoambiwa ni kweli mwishoni aliamua kukiri

Moyo wangu unauma sijui nfanye nini naa huyo jamaa alikuwa anadaiwa kauza vitu vyake na kaachia chumba jana akaomba kuja kulala kwangu tukapika na kula kisha tukalala asubuhi nikamuachia funguo, sasa leo baada ya kujua nilokuwa nasikia ni kweli nilivyotoka hostel kuongea na huyo dada nimeshindwa kwenda kwangu nimemuacha alale ikifika asubuhi nitajua cha kufanya lakini moyo unauma sijui nitavuka vipi na hili

Naomba nisaidie, nimekosa hata usingizi nimeshindwa kabisa
Dogo acha ujinga wako na uwe na akili

Yan unamaind jamaa ambaye amekufunulia uhalisia halis wa Dem wako ambaye ni malaya kabisa

Mshukur jamaa maisha yaendelee kama anaendelea na huyo Dem poa tu mana nae atakuja achwa mana huyo Dem ni malaya kama malaya wengine tuuu.

Yan mnataka pigana kisa Dem wa chuo

Bure kabisa yan vijana wanapoteza kwa kas sana kizaz hiki

Eti unalia kisa mapenz na mtu mliyekutana nae chuo

Punguza ukenge na tumia akili mana ndo sifa ya mwanaume na sio unakua kama mwanamke unaendeshwa na hisia hisia
 
Tafuta rafiki wa karibu wa huyo Kylie, piga kende. Huyo mwamba aliekupa hifadhi ukijua demu wake piga mbupu.

Ila siku nyingine usipeleke demu wako sehemu uliyohifadhiwa.
 
Ila wazazi tuombee watoto wetu sana,. Imagine bint yako chuo ndio anapigwa pasi namna hiyo kama mpira
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Binti anaweza kumaliza high school msafi kabisa halafu akaenda kupata degree, masters au Phd ya umalaya huko University.
Yaani zama hizi binti wa chuo asipokua Malaya anaonekana sio msomi kabisa.
Halafu hili janga limekua ni world wide ila Afrika nahisi ndio tumetia fora.
 
Habari za muda huu,

Naitwa Jacob nina miaka 24, nipo chuo, naomba msaada wako kwa jambo nilopitia.

Kwa sasa nimeingia mwaka wa pili, mwishoni mwa mwaka jana nilipata mpenzi ambae ni first year, anasomea diploma ya pharmacy anaitwa Kyrie (18 years). Nilimtongoza akanikubalia basi tukawa tunadate, kila akiwa na mahitaji nilikuwa namsaidia, nikishindwa nilikuwa namwambia

Alikuwa anakuja mpaka ninapokaa, japo kwa muda huo hayakuwa makazi permanent palikiwa ni kwa kijana mmoja anayesoma diploma mwaka wa 2, nilimuomba nikae kwa muda huku nikisubiria nipate pesa nihamie kwangu maana nilikuwa nshalipia chumba ilibaki kununia vitu vya ndani

Sasa kuhusu mahusiano yangu na bibie Kyrie yalianza kuingia doa kama unavyojua nilikuwa sometimes naenda mtaani kufanya kazi nipate chochote kitu kiasi kwamba Kyrie akawa ananiona nipo busy sana, lakini sikuwa namwambia juu ya kazi ninazofanya, kumbe nisilolijua akaanza mahusiano ya chini na huyo jamaa ninayekaa nae mpaka kuna muda wakawa wanaonana usiku

Kwa jamaa niliondoka maana alinambia nimpishe, ikabidi niende kwa rafkia yangu mwingine, taarifa nikawa nazipata nikienda kumuuliza anajibu nina uhakika gani, dah nilifanya hivyo kama mara 3 lakini bado akawa anasisitiza yule rafiki yangu hivyo asingeweza fanya hivyo. Mapenzi kwangu yakapungua madai kwamba mimi nilimbadilisha mwishowe hata nilipohamia kwangu hakutaka kuja, akasema kwamba nikiwa na shida zangu ndo namtafuta

Sasa baada ya kipindi kupita ikabidi nimuulize rafiki yake wa karibu ambae alikuwa amepanga pale tulipokuwa tunakaa na jamaa wa diploma, ambayo ilikuwa usiku wa kuelekea leo yule dada akanambia walikuwa wanatoka na huyo jamaa ila kwa sasa hawapo karibu na alisema ashawahi lala kwake 😢. Imeniuma sana maana nilimuamini lakini hakunithamini ikabidi niende moja kwa moja hostel kuongea nae ili ajue kwamba nimetambua, huwezi amini alishindwa nijibu chochote, niliongea sana hadi nikalia, nikajua nilichoambiwa ni kweli mwishoni aliamua kukiri

Moyo wangu unauma sijui nfanye nini naa huyo jamaa alikuwa anadaiwa kauza vitu vyake na kaachia chumba jana akaomba kuja kulala kwangu tukapika na kula kisha tukalala asubuhi nikamuachia funguo, sasa leo baada ya kujua nilokuwa nasikia ni kweli nilivyotoka hostel kuongea na huyo dada nimeshindwa kwenda kwangu nimemuacha alale ikifika asubuhi nitajua cha kufanya lakini moyo unauma sijui nitavuka vipi na hili

Naomba nisaidie, nimekosa hata usingizi nimeshindwa kabisa
Punguani mmoja wee, wazazi wanajua unazingatia kilichokupeleka kumbe uko jf unawaza ngono.
 
Back
Top Bottom