Rafiki yangu babake ni shekhe wa mkoa ameajiriwa taasisi kubwa serikalini bila interview

Hao mapadri na mashekhe waone hivyo hivyo ,swali/sali pita hivi wengi wao wana pande mbili hao
 
hujakosea sahv ni mwendo wa vimemo.
 
Huo ni uongo.. Lazima upite utaratibu wa ajira portal labda ukishapenya kwenda oral hapo kama connection inaweza kufanya kazi
 
Mhasibu double entry imetumika hapo, ingepigwa interview pia angepita kwa alama nyingi.
 
Wewe baba yako ninani tofauti na kuwa baba yako? Em tafta hela wanao waje kupata kazi bila interview
 
 

Attachments

  • IMG-20250208-WA0018.jpg
    92.1 KB · Views: 1
Aseehh...wewe si rafiki wewe una roho mbaya mnoo...
 
acha kubisha usicho fahamu, mbona wapo wengi wanapitia utumishi hata bila usahili

Ni kweli mkuu connection zipo sana. Wenye connection hata ajira portal hawajawahi kuijua na wapo kwenye Taasisi tofauti.
 
Ni kweli mkuu connection zipo sana. Wenye connection hata ajira portal hawajawahi kuijua na wapo kwenye Taasisi tofauti.
huwa nawashangaa humu kuisifia utumishi wakati imejaza watu wengi bila usahili

mfano mzuri majuzi (mwezi wa kwanza) wameita watendaji wa kata na vijiji ambao hata hawajawahi fanya usahili

hatuwezi sema sana tukawaharibia ila utumishi wasanii kama wasanii wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…