Rafiki yangu Hezekiah Wenje Bunge la 11 yaani 2015-2020 Lissu ubunge wake ulifutwa na alikuwa hospitali angechangiaje?

Tujiuluze, bunge la kumi na Moja (11) lilikuwa mwaka 2015-2020 Lissu alikuwa Bungeni?

Nani asiyejua kipindi Mh LISSU alipigwa risasi na baadae Ubunge wake kutenguliwa atawezaje kuchangia wakati hakuwa na Mishahara?

Ila UKUMBUKE PIA Lissu alipigwa risasi 2017. Je hiyo miaka miwili ya kwanza alichangia .....!!?
 
Huyu wenje hela za Abdul zimempofusha kabisa
 
Hiyo 250m imetoka kwa Abdul lakini baadae kama wakipata ruzuku atakuja kuidai,wajinga ndiyo waliwao.
 
Mbowe ni tapeli na anafanya hivyo ili aje adai alitoa sh bilioni moja. Kwanza anaonyesha jinsi Mbowe alivyo kiazi kwa kuongoza chama kwa miaka 20 na kushindwa kutafuta sources za fedha. Akifa leo ni nani atachangia? Na anatoa fedha zake mfukoni ili iweje?
 
Huyu jamaa ukimsikiliza anaongea makamasi tupu
Halafu akija Lissu kunyoosha maelezo watasema anatoa siri za chama hadharani. Ndiyo maana hizi chokochoko zao zimetoa code kumbe Mzee Kibao alitekwa na kuuliwa kikatili kwa vile alikuwa na ushahidi wa jinsi Abdul alivyokuwa anamwaga hela kwa viongozi waandamizi wa Chadema, ngoja waendelee tu kumchokonoa pweza alikojificha.
 
Mimi mwenyewe nashangaa yaani unatoa pesa binafsi kwenye taasisi ambayo siyo yako? Hapo pana walakini mkubwa sana.
 
TAL amesema mara kadhaa,anadai pesa zake Kwa Mama Abdul aweze kutimiza majukumu yake. Siku akilipwa atalipa madeni yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…