KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
Hapo awali alikuwa akisifia sana kwamba anajua mahaba na anakata mikato yote mpaka za samaki akipiga reverse!! Sasa nature imefanya yake, mshangazi wa watu kanasa mimba na kagoma kuitoa!.. kakomalia kuzaa na kwa vile jamaa hana mtoto bado lishangazi limemwambia atulie walee mtoto!.
Mchizi stress zimemjaa kwa kuzaa nalishangazi,isitoshe jamaa anaheshimika mtaani kwa upole wake!,kinachomtesa zaidi tetesi mtaani zishasambaa kwamba jamaa anakula mshangazi!.
Ile furaha ya jamaa imekuwa kilio zile stori za mauno zimekufa bado maziko tu..
Kibaya katishwa akikimbia mama kijacho akishazaa anaenda kwao na jamaa kukabidhi mali ya familia..😂
Binafsi nimemwambia alee familia yake hakuna namna..🤣