Rafiki yangu kampa mimba mwanamke mtu mzima

Mwanaume sifa pesa

Mwanamke uzuri mbona iko wazi hiyo
Umenena vyema ila kuna kitu kimoja umekiruka, hakuna mwanamke mbaya ndani ya pesa,,,pesa inatengeneza mambo hadi macho yanabaki wazi badala ya mdomo.

Just trust me
 
Nasema ili siku zote na ntasema. Tungekua na uwazi baina ya mahusiano yetu. Kila mmoja akasema mimi nataka au napenda hiki au naona tuishi namna hii tusingekua na makwaruzano.

Kukosa uwazi ndio baina yao ndio kunapelekea mtu kubeba hiyo. Kama wangekua wazi sisi mahusiano yetu ni outing, kutomban* na si kupeana watoto. Mambo yangekua rahisi
Huu ndio utaratib wang....ku set terms and conditions kama mwanamke hakubal bas safar inakuwa imeisha....
 
Hapo awali alikuwa akisifia sana kwamba anajua mahaba na anakata mikato yote mpaka za samaki akipiga reverse!! Sasa nature imefanya yake, mshangazi wa watu kanasa mimba na kagoma kuitoa!.. kakomalia kuzaa na kwa vile jamaa hana mtoto bado lishangazi limemwambia atulie walee mtoto!.

Mchizi stress zimemjaa kwa kuzaa nalishangazi,isitoshe jamaa anaheshimika mtaani kwa upole wake!,kinachomtesa zaidi tetesi mtaani zishasambaa kwamba jamaa anakula mshangazi!.

Ile furaha ya jamaa imekuwa kilio zile stori za mauno zimekufa bado maziko tu..
Kibaya katishwa akikimbia mama kijacho akishazaa anaenda kwao na jamaa kukabidhi mali ya familia..😂

Binafsi nimemwambia alee familia yake hakuna namna..🤣

Ulitaka mimba apewe denti au?
 
Mshahara wa dhambi ni mauti. Ukishafanya mtihani kwann ni lazima upokee cheti
 
Hebu acheni uongo, mtu mzima anapata ujauzito, huyo ni kijana mwenzie tu
 
Hapo awali alikuwa akisifia sana kwamba anajua mahaba na anakata mikato yote mpaka za samaki akipiga reverse!! Sasa nature imefanya yake, mshangazi wa watu kanasa mimba na kagoma kuitoa!.. kakomalia kuzaa na kwa vile jamaa hana mtoto bado lishangazi limemwambia atulie walee mtoto!.

Mchizi stress zimemjaa kwa kuzaa nalishangazi,isitoshe jamaa anaheshimika mtaani kwa upole wake!,kinachomtesa zaidi tetesi mtaani zishasambaa kwamba jamaa anakula mshangazi!.

Ile furaha ya jamaa imekuwa kilio zile stori za mauno zimekufa bado maziko tu..
Kibaya katishwa akikimbia mama kijacho akishazaa anaenda kwao na jamaa kukabidhi mali ya familia..😂

Binafsi nimemwambia alee familia yake hakuna namna..🤣

Hili lishawaikunipata, wee tena staff mwenanguu weee, omba yasikukute, naye yu lee haya mauno kama panga boy huchokiii uno tuu,

Ila wangu alikubali kuitoaa, ikawa imeisha ivo anzia hapo sikutaka mazoea tena zaidi ya salamuuu
 
Hapo awali alikuwa akisifia sana kwamba anajua mahaba na anakata mikato yote mpaka za samaki akipiga reverse!! Sasa nature imefanya yake, mshangazi wa watu kanasa mimba na kagoma kuitoa!.. kakomalia kuzaa na kwa vile jamaa hana mtoto bado lishangazi limemwambia atulie walee mtoto!.

Mchizi stress zimemjaa kwa kuzaa nalishangazi,isitoshe jamaa anaheshimika mtaani kwa upole wake!,kinachomtesa zaidi tetesi mtaani zishasambaa kwamba jamaa anakula mshangazi!.

Ile furaha ya jamaa imekuwa kilio zile stori za mauno zimekufa bado maziko tu..
Kibaya katishwa akikimbia mama kijacho akishazaa anaenda kwao na jamaa kukabidhi mali ya familia..😂

Binafsi nimemwambia alee familia yake hakuna namna..🤣

Sisi hatuna Cha kumshauri jamaa zaidi ya kumwambia apambane tu na Hali Yale,ajiandae tu kulea mtoto Hana jinsi.

Jamaa alivyokuwa anakatikiwaiuno ya kufa mtu na lishangazi lake sisi hatukuwepo Wala kuhusishwa

Jamaa alivyokuwa anasikia Raha ya kukojolea ndani kea lishangazi lake sisi hatukuwepo

Nakazia Tena; jamaa apambane tu na Hali Yale mwenyewe.
 
umenena vyema ila kuna kitu kimoja umekiruka, hakuna mwanamke mbaya ndani ya pesa,,,pesa inatengeneza mambo hadi macho yanabaki wazi badala ya mdomo.

just trust me
Aha wapi [emoji16][emoji16][emoji1787] kama mbaya mbaya tu hujawahi kukutana nao undefined shape tumbo limeungana na kiuno masanamu ya michellini sura za baba zao ,vitambi ,chura hakuna yaani hata kusema ni mchumba wako kwa wenzio ni aibu pamoja na kupendeza kote

Regardless of money na matunzo kama mbaya mbaya tu .. vijijini kuna vigori wazuri na hawapati hayo matunzo dada wa mjini wanayopata unakuta wanawazidi
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 basi sawa, i close the case.
 
Nimekumbuka nina lishangazi langu la miaka 39 inabidi niwe makini kabla halijanikuta Jambo maana Kila nikilipanda nakojoa ndani na linapenda hatari plus michezi mingine hatarishi Kama kuchezewa 0178....
 
Mwambie dogo masterling tunapigaga 80/20 percent kubwa mbele unamaliza upande wa pili...mimba angeitoa wapi?
 
Aisee!!
Yan kuna watu toka wanazaliwa wanaishi kwa kuwafurahisha watu wengne tu. Yan unaona aibu mara hauna raha kisa mshangazi ana ujauzito wako!? Mwambie hatima ya maisha yake ipo mikononi mwake mtazamo atakao ujenga kichwan mwake ndio utakao mtambulisha mbele ya jamii, watu huwa hawakosi chakusema ata ukizaa na binti wa rika lako bado watasema tu. Mwambie ajikubari na aioneshe hio jamii anayoiogopa kuwa anajivunia kuingia kwenye ulimwengu wa ubaba baada ya mda utaona hao hao anaowaofia kumcheka wataanza kumuonea wivu tena
 
Hapo awali alikuwa akisifia sana kwamba anajua mahaba na anakata mikato yote mpaka za samaki akipiga reverse!! Sasa nature imefanya yake, mshangazi wa watu kanasa mimba na kagoma kuitoa!.. kakomalia kuzaa na kwa vile jamaa hana mtoto bado lishangazi limemwambia atulie walee mtoto!.

Mchizi stress zimemjaa kwa kuzaa nalishangazi,isitoshe jamaa anaheshimika mtaani kwa upole wake!,kinachomtesa zaidi tetesi mtaani zishasambaa kwamba jamaa anakula mshangazi!.

Ile furaha ya jamaa imekuwa kilio zile stori za mauno zimekufa bado maziko tu..
Kibaya katishwa akikimbia mama kijacho akishazaa anaenda kwao na jamaa kukabidhi mali ya familia..😂

Binafsi nimemwambia alee familia yake hakuna namna..🤣

Jamaa ameshikwa pabaya, akubali tu mavuno ya alichokipanda.
 
Back
Top Bottom