Rafiki yangu kampa mimba mwanamke mtu mzima

Nipo hapa kujua yafuatayo kabla sijashauri chochote.

👉🏾Status ya uchumi wa hiyo mshangazi.

👉🏾Huyo jamaa yako (wewe) bado anaishi kwao au anajitegemea mbali na nyumbani kwao?
 
Jamaa kapanga ila mshangazi anaajua kwao.. status ya mshiko wa mshangazi mi siujui!
 
Samaki akiwa pande zote wamla kiubavu ubavu kisha juu chini chini juu wamgeuza...
Reverse kwa maana anarudi kinyume nyume....

Ni hayo tu kwa mujibu wa watu wa kitaani kwangu.
Bro hauna kapicha angalau ukanielezea kwa Lugha ya picha...maelezo yako sijayaelewa kabisa.
 
Nipo hapa kujua yafuatayo kabla sijashauri chochote.

[emoji1485]Status ya uchumi wa hiyo mshangazi.

[emoji1485]Huyo jamaa yako (wewe) bado anaishi kwao au anajitegemea mbali na nyumbani kwao?
Ni yeye si unajua jf kila mtu anasingizia ni rafiki yake wa karibu au ndugu yake
 
Halafu mademu wabovu wanashikaga mimba Fasta sio poa dadekii na ving'ang'anizi sio poa

Yani we ukijua unatongoza demu wa kuzugia aka wakupunguzia kichupa tu . usipige kavu na kama ukipiga kavu ujue kumwaga nje .la sivyo utaumbuka mzazi

Na ukiona anakuletea pigo za kutaka akuzalie kimbia mbali sana hapo lazima utegeshewe

Mimi kuna demu alivyoona natumia kinga sana akasema tupime ile nile kavu alivyoona namwaga nje kwenye kavu akaanza kuniwinda kubadilisha staili ili awe juu nishindwe kumtoa nimwagie ndani

Nikaona kwa nini tuishi kwa machale tuwindane na wana wakijua nimempa mimba demu mbovu hivi maana kumla mwenyewe namla kwa kujificha nikampiga chini
 
🤣
 
Back
Top Bottom