Rafiki yangu kampa mimba mwanamke mtu mzima

Hawa ata uwaweke wazi kivipi akili zao wanajua wenyewe yaani kulika kavu rahisi na kushika mimba ndio usiseme kabisaaa
Wanawake wachache sana, mno wanasisitiza ndom. Yani kwa sie ambao ndom is not an option..ni shida!!
 
Kwan anamuoa? Si analea mtoto tu? Kama hajamridhia alee mtoto kama makubaliano ila maisha yake mengine yanaendelea kama alivyopanga
 
Wanawake wachache sana, mno wanasisitiza ndom. Yani kwa sie ambao ndom is not an option..ni shida!!
Yaani hivi hivi unakula na ndio maana nime nawapeldkea moto tuuhivyo hivyo. Yaani demu unampiga romance ukimwambia i love u hapo unashangaa unateleza tuu ndani kiulaini.
 
Hapo awali alikuwa akisifia sana kwamba anajua mahaba na anakata mikato yote mpaka za samaki akipiga reverse!! Sasa nature imefanya yake, mshangazi wa watu kanasa mimba na kagoma kuitoa!.. kakomalia kuzaa na kwa vile jamaa hana mtoto bado lishangazi limemwambia atulie walee mtoto!.

Mchizi stress zimemjaa kwa kuzaa nalishangazi,isitoshe jamaa anaheshimika mtaani kwa upole wake!,kinachomtesa zaidi tetesi mtaani zishasambaa kwamba jamaa anakula mshangazi!.

Ile furaha ya jamaa imekuwa kilio zile stori za mauno zimekufa bado maziko tu..
Kibaya katishwa akikimbia mama kijacho akishazaa anaenda kwao na jamaa kukabidhi mali ya familia..[emoji23]

Binafsi nimemwambia alee familia yake hakuna namna..[emoji1787]

Pole yake, haijatokea pwani kweli hii maana mishangazi ya uswahilini siku hizi ni kugusa tu anajaa
 
Hapo awali alikuwa akisifia sana kwamba anajua mahaba na anakata mikato yote mpaka za samaki akipiga reverse!! Sasa nature imefanya yake, mshangazi wa watu kanasa mimba na kagoma kuitoa!.. kakomalia kuzaa na kwa vile jamaa hana mtoto bado lishangazi limemwambia atulie walee mtoto!.

Mchizi stress zimemjaa kwa kuzaa nalishangazi,isitoshe jamaa anaheshimika mtaani kwa upole wake!,kinachomtesa zaidi tetesi mtaani zishasambaa kwamba jamaa anakula mshangazi!.

Ile furaha ya jamaa imekuwa kilio zile stori za mauno zimekufa bado maziko tu..
Kibaya katishwa akikimbia mama kijacho akishazaa anaenda kwao na jamaa kukabidhi mali ya familia..[emoji23]

Binafsi nimemwambia alee familia yake hakuna namna..[emoji1787]

Ehhh makubwa tena haya.... Ila watoto ni baraka na ni matunda ya kazi nzuri kwa hyo ye alee tu
 
Hapo awali alikuwa akisifia sana kwamba anajua mahaba na anakata mikato yote mpaka za samaki akipiga reverse!! Sasa nature imefanya yake, mshangazi wa watu kanasa mimba na kagoma kuitoa!.. kakomalia kuzaa na kwa vile jamaa hana mtoto bado lishangazi limemwambia atulie walee mtoto!.

Mchizi stress zimemjaa kwa kuzaa nalishangazi,isitoshe jamaa anaheshimika mtaani kwa upole wake!,kinachomtesa zaidi tetesi mtaani zishasambaa kwamba jamaa anakula mshangazi!.

Ile furaha ya jamaa imekuwa kilio zile stori za mauno zimekufa bado maziko tu..
Kibaya katishwa akikimbia mama kijacho akishazaa anaenda kwao na jamaa kukabidhi mali ya familia..😂

Binafsi nimemwambia alee familia yake hakuna namna..🤣

Kuna mmoja alinitesa sana, mimba ikatoka. alikua anakuja kazini asubuhi
 
Nasema ili siku zote na ntasema. Tungekua na uwazi baina ya mahusiano yetu. Kila mmoja akasema mimi nataka au napenda hiki au naona tuishi namna hii tusingekua na makwaruzano.

Kukosa uwazi ndio baina yao ndio kunapelekea mtu kubeba hiyo. Kama wangekua wazi sisi mahusiano yetu ni outing, kutomban* na si kupeana watoto. Mambo yangekua rahisi
Wanawake hawawez kukuelewa ukiwaambia ukweli
 
Back
Top Bottom