Rafiki yangu kampa mimba mwanamke mtu mzima

Rafiki yangu kampa mimba mwanamke mtu mzima

Hapo awali alikuwa akisifia sana kwamba anajua mahaba na anakata mikato yote mpaka za samaki akipiga reverse!! Sasa nature imefanya yake, mshangazi wa watu kanasa mimba na kagoma kuitoa!.. kakomalia kuzaa na kwa vile jamaa hana mtoto bado lishangazi limemwambia atulie walee mtoto!.

Mchizi stress zimemjaa kwa kuzaa nalishangazi,isitoshe jamaa anaheshimika mtaani kwa upole wake!,kinachomtesa zaidi tetesi mtaani zishasambaa kwamba jamaa anakula mshangazi!.

Ile furaha ya jamaa imekuwa kilio zile stori za mauno zimekufa bado maziko tu..
Kibaya katishwa akikimbia mama kijacho akishazaa anaenda kwao na jamaa kukabidhi mali ya familia..😂

Binafsi nimemwambia alee familia yake hakuna namna..🤣

Ni wewe mkuu
 
Aiseee...hii samaki akipiga reverse ndo style gani?kweli kuishi mjini kuona mengi...ufafanuzi ht wa kapicha tafadhali ili niweze kuelewa zaidi.
Hiyo kwa kilugha chetu tunaita plan B
 
Hapo awali alikuwa akisifia sana kwamba anajua mahaba na anakata mikato yote mpaka za samaki akipiga reverse!! Sasa nature imefanya yake, mshangazi wa watu kanasa mimba na kagoma kuitoa!.. kakomalia kuzaa na kwa vile jamaa hana mtoto bado lishangazi limemwambia atulie walee mtoto!.

Mchizi stress zimemjaa kwa kuzaa nalishangazi,isitoshe jamaa anaheshimika mtaani kwa upole wake!,kinachomtesa zaidi tetesi mtaani zishasambaa kwamba jamaa anakula mshangazi!.

Ile furaha ya jamaa imekuwa kilio zile stori za mauno zimekufa bado maziko tu..
Kibaya katishwa akikimbia mama kijacho akishazaa anaenda kwao na jamaa kukabidhi mali ya familia..[emoji23]

Binafsi nimemwambia alee familia yake hakuna namna..[emoji1787]

Huyo rafiki yako ganda la ndizi ndiyo limemponza.
 
Sasa mwanamke unakosaje uzuri labda kama wewe ni kilema otherwise sifa ya kwanza ya mwanamke uvutie uwe at least na chura

Hahaha
Hahahahhaha chura hata mbuzi anayo bhana, sifa ya kwanza ya mwanamke awe mtii/heshima kwa mwenzake

Hayo mengine ni nyongeza tu
 
Back
Top Bottom